Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,681
- 46,363
CHADEMA kama mnalenga kushika madaraka kwa kura kuna mambo viongozi wenu hawapaswi kuyaongelea kabisa katika umma kwa sababu yanawagawa raia.
Suala kama vita vya Ukraine na Urusi viongozi wa chama chenu hawapaswi kuliongolea kwa kuchukua upande.
Vita vya Israel na Hamas havipaswi kuzungumzwa na viongozi wenu katika umma hasa kwa kuchukua upande tena na kiongozi mkubwa kama Lissu. Hili hata Gwajima amewashinda.
Msiwe mnailinganisha Tanzania na nchi majirani kama Kenya au Rwanda kwa kuonyesha udhaifu kwani mnaoidogosha na pia kuna Watanzania wengi sana wanaona Tanzania ni bora kuliko hizo nchi hivyo mnawakwaza bila sababu za msingi.