MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Hakika ni migumu kuamini kuwa MAHAKAMA zetu zinasikiliza na kuamua KESI kwa wakati.Mfano mzuri ni hii KESI ya HALIMA MDEE na Wenzake 18.KESI hii ina Miaka 3 toka imeanza kusikilizwa.KESI hii WAHUSIKA wote ambao ni Wafuatao
Hakuna mhusika yoyote wa hii kesi anayetoka nje ya nchi
Najiuliza kwa speed hii ya uendeshaji kesi unaofanywa na mahakama zetu je tutamaliza mrundikano wa kesi zilizopo?
Ushauri kwa mahakama juu ya uendeshaji wa kesi za aina hii zisikilizwe mfululizo kwani ni kesi zenye mvuto kwa wananchi kusikilizwa kwa miaka 3 kunaleta mashaka kwa wananchi juu ya mahakama.
Tuwaige majirani zetu wa kenya mfano wa ile kesi yenye mvuto kwa wananchi kesi ya kupinga urais ilivyosikilizwa kwa muda mfupi na hukumu kutolewa.
- Majaji wapo DAR
- Mawakili wapo
- Dar
- Halima na Wenzake wapo Dar
- CHADEMA wapo Dar