Tatizo Kalemani aliiacha Tanesco ikiwa Bora Sana Amekuja mh Dr Biteko ameikuta Imechoka Sana, hilo Ndio limewachanganya Wengi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,025
Yaani Wananchi wakielezwa Kwanini Dr Kalemani hakuleta mgao wa Umeme na Dr Biteko ameleta mgao wa Umeme basi wataendelea kuwa wavumilivu

Wanachojiuliza ni Kwanini yule aliweza na Huyu anashindwa wakati Mvua ni nyingi?

I wish you a Merry Christmas!
 
Dotto kawekewa tego, Makamba na Maharage walishaharibu kila kitu na kuhakikisha hakuna wa kubadili na akikomaa hawa ni mafia they will kll him. Yaani hii nchi bora wangekuwepo wakoloni tu, yaani vijana wadogo wezi wezi inasikitisha sana. Ila iko siku atatokea kiongozi kama Dkt Magufuli yaani waliohujumu wote watauawa kwa risasa washenzi sana. Haiwezekani umeme uwepo leo anakufa mtu mmoja nchi inaingia kwenye mgao wa kulazimisha
 
]JIBU NI MOJA TU ...KITI CHA URAIS ATAKIWI KUKIKALIA MPUMBAVU .
 
Yaani Wananchi wakielezwa Kwanini Dr Kalemani hakuleta mgao wa Umeme na Dr Biteko ameleta mgao wa Umeme basi wataendelea kuwa wavumilivu

Wanachojiuliza ni Kwanini yule aliweza na Huyu anashindwa wakati Mvua ni nyingi?

I wish you a Merry Christmas!
JIBU NI MOJA TU ...KITI CHA URAIS ATAKIWI KUKIKALIA MPUMBAVU .
 
Wanasema mvua zimenyesha mikoa mingine sio Dodoma, Singida, Mbeya na Iringa ambapo ndio hupeleka maji Mtera na Kidatu.

Sasa tunataka kuwauliza je kwanini huko mikoa mvua zinaponyesha nyingi wasijenge Hydroelectric dams pia. Ili upande huu ukikataa tunahamia upande ule.

Hii ni nchii pekee mvua yake ni ya tope.
 
Back
Top Bottom