Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024. Kauli za...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Serikali ya Tanzania imesema thamani ya misaada iliyotolewa na wahisani mbalimbali kwenye maafa ya Hanang imefikia Sh7.7 bilioni. Kiwango hicho kinajumuisha misaada ya chakula na mahitaji muhimu...
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu amezindua program ya Binti Mzalendo iliyoandaliwa na Ngome ya Vijana ya chama. Program hiyo itawatambua na kuwahamasisha Mabinti Wazalendo Ili kuwaandaa...
1 Reactions
8 Replies
802 Views
Wakati ule wa Nyerere hapakuwepo Takukuru hivyo DCI alifanya majukumu yote ya kiuchunguzi Baada tu ya Waziri Slaa kutoa taarifa za kukataa rushwa mbele ya wanahabari nguli akina Muhidin Michuzi...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Kama kuna jambo linalonifanya kila siku niseme inawezekana nchi yetu tulilaaniwa ni namna ambavyo nchi yetu imejengwa vibaya bila mpangilio. Yaani namna watu wanavyojijengea hovyo hovyo tu bila...
2 Reactions
5 Replies
760 Views
kabla ya uvamizi nchi ya Syria kama zilivyokuwa nchi nyingi za kiislamu leo hii kama vile Iraki, Uturuki na nyinginezo zilikuwa Christian majority societies, kila kitu kilibadilika baada ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Sababu nyingi zimetolewa ikiwemo upungufu wa maji kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme.Mvua nyingi imenyesha lakini cha ajabu hali ya upatikanaji wa umeme imezidi kuwa mbaya sana. Pamoja na umeme...
1 Reactions
11 Replies
856 Views
Baadaa ya waziri slaa kukata Bomba la pesa la wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi Zima Sasa mashambulizi makali yanaelekezwa kwake kuelekea uchaguzi wa serkali za mitaa na ule mkuu . Hawa wenyeviti...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Tuweni makini na wanasiasa Aina ya mbowe na kundi lake " Leo nimeamini kwanini mwendazake aliwaminya kutofanya siasa , alijuwa hawana hoja yoyote Zaidi ya porojo. Alichokosea JPM NI kubana cake...
1 Reactions
11 Replies
677 Views
Nashauri vyama vya upinzani kuamka na kuanza kuandaa nguvu ya kupambana na ccm. Huku mitaani nimeona viongozi wanaotokana na ccm wanaandaa vikundi vya ulinzi na usalama kama maandalizi ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kimsingi Kanisa Moja Takatifu La Mitume lina pande mbili Magharibi na Mashariki na wengine huita Ukatoliki wa Magharibi na Mashariki Ukatoliki wa Magharibi ndio Ule wa Roma ukiongozwa Moja kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama Mtanzania nayeguswa na jinsi wananchi wanavyoteseka kwa mgao wa umeme ususani kwenye sekta ya wajasiliamali wadogo ( Welding/wanausika na aluminiam, viwanda vidogo vya kushona, saluni za...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mh.waziri wetu wa TAMISEMI sisi walimu wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma tuli-submit maombi yetu ya kwenda likizo ya malipo mwezi wa 11 mwanzoni. Ilikuwa tuende likizo kujiunga...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
SERIKALI KUJENGA VITUO VYA AFYA KATA YA KIA, MUUNGANO, MNADANI, UROKI NA WERUWERU KATIKA HALMASHAURI YA HAI Serikali kupitia ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa imedhamiria kujenga...
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Kuna mengi mnaweza msingizia Rais nikanyamaza. Nikasemehe. Lakini hili la kusema ana maono.... Hapana hapa mnamkosea sana. Mlisema haijengi nchi, nchi haina uelekeo nikanyamaza. Nikasema anyway...
40 Reactions
101 Replies
7K Views
Waziri wa ardhi anajinasibu kuwa amekataa rushwa ya milion 300 ambayo alikuwa aongwe na mmiliki wa kituo Cha mafuta Cha barrel Sasa unajiuliza tangu lini CCM viongozi wake wakawa wahadilifu lini...
2 Reactions
12 Replies
918 Views
Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang SERIKALI imetumia taarifa za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Waziri Mhagama Ashiriki Msiba wa Aliyekuwa Diwani Mbinga Mhalule Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika Sera, Bunge na Uratibu (Mb.) Peramiho Mhe. Jenista Mhagama ameshiriki katika...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Paul Makonda yupo kwenye mkutano na waandishi wa habari. Maswali yote hata yanaonekana kumchokozana kumpanikisha lakini anajibu kwa utilivu kabisa na...
8 Reactions
129 Replies
8K Views
MUSOMA VIIJIJINI WAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZAKE ZA KATA Kwenye miradi ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi (fizikia, kemia na bailojia) kwenye...
0 Reactions
2 Replies
552 Views
Back
Top Bottom