Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MBUNGE wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangala ametaka viongozi wa Chadema waliotoa kauli kuwa wataingilia mchakato wa Katiba wachukuliwe hatua za kisheria na kutishia kuwashughulikia iwapo watakwenda...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Nimewahi kukaa na Mzee mmoja mstaafu, akanipa kaukweli fulani kuhusu aina ya viongozi tulionao. Kuwa , 1. Hawashauriki kwa mambo yaliyo wazi. 2. Hawako makini kwenye maamuzi. 3. Hawana upeo...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Na Charles Heche Waswahili wanasema siku za mwizi ni arobaini, bila kupepesa macho naona siku za Freeman Mbowe ndani ya Chadema zinahesabika kutokana na ubadhirifu ambao umefanywa bila huruma...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Tunaelekea kwenye miaka miwili ya utawala wa kiimla ili kulazimisha Mama abaki madarakani kinguvu. Kuanza kuzuia uhuru wa kujieleza hadi sehemu za starehe ni hatari. Mwishowe mama atakuja apate...
0 Reactions
5 Replies
785 Views
Kiukweli nakua na wasi wasi sana juu ya upinzani wa Tanzania ni kweli wanataka dola au watoa taarifa kama alivyosema Makonda. Kwasababu gani nina mashaka na upinzani kwanini wanatulazimisha...
12 Reactions
115 Replies
5K Views
Mjadala wa siku nyingi ni juu ya pesa inayotumika kujengewa wanaohamishwa Ngorongoro. Sasa tutathibitisha mauzo ya mwarabu. Serikali haitaki kusema ni pesa ya mauzo ya Ngorongoro, ina maana ni...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Halafu GENTAMYCINE nikusaidie tu kwa Kukuambia kuwa Dagaa na Samaki wa Kawaida hawawezi kuwa Wakorofi na Wajanja Wajanja ndani ya Bahari halafu Mkubwa wao Nyangumi ama asijue au asiwe...
2 Reactions
5 Replies
896 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akipokea mchango wa Walimu Wakuu wa shule za Sekondari nchini kwaajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya...
1 Reactions
4 Replies
836 Views
Kama nilivyosema hakuna mtaji mzuri wa CCM kama umasikini na ujinga kwa Watanzania. Ndio maana wanafanya kila hila ili umasikini uendelee. Watanzania kila wakipambana hili wajikwamue na...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
RAIS WETU MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AMEFANYA KAZI KUBWA SEKTA YA MAJI, HII NI ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAJI WILAYA YA LUDEWA. ZIARA ITAGUSA MIRADI IFUATAYO KATA YA MAVANGA MRADI...
0 Reactions
6 Replies
621 Views
Urais wake unaweza kuwa unatishiwa na nani? kwa maana nguvu kubwa inatumika kumfanyia kampeni kila mahali t shirt zinavaliwa mabango kila mahali sasa against who? Kutoka vyama vya upinzani pia...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Najua mpo mtakao nipinga ila sijali nitajua napingwa na hao hao WASOMI waliogeuka WAJINGA. TANZANIA kwa sasa kupitia utitiri wa VYUO VIKUU ni wazi inazalisha WASOMI wengi.Idadi kubwa sana ya hao...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Wananchi wa Kijiji cha Mtisi, Kata ya Sitalike Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamemgomea mwekezaji anayetaka kuwekeza katika maeneo ambayo yapo karibu na mto ambapo maeneo hayo ndio tegemeo...
0 Reactions
2 Replies
718 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa ziarani Mkoa wa Mara tarehe 25, Julai amemtembelea Jenerali mstaafu David Musuguri Nyumbani kwake Butiama mkoani Mara...
4 Reactions
50 Replies
4K Views
Gen. David Bugozi Musuguri (103) rtd CDF amezawadiwa nini kwenye sherehe za miaka 62 ya uhuru? Miaka 44 ya vita ya Kagera? Miaka 46 ya utumishi jeshini (1942-1988)? Vita alivyopigana:- 1. WW II...
8 Reactions
60 Replies
5K Views
Wanajamvi salaams Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara? Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani...
0 Reactions
7 Replies
740 Views
Alikuwepo Mkata utepe mmoja aliyetokea Magharibi mwa kisiwa cha Kusadikika alikuwa mpole, mnyenyekevu na asiye na makuu yeye alijua tu kufanya kazi katika wafalme mbali mbali wa kisiwa hicho...
8 Reactions
69 Replies
7K Views
Serikali iko katika mpango wa kuandaa dira au mpango wa maendeleo wa miaka 25 ijayo kwa nchi hii(2025-2050). Jambo hili halina tija kwa sababu nyi sana na hizi na baadhi tu. 1. Mipango ya muda...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
NHIF mkoa wa Tabora wanasumbua sana wafanyakazi wanaongoza kwa kuomba rushwa, pia wanalazimisha na mwenza wake awe namba ya NIDA Huu mfuko tunauchangia lakini masharti yamekuwa mengi lakini...
0 Reactions
1 Replies
766 Views
IMF Executive Board Completes Second Review Under the Extended Credit Facility Arrangement for the United Republic of Tanzania and Approves US$150.5 million Disbursement...
0 Reactions
1 Replies
663 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…