Kuna move Madeleka anacheza na serikali kwa mgongo wa wanaharakati na uwakili. Kesi ya Gekul ilikuwa inafanyiwa uchunguzi na jeshi la polisi Nchini. Tukaambiwa jalada limepelekwa kwa DPP; siku...
Wadau BANDARI yetu ilisemekana haifanyi kazi kwa UFANISI na kusababisha Upotevu Mkubwa wa MAPATO.Ili kuifanya Bandari ifanye kazi kwa ufanisi na kukusanya Mapato zaidi ikakabidhiwa kwa Kampuni ya...
Kuna habari nyingine siwezi kuziamini hadi nipate ufafanuzi kutoka upande wa pili. Nimeona clip inasambaa ikieleza kwamba katika jimbo la Ubungo chama cha mapinduzi kimebadili matumizi ya ofsi ya...
1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo...
Serikali na Chama wakiwa wanajua Hali halisi ya ugumu wa maisha wanaopitia watanzania kiuchumi wanajitokeza matapeli mfano wa choice variable na Lucas Mwashambwa kwa makusudi au kwa kutumwa na...
Nimelazimika kulisema hili baada ya kuona wananchi wengi wakiteseka kutokana mvua zinazoendelea kunyesha
Barabara mbovu kila kona wananchi wanahamasishana kila iitwayo leo kutengeneza barabara za...
Kwa mwaka 2023 Kuna watu wametoa mchango mahsusi katika nyanja mbalimbali za kimaisha ambao umeleta mchango chanya Kwa Ustawi wa Jamii.
Hawa wanapaswa kutambuliwa kama Mashujaa wa Taifa angalu...
Za moto moto kutoka mtaa wa Ufipa ni kwamba wameanza kushikana uchawi 😆😆😆😆
Msaliti wa Taifa Tundu Lisu na Kibaraka wa Wazungu ameamua kumshughulikia Mwenyekiti wake 😂😂
Mwanaharakati Ahmed Kombo...
Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu...
Mzozo unaendelea Wizara ya Afya, baada ya punguzo la 30% ya Mishahara, sasa Serikali imewaachisha kazi madaktari wote walioajiriwa hivi karibuni (chini ya miezi 6 tangu waajiriwe) waliokuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo.
Chalamila amesema maneno hayo alipokuwa...
Wabunge wetu Bunge la Muungano wanapokea Msh.wa Sh.Mil.16,000,000/= kwa mwezi. Tuna wabunge 400 na jumla ya Mishahara yao kwa Mwezi ni Tsh Bil.6,400,000,000/=
Endapo Kila mbunge atakubaki kukatwa...
Wizara ya Ardhi imeoza kwa rushwa. Sina uhakika kama Waziri Jerry Slaa ataziweza mbinu za ufisadi ndani ya Wizara ya Ardhi na Idara za Ardhi katika Halmashauri.
Sakata la plots 194 na 195...
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.
Ni...
Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano...
Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS, Tanzania katika kipindi cha mwaka 2022 ilifanya vizuri zaidi katika sekta mbalimbali zenye mchango wa moja kwa moja katika maisha ya wananchi na pia katika pato...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhajj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kazi za Misikiti ukiacha kufanya ibada ya sala pia wana jukumu la kutatua changamoto zinazoikabili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.