Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Meli imeingia bandarini tarehe 2/13/2023 na mpaka leo bado mizigo haishushwa. Ni karibu wiki sasa mambo hayaeleweki! Je, nani katuloga watanzania? Je waarabu nao wameshindwa kazi kama serikali...
2 Reactions
14 Replies
931 Views
Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi. Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli. Chama kinatakiwa kije kukamata dola...
1 Reactions
92 Replies
4K Views
Kazi ya Kufanywa na Mganga Mkuu wa Wilaya inakuwaje apewe Naibu Waziri Mkuu ? Sababu hasa ya kufanya hivi ni nini , Posho au ndio kutafutiana koneksheni ? Zahanati zote mtafanya hivi au ni hiyo...
2 Reactions
8 Replies
686 Views
Ni ajabu sana kwamba kwa miaka 5 hatuwahi kuwa na tatizo la umeme kukatika mara kwa mara kama ilivyo sasa. Wote tunajua umeme ulikuwa ukikatika lakini sio kwa kasi hii iliyopo sasa hasa baada ya...
20 Reactions
105 Replies
7K Views
Na Mwl Udadis, Dsm CBD Moja ya sifa kuu ya kiongozi bora wa nchi ni kutatua matatizo kwa kuleta suluhu ya kudumu, wazungu wanaita "sustainable solutions", kwa bahati mbaya akili ndogo huhitaji...
2 Reactions
9 Replies
945 Views
Mimi naushauri TANROADS waruhusu malori yawe yanapita barabara ya katikati kabisa ambayo inaonekana imetengwa kwaajili ya mabasi ya mwendokasi. Barabara ile ambayo ndiyo ilikuwa barabara kuu...
3 Reactions
6 Replies
649 Views
Dini ya haki dini ya haki! Kule Nigeria kula kukichwa wanaua makumi hadi mamia ya Wakristo. Halafu kuna mtu anazungumzia Qhamas. Kwenye hii dini kuna roho mbaya sana...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka wakulima wa miwa kuendelea kulima miwa kwa wingi kwani soko la miwa limekuwa kubwa kutokana na ongezeko la viwanda vya sukari...
0 Reactions
2 Replies
724 Views
Tanzania ina matatizo mengi, na Samia anastahili lawama kwa baadhi ya matatizo yanayoikabiki Tanzania kwa sasa kama hili la mgao wa umeme n.k Lakini kama wewe unaamini kama mimi kuwa maendeleo ya...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania, Baada ya Rais Samia Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge,simba wa nyika, komandoo wa vita kusaga saga kila mfupa...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha mfumo wa kodi ulio rahisi kuutumia kwa kuwekeza zaidi katika mifumo ya...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Mkutano huu kushirikisha Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa. Lengo ni kujadili Miswaada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama vya...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Ni swali tu la Kufungia mwaka Mfano Shilole ni Chawa lakini ana kampuni zake na ameajiri Watu, Ajira ni kipaumbele cha Ilani ya CCM Mfano baba levo ni Chawa lakini anategemea Ajira kutoka kwa...
1 Reactions
5 Replies
496 Views
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, cha kila Jumatatu, kaonyesha misimamo yake. Kuwa, anapenda aone wananchi wana uelewa wa kutosha kuhusu maono ya Mama yetu Raisi. Na...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mhe. Dkt. Abdulaziz M. Abood amefanya ziara kwenye Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro iliyopo kwenye jimbo lake. Mhe Mbunge amefika hospitalini hapo na...
0 Reactions
4 Replies
861 Views
Wana JF, hizi taarifa nimezipata kwa mtu mkubwa sana ndani ya TISS na ambaye amewahi kuwa kigogo wa idara hiyo. Ameniambia Mzee Jakaya Kikwete ndiye yuko nyuma ya Mpango huu na sehemu kubwa ya...
13 Reactions
108 Replies
11K Views
Nasema Hili kwa sababu Watu wanaona Kiongozi kuigiza tamthilia, sinema nk ri kitu cha kushangaza, hiyo si kweli Siasa ni Sanaa ya Maigizo Hata yanayotokea bungeni mengi huwa ni maagizo yaani...
5 Reactions
12 Replies
853 Views
Ado Shaibu ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amefanya mahojiano na Jambo TV Ofisini kwake Alhamisi Desemba 28, 2023. "Zitto hajang'atuka kwenye Chama, Zitto bado ni Kiongozi kijana na ana...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ziara ya Rais Hanang ilitakiwa kuwa very brief, kuangalia madhara yaliyotokea, atoe pole, basi. Nina Imani Rais alishapewa ripoti nzima ya hali ilivyo Hanang na hivyo alikuwa walau na picha ya...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom