Kumbe ubabe wa Kufanya mambo bila kulihusisha Bunge siyo wa Shujaa Maguful tu hata Rais Biden analikwepa Bunge lisimcheleweshe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Hapo awali tuliaminishwa Shujaa Maguful alikuwa analidharau Bunge kwa kutopeleka bungeni mambo muhimu yanayohitaji Usiri

Kumbe hata Marekani ni vivyo hivyo Serikali ya Biden imeiuzia kwa dharura Israel Silaha nzito nzito bila kulihusisha Bunge la nchi hiyo

Yule Maguful alikuwa Akili kubwa

Mungu amlaze Pema Peponi!
 
Have you taken tea already? Or Sonoma is sumbuaring you
 
Hapo awali tuliaminishwa Shujaa Maguful alikuwa analidharau Bunge kwa kutopeleka bungeni mambo muhimu yanayohitaji Usiri

Kumbe hata Marekani ni vivyo hivyo Serikali ya Biden imeiuzia kwa dharura Israel Silaha nzito nzito bila kulihusisha Bunge la nchi hiyo

Yule Maguful alikuwa Akili kubwa

Mungu amlaze Pema Peponi!

Hata chadema walipomtaka Lowasa walikwepesha vikao ili visicheleweshe mambo. Lakini ni chadema haohao wanataka mambo ya kitaifa yacheleweshwe!!
 
Hapo awali tuliaminishwa Shujaa Maguful alikuwa analidharau Bunge kwa kutopeleka bungeni mambo muhimu yanayohitaji Usiri

Kumbe hata Marekani ni vivyo hivyo Serikali ya Biden imeiuzia kwa dharura Israel Silaha nzito nzito bila kulihusisha Bunge la nchi hiyo

Yule Maguful alikuwa Akili kubwa

Mungu amlaze Pema Peponi!
Rais wa marekani ana Kura yake ya Veto !
Anaweza hata akaamuru kuingia vitani bila idhini ya bunge !
Ila sasa matokeo ni lazima yawe ni ya ushindi, vinginevyo atawajibishwa !!
 
US National Emergencies Act of 1976 (NEA).
 
Rais wa marekani ana Kura yake ya Veto !
Anaweza hata akaamuru kuingia vitani bila idhini ya bunge !
Ila sasa matokeo ni lazima yawe ni ya ushindi, vinginevyo atawajibishwa !!
Mabunge yote mawili yanaweza ku override veto ya Rais katika maamuzi yake ya emergency endapo mabunge yote mawili yatakuwa na theluthi mbili ya kura kila bunge dhidi yake.
 
Unadanganya watu. Rais wa USA ana sheria inamruhusu kufanya baadhi ya mambo machache bila kuhususha bunge na senate.

Yapo machache sana na yenye interest kubwa kwa USA.
 
Hapo awali tuliaminishwa Shujaa Maguful alikuwa analidharau Bunge kwa kutopeleka bungeni mambo muhimu yanayohitaji Usiri

Kumbe hata Marekani ni vivyo hivyo Serikali ya Biden imeiuzia kwa dharura Israel Silaha nzito nzito bila kulihusisha Bunge la nchi hiyo

Yule Maguful alikuwa Akili kubwa

Mungu amlaze Pema Peponi!
akafie tena huko peponi
 
Usimfananishe magufuli na mafii za chadema wala chawa za mama
 
Back
Top Bottom