Malawi Yapiga Marufuku Mahindi ya Tanzania & Kenya.Yahofia Ugonjwa wa Lethal Necrosis ambao Hauna Sawa.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Mamlaka Nchini Malawi imezuia uagizaji wa Mahindi kutoka Tanzania na Kenya Kwa kile walichodia ni kuepusha kuambukizwa ugonjwa wa Nethal Necrosis ambao wanadai hauna dawa.

Mamlaka Nchini humo zinadai ugonjwa huo ukiingia Kwao utatoshia usalama wa chakula.

Tanzania is investigating reports that Malawi has banned imports of its maize over fears of a devastating disease.

The decision comes after Tanzania this week, through its Tanzania Plant Health and Pesticides Authority, issued a temporary ban on the importation of maize seeds from Malawi on grounds of the ongoing Pest Risk Analysis, which includes the assessment of risks associated with the introduction of genetically modified maize seeds.

Days later, Malawian authorities reportedly announced the ban on unmilled maize from Tanzania and Kenya, citing concerns about the spread of Maize Lethal Necrosis Disease (MLND).

This disease, with no known cure, can cause up to 100% yield loss, threatening Malawi's staple food security.

Visit www.thecitizen.co.tz to read the full article.

Angalizo.
Tunaomba Wizara ya Kilimo itoe maelezo huu ni ugonjwa gani na Je mahindi ya Tanzania yana huo ugonjwa?
 
Kuna zile ambazo ukichomoa zinatoa mlio kama peni ya speedo. Ukikutana na yamoto utahonga kila kitu.

Kama hujaelewa pita.
 
Mamlaka Nchini Malawi imezuia uagizaji wa Mahindi kutoka Tanzania na Kenya Kwa kile walichodia ni kuepusha kuambukizwa ugonjwa wa Nethal Necrosis ambao wanadai hauna dawa.

Mamlaka Nchini humo zinadai ugonjwa huo ukiingia Kwao utatoshia usalama wa chakula.

View: https://www.instagram.com/p/C1Jw_X6Kbzp/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Angalizo.
Tunaomba Wizara ya Kilimo itoe maelezo huu ni ugonjwa gani na Je mahindi ya Tanzania yana huo ugonjwa?

According to Google, ni ugonjwa unaoathiri mahindi yakiwa shambani, yaani yanaliwa na virus huyo.
 
Wamalawi watakuwa wamevuna Stock yakutosha sisi tunakula Ugali na tunakunywa Uji tokea tuzaliwe tungeshazikwa siku nyingi sana.
 
Back
Top Bottom