Vifo vya watanzania wenzetu vyaacha maswali Mengi

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,017
12,309
Vifo vya Watanzania wenzetu Joshua na Clemence vya acha maswali mengi yenye kuhitaji ufafanuzi toka pande zote nne:- 1. Serikali ya Tanzania
2. Serikali ya Israel
3. Serikali ya Palestine
4. Chama cha Hamas

Kwa kuanza na taarifa rasmi ya mwanzo kabisa ya Israel kuhusu vijana wetu iliyo toka oktoba 30 baada ya shambulizi la oktoba 7

Israel yawatambua Watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas​

30 Oktoba 2023
Na Yusuf Jumah
BBC Swahili
TH

CHANZO CHA PICHA,ISRAEL MFA
Serikali ya Israel imethibitisha utambulisho wa watu wawili kutoka Tanzania wanaoaminika kushikiliwa na Hamas tangu shambulio la Oktoba 7 dhidi ya jamii za kusini mwa Israel, karibu na mpaka na Gaza.

Joshua Loitu Mollel na Clemence Felix Mtenga walikuwa nchini Israel kama sehemu ya programu ya mafunzo ya kilimo, kulingana na taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel.

"Walitekwa nyara na magaidi wa Hamas na wanazuiliwa mateka huko Gaza," ujumbe huo ulisema. "Tafadhali ungana nasi kuwaombea warudi salama na mara moja."

Mollel na Mtenga walikuwa sehemu ya kundi la wanafunzi waliokuwa wakiishi Kibbutz Nahal Oz. Walikuwa wametoweka tangu mashambulizi hayo, lakini Israel ilikuwa bado haijathibitisha utambulisho wao au kuripoti kilichowapata.

Tanzania ilisema Alhamisi kuwa inafahamu kuhusu wanafunzi wawili waliopotea ambao ni sehemu ya kundi la Watanzania 260 nchini Israel, lakini bado haijathibitisha walipo. Watanzania tisa waliokuwa Israel walirejea nyumbani Oktoba 18.

BBC hapo awali ilizungumza na familia ya mmoja wao, Joshua Mollel, ambaye ni mmoja wa mwanafunzi hao lakini ikasema haikuwa imewasiliana naye tangu wakati wa shambulio hilo.
Habari hizo zinakuja huku kukiwa na majadiliano ya pendekezo la Hamas la kuwaachilia mateka.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amirabdollahian, alisema wiki iliyopita kwamba Hamas iko tayari kuwaachilia mateka lakini "ulimwengu unapaswa kuunga mkono kuachiliwa kwa Wapalestina 6,000" ambao wamekuwa wakishikiliwa katika jela za Israel.

"Viongozi wa vuguvugu la ukombozi la Hamas wametangaza kuwa tayari kuwaachilia wafungwa wasiokuwa wanajeshi na Iran, Uturuki na Qatar ziko tayari kutekeleza jukumu lao katika juhudi hii muhimu," alisema mwanadiplomasia huyo wa Iran.

Ubalozi wa Israel mjini Pretoria awali uliripoti kuwa raia wawili wa Afrika Kusini, raia wa Eritrea na raia mmoja wa Sudan pia walikuwa miongoni mwa waliofariki au kutoweka.
 
Habari hizo zinakuja huku kukiwa na majadiliano ya pendekezo la Hamas la kuwaachilia mateka. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amirabdollahian, alisema wiki iliyopita kwamba Hamas iko tayari kuwaachilia mateka lakini "ulimwengu unapaswa kuunga mkono kuachiliwa kwa Wapalestina 6,000" ambao wamekuwa wakishikiliwa katika jela za Israel.
"Viongozi wa vuguvugu la ukombozi la Hamas wametangaza kuwa tayari kuwaachilia wafungwa wasiokuwa wanajeshi na Iran, Uturuki na Qatar ziko tayari kutekeleza jukumu lao katika juhudi hii muhimu," alisema mwanadiplomasia huyo wa Iran.
Ubalozi wa Israel mjini Pretoria awali uliripoti kuwa raia wawili wa Afrika Kusini, raia wa Eritrea na raia mmoja wa Sudan pia walikuwa miongoni mwa waliofariki au kutoweka.
Mpumzike kwa amani wana wema wa tumbo la mama Tanganyika. Uhai wenu umefupishwa bila sababu na bila huruma. Mungu pekee awafariji wazazi wenu
 
dogo mollel kauliwa kama myamaa vilee mazee...mwenzake mtanganyika mwenzetu kuna video kule telegram mapalestina yakimuingiliaa kinyumeee ...
20231217_233214.jpg
 
Vifo vya Watanzania wenzetu Joshua na Clemence vya acha maswali mengi yenye kuhitaji ufafanuzi toka pande zote nne:- 1. Serikali ya Tanzania
2. Serikali ya Israel
3. Serikali ya Palestine
4. Chama cha Hamas

Kwa kuanza na taarifa rasmi ya mwanzo kabisa ya Israel kuhusu vijana wetu iliyo toka oktoba 30 baada ya shambulizi la oktoba 7

Israel yawatambua Watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas​

30 Oktoba 2023
Na Yusuf Jumah
BBC Swahili
TH

CHANZO CHA PICHA,ISRAEL MFA
Serikali ya Israel imethibitisha utambulisho wa watu wawili kutoka Tanzania wanaoaminika kushikiliwa na Hamas tangu shambulio la Oktoba 7 dhidi ya jamii za kusini mwa Israel, karibu na mpaka na Gaza.

