Lissu: Hatutakiwi kuruhusu ukuwadi wa Nchi yetu, Tunapaswa kuhoji mikataba ya Rasilimali zetu imeandikwa nini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Screenshot_2023-12-05-18-24-57-1.png

Akizungumza kwa Ukakamavu huko Segerea , Mkoani D'Salaam , Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Amedai kwamba. Ni vema Wananchi wakajiepusha na Ukuwadi wa Rasilimali za Nchi , Bali wanapaswa kuhoji ili Kujua kilichomo ndani ya mikataba ya Rasilimali zetu.

Amedai kwamba Watanzania hawana Mali zingine zaidi ya hizi zinazogawiwa kwa wanaoitwa Wawekezaji , hivyo ni lazima mikataba yake ianikwe bila kificho

Toa Maoni yako
 
View attachment 2834091

Akizungumza kwa Ukakamavu huko Segerea , Mkoani D'Salaam , Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Amedai kwamba , Ni vema Wananchi wakajiepusha na Ukuwadi wa Rasilimali za Nchi , Bali wanapaswa kuhoji ili Kujua kilichomo ndani ya mikataba ya Rasilimali zetu .

Amedai kwamba Watanzania hawana Mali zingine zaidi ya hizi zinazogawiwa kwa wanaoitwa Wawekezaji , hivyo ni lazima mikataba yake ianikwe bila kificho

Toa Maoni yako
Mwamba anaendelea
 
Nadhani tulishachelewa! Kama ni raslimali zilishauzwa muda mrefu.
Labda Vizazi vyetu ndivyo vitakavyokuja kuhoji baada kujikuta ni watumwa wa wawekezaji katika nchi yao!
 
Tuwe makini sana na Samia, naona ana moto wa kutuuza kwa sababu hana uchungu na Tanganyika
Huu ndo ukweli ambao kwa bahat mbaya hata wabara wameamua kwa njaa zao kushirikiana naye.
Jambo gumu ni kuiondoa ccm kistaarab ili tuanze upya. Maana inakula na silaha mkononi.
Mungu mbariki Mwabukusi,
Mungu mbariki Lisu.
Mungu mlaani.......
 
Back
Top Bottom