Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Watawala wa Afrika wanaamini kuwa mtu kutokuwa na kazi au kuishi kwenye mazingira ya kusoma kunakuondolea ushawishi kwenye jamii.
Aliyekuwa raisi wa Sudan mfalme Albashiri hakuwa na ndoto kuwa kwa sauti ya mdada kama huyu ingeweza kumuondolea heshima na kutukuzwa toka pale mjini Khartoum.
Leo hii anaishi maisha ya kuamliwa tena na walinzi aliokuwa anawaamrisha na kuwalipa yeye mshahara.