Dira mpya ya Taifa imo ndani ya Rasimu ya kwanza ya Tume ya Warioba

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,103
22,542
Salaam, Shalom!

Tunaambiwa tutoe maoni Ili kupata dira mpya ya Taifa Kwa miaka mingi ijayo,

Tusipoteze muda na pesa za walipa Kodi, Dira ya Taifa Inatakiwa iwemo ndani ya Katiba mpya,

Turudishe mezani Rasimu ya Tume ya Warioba Ile ambayo aliwasilisha mwanzoni tuanzie hapo kuongeza maoni mapya na kutengeneza Dira ya Taifa.

NB: Waliopotea msituni, hawawezi kutengeneza dira.

KATIBA mpya ni sasa kabla ya Uchaguzi wowote.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Amen
 
Hawa watafuna kodi za wananchi pasipo huruma sina hakiki kama wana nia ya dhati kuwakwamua wananchi katika hili tope tutaona vimbwanga via kila rangi na tume zisizo kusa na kikomo wakati pa kuanzia papo wazi kabisa lakini hawataki wanataka kupiga mafungu upya tena. Hakika wananchi mpaka waamke kwenye huu usingizi wa pono nchi itakuwa imetafunwa vya kutosha.
 
Kwa Katiba hii mbovu na mifumo mibovu, hiyo dira inatengenezwa vp!!
 
Salaam, Shalom!

Tunaambiwa tutoe maoni Ili kupata dira mpya ya Taifa Kwa miaka mingi ijayo,

Tusipoteze muda na pesa za walipa Kodi, Dira ya Taifa Inatakiwa iwemo ndani ya Katiba mpya,

Turudishe mezani Rasimu ya Tume ya Warioba Ile ambayo aliwasilisha mwanzoni tuanzie hapo kuongeza maoni mapya na kutengeneza Dira ya Taifa.

NB: Waliopotea msituni, hawawezi kutengeneza dira.

KATIBA mpya ni sasa kabla ya Uchaguzi wowote.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Amen
Dogo hujui kutofautisha kati ya Katiba na Dira ya Taifa ya Maendeleo? Kweli tuna wajuaji njaa JF!
 
Nchi hii matapeli ni wengi sana.. Kuna dira mpaka 2065 sijui imefikia wapi... Watanzania hatujawahi ishiwa mipango
 
Dogo hujui kutofautisha kati ya Katiba na Dira ya Taifa ya Maendeleo? Kweli tuna wajuaji njaa JF!
We ndo huna ulijualo.

Kuandaa dira kabla ya Kupata kwanza KATIBA mpya ni sawa na kuvaa sox mpya ndani ya viatu vilivyotoboka😀
 
Back
Top Bottom