Kwa Tamko hili la TAWA juu ya uwindaji uliofanyika hii ni aibu kwa nchi na Fedheha kubwa kwa Taifa! Wanachunguza nini?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,211
42,072
Kwa Tamko hili ni wazi nao TAWA kama walivyo Watanzania nao wanashangaa kuona hiyo Clip hivyo wanafanya uchunguzi kuona na walitoa kibali au hawakutoa kibali!

Hizi aibu ni Tanzania pekee unaweza kuzikuta!

Hivi kweli TAWA walishindwa kuchunguza wakaja na Tamko linalooonesha kuwa huu uwindaji ulikuwa halali au lah?

IMG_1189.jpeg
 
Hao poachers waliingia nchini kwa vibali halali, wakaenda kuwinda kwa vibali halali..

Ndiyo maana walipomuua huyo mamba walipost kabisa kwenye social medias zao, kwa sababu it was not illegal act!

Kwanza hawa TAWA hawana rekodi zozote za nchi, mfano hapo tukiwauliza kwa sasa mamba mkubwa zaidi hapa nchini anapatikana maeneo au mkoa gani hawana data hiyo. Au waulize tu simba mkubwa zaidi nchini anapatikana mbuga gani hawaweza wakakuambia..

Leo wanakuja kutoa waraka ushuzi usio na mbele wala nyuma.

Wakicheza vibaya wakawachafua hao wazungu ilhali walikuwa na vibali halali, basi hao wazungu wata-backfire na kuifai nchi fidia ndefu vibaya mnoo..
 
Kwa Tamko hili ni wazi nao TAWA kama walivyo Watanzania nao wanashangaa kuona hiyo Clip hivyo wanafanya uchunguzi kuona na walitoa kibali au hawakutoa kibali!

Hizi aibu ni Tanzania pekee unaweza kuzikuta!

Hivi kweli TAWA walishindwa kuchunguza wakaja na Tamko linalooonesha kuwa huu uwindaji ulikuwa halali au lah?

View attachment 2855037
Yalivyokuwa backdated hayajui kwa sasa hatuna tena mtandao mtandao wa Twitter bali ni X.
 
Hao poachers waliingia nchini kwa vibali halali, wakaenda kuwinda kwa vibali halali..

Ndiyo maana walipomuua huyo mamba walipost kabisa kwenye social medias zao, kwa sababu it was illegal!

Kwanza hawa TAWA hawana rekodi zozote za nchi, mfano hapo tukiwauliza kwa sasa mamba mkubwa zaidi hapa nchini anapatikana maeneo au mkoa gani hawana data hiyo. Au waulize tu simba mkubwa zaidi nchini anapatikana mbuga gani hawaweza wakakuambia..

Leo wanakuja kutoa waraka ushuzi usio na mbele wala nyuma.

Wakicheza vibaya wakawachafua hao wazungu ilhali walikuwa na vibali halali, basi hao wazungu wata-backfire na kuifai nchi fidia ndefu vibaya mnoo..
Ccm mbele kwa mbele
 
Cha msingi mtu upate ajira kwenye mfumo ambao hata ukose competence, job security ipo pale pale

Wanaoteseka ni wale wanaosubiria excellence kwenye sehemu ambapo kujikutuma na passion ni vitu vya kupoteza muda
 
Kwa hiyo mkuu wewe una hakika walikuwa na vibali? Au Tawa wanaogopa kukiri waliwapa vibali kwakuwa hawakupaswa kuwapa?
 
Hao poachers waliingia nchini kwa vibali halali, wakaenda kuwinda kwa vibali halali..

Ndiyo maana walipomuua huyo mamba walipost kabisa kwenye social medias zao, kwa sababu it was illegal
!

Kwanza hawa TAWA hawana rekodi zozote za nchi, mfano hapo tukiwauliza kwa sasa mamba mkubwa zaidi hapa nchini anapatikana maeneo au mkoa gani hawana data hiyo. Au waulize tu simba mkubwa zaidi nchini anapatikana mbuga gani hawaweza wakakuambia..

Leo wanakuja kutoa waraka ushuzi usio na mbele wala nyuma.

Wakicheza vibaya wakawachafua hao wazungu ilhali walikuwa na vibali halali, basi hao wazungu wata-backfire na kuifai nchi fidia ndefu vibaya mnoo..
Nimechoka kabisa.
 
Cha msingi mtu upate ajira kwenye mfumo ambao hata ukose competence, job security ipo pale pale

Wanaoteseka ni wale wanaosubiria excellence kwenye sehemu ambapo kujikutuma na passion ni vitu vya kupoteza muda
Aiseee
 
Hiyo tawa unakuta walio jazana huko ni wastaafu na watoto wa vigogo hawajui hili wala lile.
Tena tushukuru huyo mzungu kauwa mwana maana angeweza kuuwa mtu na asifanywe chochote.
Yani TAWA hawajui lolote na hawana taarifa yeyote mpaka waletewe taarifa!
 
Hao poachers waliingia nchini kwa vibali halali, wakaenda kuwinda kwa vibali halali..

Ndiyo maana walipomuua huyo mamba walipost kabisa kwenye social medias zao, kwa sababu it was illegal!

Kwanza hawa TAWA hawana rekodi zozote za nchi, mfano hapo tukiwauliza kwa sasa mamba mkubwa zaidi hapa nchini anapatikana maeneo au mkoa gani hawana data hiyo. Au waulize tu simba mkubwa zaidi nchini anapatikana mbuga gani hawaweza wakakuambia..

Leo wanakuja kutoa waraka ushuzi usio na mbele wala nyuma.

Wakicheza vibaya wakawachafua hao wazungu ilhali walikuwa na vibali halali, basi hao wazungu wata-backfire na kuifai nchi fidia ndefu vibaya mnoo..
Duu vibali halali halafu inakuwaje 'illegal' mkuu?au ndio hatujui ki inglish?
 
KIZIMKAZI taifa hili limemshinda kabisa kila MTU anajichotea kilicho karibu nae tu.watanganyika tujipange. Nina uwakika hata hajui chochote
 
Back
Top Bottom