Tundu Lissu Mwanasiasa Bora 2023 akifuatiwa na Komredi Makonda

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,981
Hutaki, acha!

Tundu Antipas Lissu alitumia kila aina ya Jukwaa hadi la Miti kufikisha Ujumbe kwa Wananchi.

Tundu Antipas Lissu alikwenda Ngorongo kuongea na Wananchi licha ya Zuio la serikali.

Tundu Lissu alitembelea Chato na kumkumbuka kwa Wema Shujaa Magufuli.

Komredi Makonda ameipa Uhai CCM iliyokuwa Imeishiwa pumzi na Kijani sasa wanatembea Vifua mbele.

Namba 3 ni Kijana BAK Wakili msomi kwa uzalendo wa kuitetea Bandari.

Nawatakia Heri ya Mwaka mpya. 😄
 
Ukiweka Makonda unaharibu list🤢🤢🤢🤢🤮🤮🤢🤢🤮🤮🤮💩💩💩💩

Ni sawasawa na Listi ya Pilau na Mapochopocho unaiweka m3za moja na Sahani iliyojaa Uharo wa Mgonjwa wa,Kipindupindu unaharibu Bro🤧🥵🥵🤬🤬👺😡
 
Hutaki.acha

Tundu Antipas Lisu alitumia kila.aina ya Jukwaa hadi la Miti kufikisha Ujumbe kwa Wananchi

Tundu Antipas Lisu alikwenda Ngorongo kuongea na Wananchi licha ya Zuio la serikali

Tundu Lisu alitembelea Chato na kumkumbuka kwa Wema Shujaa Magufuli

Komredi Makonda ameipa Uhai CCM iliyokuwa Imeishiwa pumzi na Kijani sasa wanatembea Vifua mbele

Namba 3 ni Kijana BAK Wakili msomi kwa uzalendo wa kuitetea Bandari

Nawatakia Heri ya Mwaka mpya 😄
Makonda 2023 siasa kafanya miezi mingapi
 
Ukiweka Makonda unaharibu list🤢🤢🤢🤢🤮🤮🤢🤢🤮🤮🤮💩💩💩💩

Ni sawasawa na Listi ya Pilau na Mapochopocho unaiweka m3za moja na Sahani iliyojaa Uharo wa Mgonjwa wa,Kipindupindu unaharibu Bro🤧🥵🥵🤬🤬👺😡
Inaweza kuwa umepitiliza lakini ni ukweli pengine ni sawa na kuweka misosi kama biriani, baga afu unafunua bakuli la mwisho unakutana juisi la Bamia
 
Inaweza kuwa umepitiliza lakini ni ukweli pengine ni sawa na kuweka misosi kama biriani, baga afu unafunua bakuli la mwisho unakutana juisi la Bamia
Sinaga huruma na Wauaji wa Watanzania wenzangu.
 
Ni aibu sana uzi kama huu kukubalika jukwaani,nikudhalilisha jukwaa mods muwe mnachuja au mniajiri basi
 
Back
Top Bottom