Wakati nchi za Kiarabu zikihangakia Israel kuangamiza Gaza, Afrika Kusini yaifungulia Israel Kesi ya mauaji ya halaiki huko Gaza

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,464
17,303
Toka Israel ianze mashambulizi dhidi ya Gaza taifa pekee ambalo Rais wake alijitokeza na kulaani mashambulizi ya Israel huko Gaza ni Rais wa Afrika Kusini tu. Hakuna rais wa nchi ya kiarabu amewahi kutoka hadharani akaikemea Israel ukiachana na Rais wa Uturuki.

South Afrika wameenda hatua moja zaidi mbele, wameifungulia mashataka ya jinai Israel huko ICC kwa mauaji ya halaiki na ugaidi huko Gaza.

View: https://twitter.com/AP/status/1740870652586795062?s=19

Israel imepinga mashtaka hayo na kusema hayana msingi wowote kwani wao hawaui raia Gaza bali ni Hamas tu na pia Israel inaituhumu South Africa kwa kushirikiana na Hamas.

Wewe unadhani South Africa wako sahihi ama wamekosea?
 
Sio waarabu hata Taasisi za kimataifa zipo kimya kwa sababu wanaoliwa ni waislam. Si unaona Ukraine kwenye wakiristo wengi unavyosikia
 
Who cares? Kuna Mataifa huwezi shindana nayo, utaumi, 1. ISRAEL & 2. MAREKANI.
 
Toka Israel ianze mashambulizi dhidi ya Gaza taifa pekee ambalo Rais wake alijitokeza na kulaani mashambulizi ya Israel huko Gaza ni Rais wa Afrika Kusini tu. Hakuna rais wa nchi ya kiarabu amewahi kutoka hadharani akaikemea Israel ukiachana na Rais wa Uturuki.

South Afrika wameenda hatua moja zaidi mbele, wameifungulia mashataka ya jinai Israel huko ICC kwa mauaji ya halaiki na ugaidi huko Gaza.

View: https://twitter.com/AP/status/1740870652586795062?s=19

Israel imepinga mashtaka hayo na kusema hayana msingi wowote kwani wao hawaui raia Gaza bali ni Hamas tu na pia Israel inaituhumu South Africa kwa kushirikiana na Hamas.

Wewe unadhani South Africa wako sahihi ama wamekosea?

Imeandikwa: Ailaaniye Israel Mungu atamlaani
 
Attachments

  • VID-20231230-WA0005.mp4
    2.4 MB
Sio waarabu hata Taasisi za kimataifa zipo kimya kwa sababu wanaoliwa ni waislam. Si unaona Ukraine kwenye wakiristo wengi unavyosikia

Mbona sijasikia Nchi 22 za Kiarabu zifungua Mashtaka Hague...! Huwa Hujiulizi kwa nini? Putin alipofunguliwa mashtaka Hague alikuwa Muislamu? Unajua Ni Wanyarwanda wangapi wamefunguliwa wamewahi kufikishwa Hague kwa mauji ya Mimbari!

Hivi vita vimeua uwezo wako wa kufikiri! Naona lensi yako ya kuangalia mambo imeharibika!
 
Putin anawaua wakiristo wa Ukrain. Rwanda wakiristo wanauana ndio maana wakafunguliana mashtaka. Gaza ni waislam ndio maana ukaona kimya
 
Toka Israel ianze mashambulizi dhidi ya Gaza taifa pekee ambalo Rais wake alijitokeza na kulaani mashambulizi ya Israel huko Gaza ni Rais wa Afrika Kusini tu. Hakuna rais wa nchi ya kiarabu amewahi kutoka hadharani akaikemea Israel ukiachana na Rais wa Uturuki.

South Afrika wameenda hatua moja zaidi mbele, wameifungulia mashataka ya jinai Israel huko ICC kwa mauaji ya halaiki na ugaidi huko Gaza.

View: https://twitter.com/AP/status/1740870652586795062?s=19

Israel imepinga mashtaka hayo na kusema hayana msingi wowote kwani wao hawaui raia Gaza bali ni Hamas tu na pia Israel inaituhumu South Africa kwa kushirikiana na Hamas.

Wewe unadhani South Africa wako sahihi ama wamekosea?

Kazi ya Putin iyo, anapitia kwa wanyonge wake
 
Putin anawaua wakiristo wa Ukrain. Rwanda wakiristo wanauana ndio maana wakafunguliana mashtaka. Gaza ni waislam ndio maana ukaona kimya

Vipi Waarabu....nikiwa na maana mataifa ya 22 wao vipi....Hawaoni Waarabu waislamu wenzao wakiuawa.....? Kwa nini hawaendi Hague...?
 
Imeandikwa: Ailaaniye Israel Mungu atamlaani
Wapi imeandikwa hiyo? Acheni kupotosha...... alisema atakaye mlaani Abraham atalaaniwa. Na Abraham ni baba hadi wa Palestine sio israel pekee so technically ukilaani Palestine pia utalaaniwa.

NB: Biblia inakataza kulaani so hata ukilaani Tanzania au mtu basi utalaaniwa na wewe.

Msipotoshe maandiko
 
ni Rais wa Afrika Kusini tu. Hakuna rais wa nchi ya kiarabu amewahi kutoka hadharani akaikemea Israel
Halafu wanataka sisi Waafrika tuwasaidie wakati wao wameficha Kordani zao ndani ya Kanzu.🤣

Houthi pekee ndio Mwanaume na yeye ni Muiran ndio anamtumia.
 
Wajinga ndio waliwao wakati wanajeshi wastaafu wa rsa wako idf
 
Nani mrithi wa agano kati ya mpalestina na muisrael?
Mungu alifanya agano na Ibrahim na kumuahidi kuwa Sarah ndiye atakayemzalia mrithi wa agano na sio Ismail aliyezaliwa na mjakazi. Mrithi huyo ni Isaka na baada ya Isaka ni Yakobo ( ambaye akambadili jina kumwambia utaitwa Israel kwa kuwa umeshindana na Mungu ( kumbuka hadithi ya mieleka)
 
Attachments

  • VID-20231230-WA0005.mp4
    2.4 MB
Back
Top Bottom