Waliomkimbia Magufuli na kujenga wazo la kurudi baada ya Samia kuwa madarakani, wamefuta wazo la kurudi sababu as time goes on tyranny rule dominates

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,403
74,020
Wengi hasa waliokimbia ukatili wa Magufuli, na watanzania kwa ujumla walijenga matumaini ya utawala bora mara baada ya Samia kuingia madarakani. Sasa matumaini yamepotea kutokana na undemocratic, tyranny rule now becoming quite prevalent!

Watu wamepoteza matumain hasa baada ya Samia kukataa maridhiano, Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi, utawala wa sheria, kuvunja katiba (case ya Jaji Mkuu AS ONE OF THE VIVID EXAMPLE) na mengine mengi ya utawala wa kikatili!

SASA TUKO HAPA: Tyranny occurs when absolute power is granted to a ruler. In a tyrannical government, the ruler becomes corrupt and uses his power to further his own interests instead of working for the common good. The rule of law is the principle that no one is exempt from the law, even those who are in a position of power.
 
Kuna msururu wa magenge yenye kinga ya kutoshitakiwa licha ya kuongoza kwa wizi, uuaji, utapeli, dhuluma za maisha ya binadamu na uporaji wa mali za wawekezaji. Yani niwekeze nchi ambayo makonda ana cheo kikubwa kuliko waziri Mkuu? Hii nchi emu iwe serious kidogo hawajui kuweka kinga kwa wahalifu ni kufukuza wawekezaji?
 
Sio wote walio mkimbia Magu walikuwa watu wazuri wengine walikuwa mafisadi kweli
 
Hao waliokimbia hicho unachokiita ukatili wafie huko huko wala hawahitajiki kwa sababu hawana msaada wala impact yoyote na wala hakuna kilichopungua kwa wao kukimbia. Wafie mbele.

Pili, Watanzania wengi walisikitika na kifo cha Magufuli. Wahuni wachache ndio walifurahia Magufuli kufariki.

Matumaini ya watanzania wengi yalikata baada ya kifo cha Magufuli.
 
Middle class plz tuelewe ni street battles tu ndizo zinazowasitua royal families sio kulalama humu, angalia tumezidiwa hata na malawians, ukisubiri kujipanga, utapangwa na wengine, tuendelee kuzalisha vijibirionea uchwara kutoka TRA
 
Hao waliokimbia hicho unachokiita ukatili wafie huko huko wala hawahitajiki kwa sababu hawana msaada wala impact yoyote na wala hakuna kilichopungua kwa wao kukimbia. Wafie mbele.

Pili, Watanzania wengi walisikitika na kifo cha Magufuli. Wahuni wachache ndio walifurahia Magufuli kufariki.

Matumaini ya watanzania wengi yalikata baada ya kifo cha Magufuli.
Matumaini yapo.
Mapambano yanaendelea.

Kazi tu.

Hawa, bora wangekuwa ni wale wahuni wanaoeleweka.

Hawaeleweki.

Haya mahuni ya mitandani hayana lelote, nye nye nye tu.
 
Hakuna serikali itakayokuletea ugali mezani.......pambana piga omba Mungu....
 
Wengi hasa waliokimbia ukatili wa Magufuli, na watanzania kwa ujumla walijenga matumaini ya utawala bora mara baada ya Samia kuingia madarakani. Sasa matumaini yamepotea kutokana na undemocratic, tyranny rule now becoming quite prevalent!

Watu wamepoteza matumain hasa baada ya Samia kukataa maridhiano, Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi, utawala wa sheria, kuvunja katiba (case ya Jaji Mkuu AS ONE OF THE VIVID EXAMPLE) na mengine mengi ya utawala wa kikatili!

SASA TUKO HAPA: Tyranny occurs when absolute power is granted to a ruler. In a tyrannical government, the ruler becomes corrupt and uses his power to further his own interests instead of working for the common good. The rule of law is the principle that no one is exempt from the law, even those who are in a position of power.
Your arguments are too emotional, biased, unsupported and unsubstantiated. No facts and nothing to back up your claims.

A definition of a tyrant is not evidence of tyranny in this country.
 
Hao waliokimbia hicho unachokiita ukatili wafie huko huko wala hawahitajiki kwa sababu hawana msaada wala impact yoyote na wala hakuna kilichopungua kwa wao kukimbia. Wafie mbele.

Pili, Watanzania wengi walisikitika na kifo cha Magufuli. Wahuni wachache ndio walifurahia Magufuli kufariki.

Matumaini ya watanzania wengi yalikata baada ya kifo cha Magufuli.
Hakika
 
Kuna msururu wa magenge yenye kinga ya kutoshitakiwa licha ya kuongoza kwa wizi, uuaji, utapeli, dhuluma za maisha ya binadamu na uporaji wa mali za wawekezaji. Yani niwekeze nchi ambayo makonda ana cheo kikubwa kuliko waziri Mkuu? Hii nchi emu iwe serious kidogo hawajui kuweka kinga kwa wahalifu ni kufukuza wawekezaji?
Hivi waliotupiga kwenye ripoti ya CAG wamechukuliwa hatua gani chini ya Utawala wa Kidemokrasia wa Mama Samia!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom