Je, TAKUKURU iendelee kumchunguza Zahara Michuzi au iache?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,350
Hivi CCM haina watu wengine? Kwanini inang'ang'ania watoto wa viongozi ambao hawana uwezo?

Huyu Zahara Michuzi amehamishiwa ifakara badala ya kufurumushwa kutokana na tuhuma lukuki zilizomkabili, hii maana yake ni kwamba Rais aliyemteua haamini DC aliyemchongea wala haamini TAKUKURU, hii ina maana gani kwenye mambo ya Utawala Bora?

Sasa yule DC na TAKUKURU katika hali hii wanajionaje?

=======

Screenshot_2023-12-14-13-23-59-1.png
 
Hivi CCM haina watu wengine ? kwanini inang'ang'ania watoto wa viongozi ambao hawana uwezo ?

Huyu Zahara Michuzi amehamishiwa Ifakara badala ya kufurumushwa kutokana na tuhuma lukuki zilizomkabili , hii maana yake ni kwamba Rais aliyemteua haamini DC aliyemchongea wala haamini TAKUKURU , hii ina maana gani kwenye mambo ya Utawala bora ?

Sasa yule DC na TAKUKURU katika hali hii wanajionaje ?
Kaswali kangu kwako, kachapati ka karafuu unako ukipewa michuzi utaimwaga?
 
Hivi CCM haina watu wengine? kwanini inang'ang'ania watoto wa viongozi ambao hawana uwezo?

Huyu Zahara Michuzi amehamishiwa Ifakara badala ya kufurumushwa kutokana na tuhuma lukuki zilizomkabili, hii maana yake ni kwamba Rais aliyemteua haamini DC aliyemchongea wala haamini TAKUKURU, hii ina maana gani kwenye mambo ya Utawala bora?

Sasa yule DC na TAKUKURU katika hali hii wanajionaje ?

=======

Inaonekana huyo dada yupo karibu na Rostam au JK hakuna mtu anaweza kumgusa
 
Hivi CCM haina watu wengine? kwanini inang'ang'ania watoto wa viongozi ambao hawana uwezo?

Huyu Zahara Michuzi amehamishiwa Ifakara badala ya kufurumushwa kutokana na tuhuma lukuki zilizomkabili, hii maana yake ni kwamba Rais aliyemteua haamini DC aliyemchongea wala haamini TAKUKURU, hii ina maana gani kwenye mambo ya Utawala bora?

Sasa yule DC na TAKUKURU katika hali hii wanajionaje ?

=======

PIcha na Muhiddini Michuzi?zahara Muhiddini michuzi hivyo michuzi glob ndio huyo huyo!
 
Siku watanzania wenyewe wakiamka watadai kila haki na matokeo yake yanaweza kuwa mabaya kama yale ya Sudani au Misri.

CCM na watu wake bado hawataki kukubaliana na hesabu, dunia na mambo yamebadirika sana kiasi cha wao kubadili system za kiutawala... WATU KWA SASA MAENDELEO KWA KASI KULINGANA NA RASIMALI ZILIZOKUWEPO NA SI BLAH BLAH... siku wananchi watakapopata akili na hasira za kudai matunda ya wao kuwa WATANZANIA HALI INAWEZA KUWA MBAYA SANA.
 
Hivi CCM haina watu wengine? kwanini inang'ang'ania watoto wa viongozi ambao hawana uwezo?

Huyu Zahara Michuzi amehamishiwa Ifakara badala ya kufurumushwa kutokana na tuhuma lukuki zilizomkabili, hii maana yake ni kwamba Rais aliyemteua haamini DC aliyemchongea wala haamini TAKUKURU, hii ina maana gani kwenye mambo ya Utawala bora?
Mara kadhaa, Rais ametamka maneno haya- Nimetumia njia zangu kujua haya...... Pengine na hapo napo katumia njia zake na kupata taarifa nyingine kabisa.

Isitoshe, Rais vile vile ameuwekea mashaka juu ya utendaji wa Takukuru. Rejea hutuba zake nyingi juu ya Takukuru.

Na mwisho kaweka wazi juu ya kutokuelewana kwa viongozi. Kwa mfano- Waziri na katibu mkuu, mkuu wa mkoa na Ma-RAS au mkuu wa wilaya.
Hivyo kuna Rais amewajibika kuwa na vyanzo vyake anavyoviamini. Hili si geni kwa viongozi.
 
Hivi CCM haina watu wengine? Kwanini inang'ang'ania watoto wa viongozi ambao hawana uwezo?

Huyu Zahara Michuzi amehamishiwa ifakara badala ya kufurumushwa kutokana na tuhuma lukuki zilizomkabili, hii maana yake ni kwamba Rais aliyemteua haamini DC aliyemchongea wala haamini TAKUKURU, hii ina maana gani kwenye mambo ya Utawala Bora?

Sasa yule DC na TAKUKURU katika hali hii wanajionaje?

=======

Majina yale yale yanazunguka.
 
Back
Top Bottom