Kati ya Vyama vya Upinzani na Shujaa Magufuli nani alipigania Mabadiliko ya kweli dhidi ya CCM?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,979
141,996
Ikumbukwe Kuwa Shujaa Magufuli alipoingia madarakani na kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM alijitahidi kuleta Maendeleo Makubwa Nje ya mfumo rasmi wa CCM

Ndio sababu iliitwa CCM ya Magufuli

Wahafidhina wa CCM walimuona JPM kama mpinzani wa ndani ya Chama

Na kwa miaka 30 sasa vyama vya Upinzani vimekuwa vikipambana na CCM lakini cha.ajabu idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa vyama vya Upinzani 2020 ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya Kwenye Uchaguzi wa kwanza wa Vyama Vingi 1995

Ndio kusema Upinzani huu wa Watoa Taarifa umeishindwa kabisa CCM?

Jumaa Mubarak 😄
 
Magufuli was a true hero, hatutapata tena kiongozi wa maana kama yeye.
 
Ikumbukwe Kuwa Shujaa Magufuli alipoingia madarakani na kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM alijitahidi kuleta Maendeleo Makubwa Nje ya mfumo rasmi wa CCM

Ndio sababu iliitwa CCM ya Magufuli

Wahafidhina wa CCM walimuona JPM kama mpinzani wa ndani ya Chama

Na kwa miaka 30 sasa vyama vya Upinzani vimekuwa vikipambana na CCM lakini cha.ajabu idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa vyama vya Upinzani 2020 ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya Kwenye Uchaguzi wa kwanza wa Vyama Vingi 1995

Ndio kusema Upinzani huu wa Watoa Taarifa umeishindwa kabisa CCM?

Jumaa Mubarak 😄
Unajizima data tu na kutafuta kejeli. Magufuli alitawala nchi kidikteta sawa na akina Kagame na Museveni.

Tofauti yake na hao wenzie ni kwamba akina Kagame na Museveni walitumia bunduki kuingia madarakani wakati Magufuli aliingia kwa sanduku la kura.

Na ndiyo maana akafa mapema akiwa madarakani. Ubabe wa kijinga, ushamba wa madaraka na kujifanya much know.

Tupo tunadunda, yeye anaendelea kuoza Chato
 
Ikumbukwe Kuwa Shujaa Magufuli alipoingia madarakani na kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM alijitahidi kuleta Maendeleo Makubwa Nje ya mfumo rasmi wa CCM

Ndio sababu iliitwa CCM ya Magufuli

Wahafidhina wa CCM walimuona JPM kama mpinzani wa ndani ya Chama

Na kwa miaka 30 sasa vyama vya Upinzani vimekuwa vikipambana na CCM lakini cha.ajabu idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa vyama vya Upinzani 2020 ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya Kwenye Uchaguzi wa kwanza wa Vyama Vingi 1995

Ndio kusema Upinzani huu wa Watoa Taarifa umeishindwa kabisa CCM?

Jumaa Mubarak 😄
CCM si MTU ni dubwasha flani hivi katikati ya Bahari, ukizingua linakutosa baharini bila wasi.

CCM ina watu bana..

haliwezi kufanania na chochote
 
Mkuu JPM was in deed a great sadistic coward! And better asipatikane tena kiongozi wa namna yake as you wish!
Your argument is ad hominem. Calling the late President J.P.M "great sadistic coward" is not relevant. As a matter of fact, you do not have evidence and reasons to support your claim!

Hayat Rais hakuwahi kuwa mwoga wa kitu chochote au mtu wowote yule. He was assertive, he was the face of the Nation if not the face of whole of Africa.

He showed resilience and tenacity in all three Governments-Mkapa's, Kikwete's and his own that led Tanzania in becoming the fastest growing economy in our times despite the global economic slowdown due to the pandemic and so forth.

He was a succesful and effective leader who helped the country prosper and grow.He faced many challenges and threats both foreign and domestic, and he dealt with them with courage.

He inspired and motivated his people to work....clearly his slogans said it all "Hapa kazi tu" itoshe alikuwa kila kukicha anahimiza watu wafanye kazi kwa Bidii....mifano ni mingi sana. He was a charismatic and visionary leader, who had a clear and compelling vision for the country. He was always ready to help and serve. He was ready to die for his country!

Wewe upo tayari?
How can you say he was a great sadistic coward?.

J.Pombe Rest in Power my Brother.

Jiwe was a great and admirable leader and there should be more leaders like him in the future.

Aluta Continua.
 
Magufuli alipigania mabadiliko gani wee jamaa unawazimu nini ?
Si ndio huyu huyu magufuli aligeuza nchi nzima ya kijani na ya waunga juhudi? foolish
Umepanic tu Mkuu.

Punguza hasira. Kwani nchi kuwa Kijani kuna tatizo gani? Wewe mbona hukubadilika?
 
Hija gani wanafanya Chato? Wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa!!

Wanamsanifu tu!! Wanasema "kiko wapi? Ulijifanya mjuaji, sisi ni wajuaji zaidi"
:rolleyes:
Pole sana tu.
Hiyo ni stage nzuri tu uliyofikia ya maombolezo. Lakini uwe mwangalifu tu usiwe umekwama na Neurocitism
 
Ikumbukwe Kuwa Shujaa Magufuli alipoingia madarakani na kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM alijitahidi kuleta Maendeleo Makubwa Nje ya mfumo rasmi wa CCM

Ndio sababu iliitwa CCM ya Magufuli

Wahafidhina wa CCM walimuona JPM kama mpinzani wa ndani ya Chama

Na kwa miaka 30 sasa vyama vya Upinzani vimekuwa vikipambana na CCM lakini cha.ajabu idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa vyama vya Upinzani 2020 ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya Kwenye Uchaguzi wa kwanza wa Vyama Vingi 1995

Ndio kusema Upinzani huu wa Watoa Taarifa umeishindwa kabisa CCM?

Jumaa Mubarak
Naweza kukiri hapa kuwa sijawahi kukuelewa wewe jamaa hapa jamvini huwa unaandika ujinga sana sijui kwanini lkn
 
Ikumbukwe Kuwa Shujaa Magufuli alipoingia madarakani na kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM alijitahidi kuleta Maendeleo Makubwa Nje ya mfumo rasmi wa CCM

Ndio sababu iliitwa CCM ya Magufuli

Wahafidhina wa CCM walimuona JPM kama mpinzani wa ndani ya Chama

Na kwa miaka 30 sasa vyama vya Upinzani vimekuwa vikipambana na CCM lakini cha.ajabu idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa vyama vya Upinzani 2020 ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya Kwenye Uchaguzi wa kwanza wa Vyama Vingi 1995

Ndio kusema Upinzani huu wa Watoa Taarifa umeishindwa kabisa CCM?

Jumaa Mubarak
Nilikuwa sijapata muda wa kusoma makala zako, lakini tangu jana nimekufuatilia na nilichokigundua ni kwamba uandishi wako unakosa uchambuzi wa kimantiki na unaishia kwenye propaganda za wanasiasa majukwaani. Kwa kifupi kwamba unapenda sana kuandika lakini bahati mbaya huna uwezo na karama ya uandishi wa kiuchambuzi!!!
 
Back
Top Bottom