Joshua Loitu Mollel na Clemence Felix Mtenga walikuwa nchini Israel kama sehemu ya programu ya mafunzo ya kilimo, kulingana na taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel.

"Walitekwa nyara na magaidi wa Hamas na wanazuiliwa mateka huko Gaza," ujumbe huo ulisema. "Tafadhali ungana nasi kuwaombea warudi salama na mara moja."

Mollel na Mtenga walikuwa sehemu ya kundi la wanafunzi waliokuwa wakiishi Kibbutz Nahal Oz. Walikuwa wametoweka tangu mashambulizi hayo, lakini Israel ilikuwa bado haijathibitisha utambulisho wao au kuripoti kilichowapata.

Tanzania ilisema Alhamisi kuwa inafahamu kuhusu wanafunzi wawili waliopotea ambao ni sehemu ya kundi la Watanzania 260 nchini Israel, lakini bado haijathibitisha walipo. Watanzania tisa waliokuwa Israel walirejea nyumbani Oktoba 18.

BBC hapo awali ilizungumza na familia ya mmoja wao, Joshua Mollel, ambaye ni mmoja wa mwanafunzi hao lakini ikasema haikuwa imewasiliana naye tangu wakati wa shambulio hilo.
Habari hizo zinakuja huku kukiwa na majadiliano ya pendekezo la Hamas la kuwaachilia mateka.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amirabdollahian, alisema wiki iliyopita kwamba Hamas iko tayari kuwaachilia mateka lakini "ulimwengu unapaswa kuunga mkono kuachiliwa kwa Wapalestina 6,000" ambao wamekuwa wakishikiliwa katika jela za Israel.

"Viongozi wa vuguvugu la ukombozi la Hamas wametangaza kuwa tayari kuwaachilia wafungwa wasiokuwa wanajeshi na Iran, Uturuki na Qatar ziko tayari kutekeleza jukumu lao katika juhudi hii muhimu," alisema mwanadiplomasia huyo wa Iran.

Ubalozi wa Israel mjini Pretoria awali uliripoti kuwa raia wawili wa Afrika Kusini, raia wa Eritrea na raia mmoja wa Sudan pia walikuwa miongoni mwa waliofariki au kutoweka.
Kwanini Balozi wa Palestina mpaka sasa hajaitwa Wizara ya Mambo ya nje kuhojiwa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Thamani ya Mtanzania awepo ndani au nje ya taifa yapaswa kupewa umuhimu mkubwa.

Serikali isituletee majibu mepesi mepesi na ya jumla jumla as if wamekufa mifugo isiyo na mtu
Kijana wa Tanzania kafa kinyama na clip inaenda viral Duniani kwa kasi sana lakini Rais wa nchi yupo busy kwenye sherehe anagawa tuzo za wazalishaji bora.
Yaani serikali ata kumpiga mkwara Balozi wa Palestina kwa kumwita kujieleza,hamna!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kuua raia wasiohusika na maadui zako vitani ni uhuni, unyama mtupu usiostahili kufumbiwa macho hata kidogo, kuunga mkono Hamas bila kulaani ule ushenzi walioufanya kwa watanzania wenzetu, nao ni ujinga na unafiki wa kiwango cha juu kabisa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
jamaa kuwa mweusi walitakiwa angalau wamteke, sasa jinsi walimpiga risasi utadhan wana ugomvi nae,,, mwana kapigwa risasi nyng za kichwa daa
 
Kijana wa Tanzania kafa kinyama na clip inaenda viral Duniani kwa kasi sana lakini Rais wa nchi yupo busy kwenye sherehe anagawa tuzo za wazalishaji bora.
Yaani serikali ata kumpiga mkwara Balozi wa Palestina kwa kumwita kujieleza,hamna!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Tunaishi nchi ya ajabu sana, viongozi hawajali raia wao kabisa, tuishi tu tusubiri kufa, mmoja kasema leo kama huwezi kuishi dar sepa kijijini usilalamike
 
Kijana wa Tanzania kafa kinyama na clip inaenda viral Duniani kwa kasi sana lakini Rais wa nchi yupo busy kwenye sherehe anagawa tuzo za wazalishaji bora.
Yaani serikali ata kumpiga mkwara Balozi wa Palestina kwa kumwita kujieleza,hamna!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Yaani inatia aibu sana, sema huyo bibi kwa kuwa hawajafa ndugu zake katika imani hivyo hawezi kuhoji chochote 😡
 
Back
Top Bottom