Waziri Ummy kaingizwa king bila kujua

curie

JF-Expert Member
Oct 25, 2020
664
1,489
Taarifa ya Ummy
Taarifa ya Mkurugenzi wa Ilemela kuhusu Kituo cha Afya Buzuruga. Tunaendelea kuboresha huduma za Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto. Na namba Zinatubeba
---
Ukweli utabaki kuwa Serikali ya Awamu ya 6 imewekeza sana katika kuboresha huduma za Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto. Matokeo chanya yanaonekana. Hivi sasa asilimia 81 ya wajawazito nchini wanajifungulia ktk vituo vya kutoa huduma za afya kulinganisha na asilimia 63 mwaka 2016. Aidha Vifo vya wajawazito vimepungua kutoka vifo 556 katika kila vizazi hai 100,000 hadi vifo 104 katika kila vizazi hai 100,000. Namba zinaongea.

Hata hivyo tufahamu kuwa sekta ya Afya ni very dymamic, hivyo kila siku zinaibuka changamoto mpya. Hivyo hatuwezi kuzimaliza changamoto zote siku moja au muhula mmoja. Tutaendelea kuchukua hatua mahususi ili kuzitatua kwa haraka changamoto za utoaji huduma za afya nchini kadri zinavyojitokeza. Huduma za Afya ya Uzazi, mama na mtoto tunazipa kipaumbele cha juu

Picha za buzuruga kaichanga na igoma
View attachment 2845974
IMG_20231218_141449.jpg
 
Hata kama huduma za afya ziko dynamic na zinabadilika kila siku lakini suala la wajawazito kujifungulia chini na kulala wamama wawili hadi watatu kitanda kimoja baada ya kujifungua SIO SAWA serikali ibadilike kwenye vipaumbele vyake waiangalie afya kwa jicho kubwa
 
Hata kama huduma za afya ziko dynamic na zinabadilika kila siku lakini suala la wajawazito kujifungulia chini na kulala wamama wawili hadi watatu kitanda kimoja baada ya kujifungua SIO SAWA serikali ibadilike kwenye vipaumbele vyake waiangalie afya kwa jicho kubwa
CCM wanatuona hatuna akili..
 
Wahuni wa mtandao wa X wameruka nae mbaya zaidi.

Binafsi huwa namuona Ummy kama Public Relations officer wa wizara na sio waziri.
 
Back
Top Bottom