Mara utasikia Hayati ameacha miradi mingi. Hiyo miradi ni ipi? Kila Rais aliyetawala nchi ya Tanzania kuna jambo muhimu alilofanya, hakuna Rais alieitawala nchii hii akamaliza muda wa uongozi bila...
Mbowe kuondolewa madarakani kwa nguvu.
Matumizi ya pesa za umma kuwekwa wazi. Na pesa kutumiwa kwa nia thabiti ya kuig'oa CCM madarakani.
Chawa Mbowe akina T. Mwaipwaya na yule dogo wa Mwanza...
Hutaki, acha!
Tundu Antipas Lissu alitumia kila aina ya Jukwaa hadi la Miti kufikisha Ujumbe kwa Wananchi.
Tundu Antipas Lissu alikwenda Ngorongo kuongea na Wananchi licha ya Zuio la serikali...
Hapo awali tuliaminishwa Shujaa Maguful alikuwa analidharau Bunge kwa kutopeleka bungeni mambo muhimu yanayohitaji Usiri
Kumbe hata Marekani ni vivyo hivyo Serikali ya Biden imeiuzia kwa dharura...
Operesheni 255 iliyopigwa kanda ya ziwa na Kusini iliwaibua akina kinana na Chongoro kuingia mtaani. Waliposhindwa kushawishi watu ikalazimu ateuliwe Naibu WAZIRI Mkuu ambaye naye pia amepita...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Awamu ya nane inatilia mkazo ujenzi wa viwanja vya michezo mbalimbali ili kutanua wigo wa...
Kila mwaka ikifika Januari lazima tangazo la kuwataka wakuu wa mikoa kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya shule Litoke.
Tangazo hili uambatana na kuwatumbua wakuu wa mikoa au wilaya kuashiria...
UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
Mkutano huu kushirikisha Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa.
Lengo ni kujadili Miswaada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za...
Natanguliza salamu za dhati kwako Mh. Waziri
Pili, niwasalimu waatalamu wa Ardhi nchi nzima wanao kusaidia kufikia azma ya majukumu yako ulio aminiwa na Taifa kuyasimamia na kuyaongoza.
Waraka...
Utangulizi.
Rambaramba maarufu kama Kamchape ni vitendo ambavyo vinashika kasi taratibu lakini kwa uhakika sana ndani ya mkoa wa Kigoma soon or later vitalipuka kama bomu na kusababisha maafa...
Huu ndio utabiri wangu kwa wale wabunge waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la CHADEMA.
Hata hivyo, Mama kupitia washauri wake, anaweza kuwapa baadhi yao nafaai za uteuzi serikalini hasa Mdee...
Adui na bundi wa chama cha CCM wapo ndani ya CCM na sio nje ya CCM.
Hapa ni baadhi ya hao maadui nitajaribu kuwataja
1.Mkapa kajilimbikizia mali yeye,familia yake na marafiki zake na na akijua...
Mbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia
Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani amewahimiza waumini wa dini zote kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa kutekeleza maagizo mbalimbali ili mchakato wa kuwapokea Wanafunzi wapya Shule za...
Kwa Tamko hili ni wazi nao TAWA kama walivyo Watanzania nao wanashangaa kuona hiyo Clip hivyo wanafanya uchunguzi kuona na walitoa kibali au hawakutoa kibali!
Hizi aibu ni Tanzania pekee unaweza...
Inashangaza kusikia kwamba Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akitumia Jina la Rais Samia kutaka kuhalalisha ulaji wa pesa zaidi ya Shilingi Bilioni 625 za Ufadhili/Mkopo kutoka World Bank Kwa kuanzisha...
Baada ya kuripotiwa Kwa habari za mvurugano huko Chadema ambapo Lisu anataka Kumpindua Mwenyekiti Mbowe huku Mbowe akitaka Sugu agombee Urasi Hali ya sintofahamu imezidi kushika Kasi.
Huko Geita...
Toka Israel ianze mashambulizi dhidi ya Gaza taifa pekee ambalo Rais wake alijitokeza na kulaani mashambulizi ya Israel huko Gaza ni Rais wa Afrika Kusini tu. Hakuna rais wa nchi ya kiarabu...
Asalaam Aleykum.
Ama baada ya salamu hizo, niangukie kwenye mada moja kwa moja.
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na taharuki kwa wanufaika wa mfuko wa NHIF mara baada ya watoa huduma za Afya...