Kwanini CCM kinaanzisha miradi mingi mitaani mwaka mmoja kabla ya uchaguzi? Je, hii sio mass bribe?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,928
Ukijaribu kuangalia kwa makini utaona hata hapo mtaani kwenu kuna kamradi aidha kataanza mwaka huu au mwakani YANI mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa.

Miradi hii yaweza kuwa zahanati shule barabara maji umeme nk.

Je, hii sio rushwa? @LukasMwashambwa
 
Ukijaribu kuangalia kwa makini utaona hata hapo mtaani kwenu kuna kamradi aidha kataanza mwaka huu au mwakani YANI mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa.

Miradi hii yaweza kuwa zahanati shule barabara maji umeme nk !

Je hii sio rushwa? @LukasMwashambwa
🗑️🗑️
 
Danganya toto,ili wale mbumbumbu danganyika wakawapigie kura kwenye chafuzi/chaguzi tarajiwa🤣
 
Miaka 4 yote wanakwapua wao halafu mwaka wa mwisho wanawaletea kasungura kalikobaki.
 
Wanaleta Miradi, kisha wanategemea mbeleko ya vyombo vya Dola, au tume isiyo huru ya uchaguzi kukaa madarakani! Hata wakileta Miradi elfu, Bado hakuna anayejitambua atajitokeza kupiga kura kwenye huo upuuzi uitwao uchaguzi.
 
Hapo Chadema itakuwa inakomoa ccm au? 🤣🤣
 
Hapo Chadema itakuwa inakomoa ccm au? 🤣🤣
Hakuna mtu anayejitambua ataweza kuendelea kupoteza muda wake kwenye chaguzi zisizoheshimiwa. Tumewaachia goli wazi shindeni kwa kishindo bila wizi, maana hamna uwezo tena wa kushinda kihalali.
 
Kwa kweli ninaipongeza Serikali ya CCM kwa sababu inajenga barabara ya lami kuelekea kwenye kiwanja changu Halmashauri fulani.

Pia ninashukuru Mh. Rais Samia kwa kupeleka maji na umeme hadi kwenye shamba langu Halmashauri fulani pia.

Kikubwa amani inatawala japo kuna ujambazi mchache..

Kwa kweli Mama anaupiga mwingi sana!
 
Ukijaribu kuangalia kwa makini utaona hata hapo mtaani kwenu kuna kamradi aidha kataanza mwaka huu au mwakani YANI mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa.

Miradi hii yaweza kuwa zahanati shule barabara maji umeme nk.

Je, hii sio rushwa? @LukasMwashambwa
We ni bwege lisilo na haya. Miradi mingi ni ya tangia wakati wa Magu au ndio umeamka usingizini
 
Ukijaribu kuangalia kwa makini utaona hata hapo mtaani kwenu kuna kamradi aidha kataanza mwaka huu au mwakani YANI mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa.

Miradi hii yaweza kuwa zahanati shule barabara maji umeme nk.

Je, hii sio rushwa? @LukasMwashambwa
Kule kijiji cha Msimbati, mkoani Mtwara inakotoka gesi, wamebomoa kituo cha polisi na wanaanza kukijenga kipya mahala palepale
 
Ccm itashinda kwa kishindo ,mwenyekit na Raisi wetu anaeleweka amefanya mengi sana Wananch wamekielewa chama ,2025 tutashinda 90+%
 
Hiyo miradi huwa inaanzishwa, halafu inaachwa bila kukamilishwa ili wakati wa kampeni waseme; "nichagueni mimi na CCM ili tukamilishe ujenzi wa hii barabara iliyoanza kujengwa"
 
Ukijaribu kuangalia kwa makini utaona hata hapo mtaani kwenu kuna kamradi aidha kataanza mwaka huu au mwakani YANI mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa.

Miradi hii yaweza kuwa zahanati shule barabara maji umeme nk.

Je, hii sio rushwa? @LukasMwashambwa
Vita ni akili ukitaka kuvuna mazao bora tayarisha shamba vyema!
 
Kuna mradi wa mwendo wa fasta wa kuchimbua barabara na kuweka bomba za maji taka wala haueleweki feasibility study yake, tunaamini Papaa makalaaliupitisha fasta kama alivyopitisha vibanda umiza coco beach sababu ya viji percent.

Ni mradi wa hovyo sababu haujawekwa vizuri u atuharibia barabara zetu mbovu tayariwao wanapasua wakikuta mtu kajijengea paving wanavunja tuu. Wameacha matope balaa mabarabarani na mvua hizi.

Ila sema safari hii watajijazia wenyewe kura zao, watu wengi kwa katiba na tume hii sidhank kama watasumbuka kwenda kupiga kura. Kuna mrafi gani wa maana ambao haujaachwa na magufuli, waje watufafanulie.

Na ndio maana unawaona wanaenda makaburini chato ukipita Tanzanite bridge, ukipita mfugale, john kijazi Dmdp ingeluwa sio chini ya magufjli pesa zingeliwa na uswahili kusingekuwa na lami ya u ora na mifereji kugunikwa wangeiacha wazi ukitaka muhakikisha hilo nenda mbweni ubungo kwenda kwa halima mdee lami ilvyolipuliwa na mkadarasi na hela anapewa.

Hawajui kujenga na kufuata standards, angekuwepo jpm mama tibaijuka, na kina mzee rupia na kejo wasingelalamika kumuita RC kwamba ujenzi wa sheli kwenye makazi umekiuka sheria za mipango miji, sheli zote zisingejengwa kiholela mpaka moto utokee ndio itaundwa tume kubaini kwamba mipango miji ilikiukwa. Sheli nyingi mana yake wanaiba mafuta bila kodi wanauza kwa faida kubwa.
 
Kweli hapa mtaani kwangu kuna ki mradi cha barabara 0.8 km wamepitisha grader madai yao wanataka kuweka lami
 
Back
Top Bottom