Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi. Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Straika wa Yanga Crispin Ngushi Jana katupia mbili kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Jamhuri,lakini kakosa bao tano za wazi na kumpoteza mipira mingi sana, Je Ngushi anafaa kuwa straika tegemeo la...
0 Reactions
3 Replies
646 Views
Pengine kuna mtu ameshaposti hii lakini nadhani ni vema nikaiweka pia, just in case. Magazeti ya Habari Corporation (Mtanzania, Rai, etc) sasa yanapatikana kwenye mtandao. Tovuti yao ni newhabari.com
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Bwana Said Mtanda , ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mara ametangaza hadharani na kumuagiza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuanza kuwalipa posho ya sh 120, 000 , waandishi wa habari wanaoambatana nao kwenye...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Sasa tunakwenda na Maono ya KAZI Iendelee Kipande cha Hapa KAZI Tu kimesimama na Legacy yake hivyo tunamwombea kwa Mungu wa Mbinguni Shujaa John Pombe Joseph Magufuli astarehe kwa Amani Pema...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo saa tatu usiku kutakuwa na hotuba ya Mh. Rais Samia. Hotuba ya kufunga mwaka
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grata https://youtu.be/auOKnvgArZ8?si=N9EDTfFnNgqYzqQ6 Balozi wa Palestina...
11 Reactions
100 Replies
7K Views
Wakuu, Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake. Milioni 150 alizotoa zimetoka...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto...
28 Reactions
165 Replies
6K Views
Nikubali yakuwa Mimi ni mraibu wa mapenzi hasa mapenzi ya jinsia mbili tofauti. Moja ya vitu vinavyonivutia Kwa mpenzi wangu yaani mke wangu ni uzuri wa sura yake, kucha za miguu yake, urefu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Serikali imesema italipa Bilioni 260 Kwa Kampuni ya Indiana Resources kama itashindwa kwenye kesi waliyofungua kupinga hukumu ya awali. Cha kushangaza Wakili Mkuu wa Serikali anasema kabisa...
7 Reactions
152 Replies
12K Views
Unaweza kushiriki nasi mubashara kupitia Upendo TV Nimeacha Yote nimemfuata Yesu Karibuni Sana 😀
0 Reactions
2 Replies
373 Views
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amehudhuria Ibada ya Jumapili ya Mwanza baada ya Christmas wilayani Hai mkoani Kilimanjaro Mh Mnyika aliongozana na Viongozi kadhaa wa Chadema wakiwemo...
3 Reactions
9 Replies
958 Views
Awali ya yote napenda kutoa pole na hongera kwa kila mwananchi kwa pilika za mwaka 2023. Mengi ya kuumiza, kutaabisha, kutia faraja na furaha yalitukia miongoni mwetu. Mungu baba wa rehema alikuwa...
0 Reactions
2 Replies
591 Views
Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Baraza la Mitihani la Tanzania zimekamilisha zoezi la uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha kwanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mama yetu na bibi yetu mama Maria Nyerere aliyekuwa mke wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere ametimiza miaka 93. Katika kutimiza huko miaka hiyo Rais...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Msikilize mwenyewe hapa. https://twitter.com/ntvkenya/status/1726228842904244275?s=19
1 Reactions
11 Replies
1K Views
January Makamba ameliharibu shirika la Tanesco amekuwa Waziri kwa muda mfupi na kulirudisha shirika hili miaka 40 nyuma yaani enzi za giza huyu ni mharibifu Sana itachukua muda mrefu Sana...
2 Reactions
1 Replies
533 Views
Back
Top Bottom