Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo nlikua maeneo ya kawe beach nkafika maeneo ya kikwete ambapo zamani kabla yake palikua na mfereji/mto mkuuubwa unaotiririsha maji yake bahari ya hindi. Mfereji huo ulikua ukikua,kutanuka na...
0 Reactions
1 Replies
419 Views
John Heche ametutakia watanzania heri ya mwaka mpya akiwa katika mbuga za wanyama akifanya utalii wa ndani. Hakika hii ni faraja kubwa sana kwamba sasa utalii wa ndani umevutia watu wengi, hasa...
1 Reactions
1 Replies
473 Views
Kwanza kabisa niwapongeze wote waliopambana humu JF na kwingineko kwa ajili ya kupigania haki kwenye Nchi yetu, Nchi ambayo ndimo tulimozaliwa na ndio Nchi ambayo wamo ndugu zetu na huenda...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa style hii Rais akiamua kukaa madarakani mpaka afe hamna atakaemzuia, kwanza Bunge la Kijani ni kitendo tu cha kuchekecha tu Katiba. Na kwa vichwa vya Wabongo wengi ni hamnazo, kichwani...
0 Reactions
14 Replies
747 Views
Nilikuwa napendekeza. Tuweze kufikia uamuzi wa pamoja kama nchi kuondoa kipengele cha ukomo wa mihula katika katiba. Hiki kipengele binafsi naona hakina maana wala faida yoyote ile kinapaswa...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Wananchi wenzangu 2024 imekwisha piga hodi inahesabu masaa kadhaa toka sasa. 2025 ipo karibu sana Tushtuke wale watu wa kutufanya wajinga muda wowote wataanza kumiminika kwa ahadi kede kede...
1 Reactions
2 Replies
370 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ikiwa chama cha mapinduzi kitaamua kuchagua katibu mkuu wake mpya kurithi na kubeba mikoba iliyokuwa ikishikiliwa na mheshimiwa Daniel Chongolo basi katibu mkuu wa CCM...
5 Reactions
84 Replies
7K Views
Kuna kipindi serikali ilikuwa inanadi sera ya huduma za afya kwa watoto chini ya miaka 5 na wazee wenye umri wa miaka 60 na kuendelea kutolewa bure katika vituo vya serikali. Pamoja na sera hiyo...
1 Reactions
1 Replies
515 Views
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya Mazishi ya Kitaifa ya Rais wa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna Balozi anayejifanyia mambo tofauti na mila, desturi na nidhamu. Anaingia hadi mitaani mwenyewe kibinafsi kuleta siha njema. Walinda legasi wanapiga makofi, wanasema kufuata protokali ni...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
1. Kushuka kwa thamani ya pesa yetu dhidi ya dola 2. kusuasua kwa miradi ya maendeleo 3. mikopo ya hovyo hovyo inayoathiri mzunguko wa fedha kwa wananchi 3. Wizi, ufisadi na uporaji wa mali za...
2 Reactions
15 Replies
905 Views
Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua...
18 Reactions
72 Replies
5K Views
Hizo nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum ni stahiki ya Chadema kama chama Ni vema Mpendwa katika Bwana Rais wa IPU na Spika wa bunge la JMT mh Dr Tulia Mwansasu PhD ukatufanyia wepesi Hili jambo...
0 Reactions
10 Replies
810 Views
Ni muda muafaka sasa kwa Serikali kuruhusu mifuko ya mafao kama NSSF na PSSSF kushindana katika soko. NSSF iongezewe wigo wa kuvutia wanachama toka Serikali, na PSSSF pia ipewe nafasi ya kuingiza...
2 Reactions
1 Replies
909 Views
Hii ndio taarifa mpya ya leo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Addo Shaibu, kwamba chama chake kimetambua ukweli kwamba watu hao wanaoitwa Wabunge wa Viti Maalum hawana chama...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Ninaona vijana wengi machawa wamevuka mipaka na kuanza kusema Samia kafanya hivi kafanya lile mimi ninaweza kusema Samia kawa mpole kupitiliza mpaka kushindwa kusimamia vizuri hela za serikali si...
8 Reactions
16 Replies
891 Views
Mara utasikia Hayati ameacha miradi mingi. Hiyo miradi ni ipi? Kila Rais aliyetawala nchi ya Tanzania kuna jambo muhimu alilofanya, hakuna Rais alieitawala nchii hii akamaliza muda wa uongozi bila...
0 Reactions
1 Replies
343 Views
Mbowe kuondolewa madarakani kwa nguvu. Matumizi ya pesa za umma kuwekwa wazi. Na pesa kutumiwa kwa nia thabiti ya kuig'oa CCM madarakani. Chawa Mbowe akina T. Mwaipwaya na yule dogo wa Mwanza...
-1 Reactions
23 Replies
1K Views
Hutaki, acha! Tundu Antipas Lissu alitumia kila aina ya Jukwaa hadi la Miti kufikisha Ujumbe kwa Wananchi. Tundu Antipas Lissu alikwenda Ngorongo kuongea na Wananchi licha ya Zuio la serikali...
1 Reactions
5 Replies
615 Views
Hapo awali tuliaminishwa Shujaa Maguful alikuwa analidharau Bunge kwa kutopeleka bungeni mambo muhimu yanayohitaji Usiri Kumbe hata Marekani ni vivyo hivyo Serikali ya Biden imeiuzia kwa dharura...
3 Reactions
9 Replies
788 Views
Back
Top Bottom