Rais Samia avunja Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, ateua Mwenyekiti mpya

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Screenshot_2023-12-19-21-38-27-702_com.instagram.android-edit.jpg

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikiwa ni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wake, Meja Jenerali Paul Kisesa kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda.

Kufuatia uamuzi huo, Rais amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyasabo kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo. Dkt. Nyasabo ni Mkurugenzi wa Maendeleao ya Biashara wa Benki ya Azania.

Uteuzi huu unaanza mara moja.
 
IMG_9393.jpeg

Kufuatia Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania chini Uganda tarehe 18 Desemba, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameivunja Bodi hiyo na amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Simuli.

Dkt. Nyansaho ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania.

View attachment 2847453

Huyu mama anajitekenya alafu ana Cheka mwenyewe

Wallah tume huru ya uchaguzi ingekuwepo

CCM isingekuwepo madarakani until now
 
View attachment 2847453

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikiwa ni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wake, Meja Jenerali Paul Kisesa kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda.

Kufuatia uamuzi huo, Rais amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyasabo kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo. Dkt. Nyasabo ni Mkurugenzi wa Maendeleao ya Biashara wa Benki ya Azania.

Uteuzi huu unaanza mara moja.
Kama ni ugonjwa basi nchi hii imepata ugonjwa wa kifafa..huyo anayefanya vetting ni km ameamua kupendelea watu kutoka mkoa wa Mara wadominate nafasi serikalini, ukiangalia kupitia majina..nafasi nyingi kwa sasa ni watu wa kutoka mara..nyabudege, matinyi, makori, Nyasabo, mafuru.. kuanzia madc, wakurugenzi nk orodha ni ndefu..stop this kind of selfishness!
 
View attachment 2847459
Kufuatia Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania chini Uganda tarehe 18 Desemba, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameivunja Bodi hiyo na amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Simuli.

Dkt. Nyansaho ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania.

Uteuzi huu unaanza mara moja.
Dotto Biteko kapewa fursa kupanga timu yake (board members). Mwisho wa bodi ya makamba. Sasa hakuna kisingizio. Dotto weka watu wako ila jua watanzania wanataka Umeme. Na hautakuwa Tena na kisingizio kuwa bodi hukupendekeza Wewe. Bado miezi mitatu ya ultimatum mliyopewa kumaliza mgao nchini
 
..miezi mitatu ya ultimatum inaisha Dec 26.

..Maza hajui anafanya nini. Yeye ni bora liende.

..alipomteua huyo Meja Jenerali kuwa Mwenyekiti wa Bodi hakujua kuwa anasubiri kuthibitishwa kuwa balozi?
 
Kama ni ugonjwa basi nchi hii imepata ugonjwa wa kifafa..huyo anayefanya vetting ni km ameamua kupendelea watu kutoka mkoa wa Mara wadominate nafasi serikalini, ukiangalia kupitia majina..nafasi nyingi kwa sasa ni watu wa kutoka mara..nyabudege, matinyi, makori, Nyasabo, mafuru.. kuanzia madc, wakurugenzi nk orodha ni ndefu..stop this kind of selfishness!
Mama hajajua katika note book ya wakoloni wa kizungu kuna siri nzito ikielekeza wale wote watakao enda Tanganyika wawe makini na jamii ya watu wa mara katika utawala.
Ni watu ambao hawafugiki, hawa aminiki na wenye maamuzi ya kijasiri bila kufikiria kesho itakuwaje .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2847453

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikiwa ni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wake, Meja Jenerali Paul Kisesa kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda.

Kufuatia uamuzi huo, Rais amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyasabo kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo. Dkt. Nyasabo ni Mkurugenzi wa Maendeleao ya Biashara wa Benki ya Azania.

Uteuzi huu unaanza mara moja.
TATIZO LA TANESCO SIO BODI WALA WATENDAJI
TATIZO LA TANESCO NI UKUBWA wa SHIRIKA hebu ligawanyeni Shirika
Uuzaji uwe pekee yake,nguzo na usambazaji uwe pekee yake na vyanzo kwa maana ya mabwawa na utafutaji umeme uwe pekee yake

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom