Inasemekana Kaskazini Ndio Ngome ya CHADEMA lakini kwenye shughuli za Kijamii huwa hawaonekani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,023
Imekuwa ni Imani ya iuda mrefu kwamba Ngome ya CHADEMA ni Kanda ya Kaskazini, Ngome ya CUF ni Pemba na Ngome ya ACT Wazalendo Ujiji, Kigoma, lakini siyo rahisi kuwaona CHADEMA wakishiriki kwenye shughuli mbalimbali za kitaifa huko Kaskazini

Kipekee sana niwapongeze CHADEMA Kanda ya Nyasa hasa Iringa na Mbeya kwa kweli kila tukio liwe la huzuni au furaha lazima watakuwepo.

Mungu wa Mbinguni mbariki mchungaji Msigwa πŸ˜€
 
CDM Hawashiriki kwenye majanga kwa approach ya ccm ya kuuzia sura.
 
Imekuwa ni Imani ya iuda mrefu kwamba Ngome ya CHADEMA ni Kanda ya Kaskazini, Ngome ya CUF ni Pemba na Ngome ya ACT Wazalendo Ujiji, Kigoma, lakini siyo rahisi kuwaona CHADEMA wakishiriki kwenye shughuli mbalimbali za kitaifa huko Kaskazini

Kipekee sana niwapongeze CHADEMA Kanda ya Nyasa hasa Iringa na Mbeya kwa kweli kila tukio liwe la huzuni au furaha lazima watakuwepo.

Mungu wa Mbinguni mbariki mchungaji Msigwa
Chadema wakiibuka huko hanang mtasema wanatafuta umaarufu kupitia matatizo ya watu
 
Imekuwa ni Imani ya iuda mrefu kwamba Ngome ya CHADEMA ni Kanda ya Kaskazini, Ngome ya CUF ni Pemba na Ngome ya ACT Wazalendo Ujiji, Kigoma, lakini siyo rahisi kuwaona CHADEMA wakishiriki kwenye shughuli mbalimbali za kitaifa huko Kaskazini

Kipekee sana niwapongeze CHADEMA Kanda ya Nyasa hasa Iringa na Mbeya kwa kweli kila tukio liwe la huzuni au furaha lazima watakuwepo.

Mungu wa Mbinguni mbariki mchungaji Msigwa πŸ˜€
Pumbavu kwani kuna chama kinashiriki au serikali? Umeambiwa ni wana CCM tu ndiyo wamesombwa na mafuriko? Iulize serikali matumizi ya kodi zetu!
 
Imekuwa ni Imani ya iuda mrefu kwamba Ngome ya CHADEMA ni Kanda ya Kaskazini, Ngome ya CUF ni Pemba na Ngome ya ACT Wazalendo Ujiji, Kigoma, lakini siyo rahisi kuwaona CHADEMA wakishiriki kwenye shughuli mbalimbali za kitaifa huko Kaskazini

Kipekee sana niwapongeze CHADEMA Kanda ya Nyasa hasa Iringa na Mbeya kwa kweli kila tukio liwe la huzuni au furaha lazima watakuwepo.

Mungu wa Mbinguni mbariki mchungaji Msigwa πŸ˜€
We zuzu wa Lumumba unaijua kaskazini kweli wewe!?,weka siasa zanko za kinafiki pembeni.Moja kati ya maccm majuha wewe ni kiranja wao
 
Back
Top Bottom