Kuna watu wapo kwenye siasa wanataka kuwaweka ndugu zao waongoze chama cha walimu Tanzania. Kuna watu wapo kwenye mfumo wa CCM wanataka kukimiliki chama cha walimu Tanzania
Kufanikisha malengo...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana bega kwa bega na Kenya katika kukuza na kuimarisha zaidi...
Sijasikia Viongozi wa CCM na Chadema wawapo Mtwara hususan Masasi wakienda kuzuru kaburi la hayati Ben Mkapa
Lakini kila Kiongozi anayeenda Geita lazima ataomba kuzuru kaburi la Shujaa Magufuli...
Hakika nimewaza sana juu ya huu umasikini wa watanganyika. Kwa hili la daladala kuongeza nauli ya sh.100 linavyopigiwa kelele ni ushahidi tosha kuwa kweli watanganyika wananuka umasikini kiasi...
Kwa ujinga wa Watanzania walio wengi ndio sababu Wabunge hujiona na wao ni Viongozi.
Kimsingi mbunge siyo Kiongozi ni kibarua tu wa kawaida anayetumwa na Wananchi kupeleka jumbe zao mbalimbali...
Hakika ni migumu kuamini kuwa MAHAKAMA zetu zinasikiliza na kuamua KESI kwa wakati.Mfano mzuri ni hii KESI ya HALIMA MDEE na Wenzake 18.KESI hii ina Miaka 3 toka imeanza kusikilizwa.KESI hii...
Waziri wa Nchi, @ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa amekabidhi magari ya usimamizi shirikishi wa shughuli za Afya kwenye Halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro.
Mhe. Mchengerwa amekabidhi magari...
Stendi ya Bukoba ni moja miradi ninayo amini ni midogo sana kwa mkoa kama Kagera ila ni kati ya miradi ambayo imetembelewa na watu wengi kwa mwaka huu.
Amekwenda Waziri Mkuu kuikagua, wameenda...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema yeye atawashughulikia wale waliotangaza Msiba mtandaoni wa Makamu wa Rais baada ya Makamu kutoonekana kwa muda
Anadai sio kila jambo...
Wengi hasa waliokimbia ukatili wa Magufuli, na watanzania kwa ujumla walijenga matumaini ya utawala bora mara baada ya Samia kuingia madarakani. Sasa matumaini yamepotea kutokana na undemocratic...
Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye...
Magufuli alitujengea fikra ya viwanda na viwanda vilijengwa vikubwa na vidogo. Pia sera zilibadilishwa ili kuibeba agenda ya viwanda. Mfumuko wa bei ulidhibitiwa na kuwatia moyo na ujasiri...
Salaam, Shalom!
Tunaambiwa tutoe maoni Ili kupata dira mpya ya Taifa Kwa miaka mingi ijayo,
Tusipoteze muda na pesa za walipa Kodi, Dira ya Taifa Inatakiwa iwemo ndani ya Katiba mpya,
Turudishe...
WIKO LA COMRADE
Jukumu la kumsifia na kumpongeza Rais wetu Dr Samia ni la wazalendo wote lisihusianishwe na u chawa.
Tutasema mazuri anayofanya Dr Samia kwa sababu sisi hatukuumbwa na roho za...
Mama Samia anafanya kweli, hayumbishwi hata kidogo. Hakuna tena longolongo ya kuitwa "mashirika ya umma" huku yanabaki kuwa kichaka cha wapigaji wachache. Mama amesema Arusha, mashirika ya umma...
Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia unaohusishwa na mradi wa maliasili wenye thamani ya dola milioni 150...
Awamu ya 5 ilipoingia Madarakani CHINI ya TINGATINGA wa CCM Bwana MAGUFULI tulitangaziwa kuwa NCHI inaenda kuwa ya VIWANDA VITUPU na Tatizo la VIJANA wetu KUZURURA na Bahasha za VYETI Kusaka AJIRA...
Hili ni swali ambalo kila Mwalimu na mdau wa maendeleo anatakiwa kujiuliza kabla hajafikiria kuwa ipo siku chama hicho cha wafanyakazi kitakuja kutetea maslahi ya Walimu nchini
Binafsi kwa wiki...
Ukijaribu kuangalia kwa makini utaona hata hapo mtaani kwenu kuna kamradi aidha kataanza mwaka huu au mwakani YANI mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa.
Miradi hii...
TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.
Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.