TANZIA Rest In Peace Ngosha Joseph Pande naibu DPP, Kifo chako kimeniumiza

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
60
1,237
Da! Kifo cha Pande kimeniumiza mno. Alipokuwa ofisi ya DPP kanda ya Mbeya kabla ya kupandishwa cheo mara kadhaa alikuwa anakataa kesi za mchongo dhidi yangu alizopelekewa na polisi. Alishawahi kumkatalia RCO wa Songwe alipotaka niunganishwe kwenye mashtaka ya kuvuruga uchaguzi wa mamlaka ya mji mdogo Mlowo Mbozi na kufanya vujo iliyokuwa inamkabili aliyekuwa mbunge wa eneo hilo Pascal Haonga na wenzake. Baada ya RCO kukataliwa kwa sababu alikuwa na roho mbaya akanifungulia mashtaka mengine ya uchochezi, Pande akamuambia alete ushahidi RCO huyo kachemka kesi ikafutwa mahakamani baada ya ofisi ya DPP kushindwa kuleta mashahidi.

Alifanya hivyo kwa RCO wa Mbeya na askari wengine waliokuwa wananipikia kesi za mchongo. Alipohamishwa 2019 baadaye 2020 nikapewa kesi ya mchongo ya drugs trafficking ambayo ilisukwa na aliyekuwa kuwa RPC wa Mbeya mzee Mtei, RCO anaitwa Katimbo na ASP mmoja anaitwa Siyame, hawa siku yao inakuja lazima waje wajute kwa haya waliyoyanifanya.

Rest In Peace Ngosha Pande.
20231220_154922.jpg
 
Kila nafsi itaonja umauti

Pole kwa kuguswa na msiba ndugu Mdude_Nyagali

Alale salama Bwana J. Pande, Mungu amrehemu dhambi zake
 
Da! Kifo cha Pande kimeniumiza mno. Alipokuwa ofisi ya DPP kanda ya Mbeya kabla ya kupandishwa cheo mara kadhaa alikuwa anakataa kesi za mchongo dhidi yangu alizopelekewa na polisi. Alishawahi kumkatalia RCO wa Songwe alipotaka niunganishwe kwenye mashtaka ya kuvuruga uchaguzi wa mamlaka ya mji mdogo Mlowo Mbozi na kufanya vujo iliyokuwa inamkabili aliyekuwa mbunge wa eneo hilo Pascal Haonga na wenzake. Baada ya RCO kukataliwa kwa sababu alikuwa na roho mbaya akanifungulia mashtaka mengine ya uchochezi, Pande akamuambia alete ushahidi RCO huyo kachemka kesi ikafutwa mahakamani baada ya ofisi ya DPP kushindwa kuleta mashahidi.

Alifanya hivyo kwa RCO wa Mbeya na askari wengine waliokuwa wananipikia kesi za mchongo. Alipohamishwa 2019 baadaye 2020 nikapewa kesi ya mchongo ya drugs trafficking ambayo ilisukwa na aliyekuwa kuwa RPC wa Mbeya mzee Mtei, RCO anaitwa Katimbo na ASP mmoja anaitwa Siyame, hawa siku yao inakuja lazima waje wajute kwa haya waliyoyanifanya.

Rest In Peace Ngosha Pande.View attachment 2848217
R.I.P
 
Wewe ndio umemuua mkuu,wewe niamini TU mkuu!!

Nadhani umenielewa!nenda deep utanielewa

RIP comrade!
 
Kifo ni fumbo , pole Kwa wafiwa na mdude pia . Haki inauma sana kuiendea haswa ukitanguliza tumbo mbele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom