Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,105
Stendi ya Bukoba ni moja miradi ninayo amini ni midogo sana kwa mkoa kama Kagera ila ni kati ya miradi ambayo imetembelewa na watu wengi kwa mwaka huu.
Amekwenda Waziri Mkuu kuikagua, wameenda wabunge wote wa Kagera kupiga picha eneo husika,ameenda mara kadhaa Waziri Bashungwa, amekwenda Chongolo, amekwenda Katibu Mwenezi, amekwenda Makamu wa Rais na leo kaenda Mzee Kinana.
Hii kwangu ni fedhea kwawazaliwa wa Kagera. Tumedharaulika sana kwamba pamoja na kusambaa Duniani kote na kusoma kote hatuna uwezo wa kujenga stendi ya mabasi....this can not be accepted.
Mkoa mzima Mradi wa stendi miaka minne sasa ya awamu hii? Wakati hayayanafanyika sisi wapiga kura tunapumbazwa kuambiwa kama siyo awamu hii tusingepata stendi.
Nakubali kwamba wazaliwa wa Kagera hatupendi kwetu ila hii itoshe tuamke sasa tuanze kudhibiti hizi fedhea zinazofanywa na viongozi wetu. Haiwezekani leo tuonekane stendi ni jambo kubwa kwetu kiasi kwamba iwe Sehemu za propaganda za kampeni.....we deserve more than this, let us unit and wake up.
Tumejishusha sana thamani hadi wametambua value yetu mbona huko kanda zinazojitambua hakuna hizi propaganda? Arusha limejengwa jengo kubwa la posta Duniani hakukuwa mbambamba wala msururu wa kutembelea Mradi......we need such kind of investment wageni waje kufanya kazi Kagera tunufaike na tamaduni za nje.
Uwanja wa ndege tumenyimwa ukapelekwa Chato kwa sababu tu wanajua sisi hata bila maendeleo ndugu zetu wanaongeka tu. Watu wa Bukoba wanahitaji maendeleo siyo stendi inayoweza kujengwa kwa kodi za wananchi wa mijini pekee