Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Haraka haraka twendeni kwenye hoja, LATRA wamepandisha bei za mabasi kwa wastani wa TZS 15 kwa Kila kilometa hasa kwa safari za Mikoani, Mfano kutoka Dar es Salaam mpaka Bukoba ni sawa na...
17 Reactions
259 Replies
21K Views
Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu. Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Ni Ukweli usiopingika CCM inapochagua Viongozi wake wa NGAZI zote utaona imezingatia DEMOKRASIA ya hali ya Juu.Unapokuja kwenye Ngazi ya UENYEKITI TAIFA Demokrasia inapotea kwani INATOLEWA FOMU...
3 Reactions
5 Replies
751 Views
Tanzania imetia saini mkataba wa moja ya miradi mikubwa ya mikopo ya kaboni inayotokana na ardhi Afrika Mashariki. Mradi huu unahusisha mbuga sita za kitaifa, zenye ukubwa wa hekta milioni 1.8...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Imekuwa ni Imani ya iuda mrefu kwamba Ngome ya CHADEMA ni Kanda ya Kaskazini, Ngome ya CUF ni Pemba na Ngome ya ACT Wazalendo Ujiji, Kigoma, lakini siyo rahisi kuwaona CHADEMA wakishiriki kwenye...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais samia Anaendelea kuchanja mbuga ulimwenguni kote ambako Dunia inaendelea kutambua mchango wake katika maendeleo na mchango wake katika kile Secta Katika kuleta...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Akizungumza kwa Ukakamavu huko Segerea , Mkoani D'Salaam , Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Amedai kwamba. Ni vema Wananchi wakajiepusha na Ukuwadi wa Rasilimali za Nchi ...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki. Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za Mafuta ya Petroli zitakazotumika kuanzia Desemba 6, 2023 ambapo Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,158, Tanga Tsh...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Kuna msemo ya kiswahili usemao "kuchamba kwingi......" Sasa hata sifa zikizidi hupelekea dhihaka. Mwaka 2016 kitovu cha kupatwa kwa mwezi dunia nzima kilikuwa mkoani Njombe eneo la Wanging'ombe...
26 Reactions
41 Replies
3K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Fahad Rashid S Ali Marekhi aliyefika kwa mazungumzo Ikulu...
0 Reactions
0 Replies
406 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Rais wa Benki ya Dunia Ajay Banga na ujumbe wake kwa mazungumzo Ikulu Zanzibar tarehe 05 Desemba 2023...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Naibu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Juma Kajivara amesema Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imetangaza zabuni na inakaribia kupata mkandarasi kwa ajili ya kujenga...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Naamini mzee wetu Lowasa hatokaa asahau mzimu wa Richmond. Kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwa waziri mkuu mstaafu. Alikutana na bunge lenye meno chini ya wabunge wa upinzani ambao bado walikuwa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Bandarini kuna shida, viongozi wanashangilia meli kukaa zaidi ya siku ishirini bila kukamilisha huduma. Mamlaka inatuambia ongezeko la meli kwao ni kikwazo badala ya kuwa fursa. Kibaya zaidi...
1 Reactions
8 Replies
771 Views
Nchi zetu za Kiafrika kila kitu ni changamoto sana. Viongozi wetu wanatamani kuwa viongozi wa Umma, lakini hawataki mambo yao yoyote yajulikane na Umma, Ajabu kwa kweli. Ndiyo maana Wakili...
12 Reactions
18 Replies
2K Views
Msiwalaumu sana kwani wanatetea ugali wao hakuna kitu muhimu kama kula ndio maana tunaona viongozi wengi kabla ya kuzungumza mada husika kwanza anachukua muda mwingi kusifia sijui anaupiga mwingi...
1 Reactions
1 Replies
472 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la wito kwa Chadema na ushauri wa bure, kiwatendee haki wanachama wake, ili ifikapo Octoba 2015, Watanzania waiaminie Chadema kuwa itawatendea haki Watanzania. Kitendo...
30 Reactions
585 Replies
41K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali...
11 Reactions
410 Replies
48K Views
Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na...
12 Reactions
94 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…