Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,814
- 11,991
Mkuu wa Dawati la Uchunguzi (Investigative Desk) la JamiiForums, Mwandishi Mwandamizi, Simon Mkina amechaguliwa kushiriki mafunzo maalum ya mwaka mmoja ya kung'amua na kuzuia Utakatishaji Fedha Duniani.
Mkina anakuwa mshiriki pekee kutoka Afrika (kwa awamu hii) kati ya Waandishi 12 wa Habari za Uchunguzi Duniani watakaoshiriki mafunzo haya baada ya kupita katika mchujo uliokuwa na Waombaji 173 kutoka Mataifa mbalimbali Duniani.
Mafunzo yanaanza mwezi huu Desemba, 2023