Rais Dk. Mwinyi azindua Matumbaku Sports Complex

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Awamu ya nane inatilia mkazo ujenzi wa viwanja vya michezo mbalimbali ili kutanua wigo wa ajira kutokana na michezo pamoja na kuibua vipaji vya vijana.

Amesema azma ya Serikali ni kuendeleza michezo katika nyanja zote inatimia kwa kuweka miundombinu ya kisasa iliyobora na imara.

Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo alipoufungua Viwanja vya Michezo Matumbaku Sports Complex uliopo Shehia ya Miembeni, Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe: 30 Disemba, 2023.

Aidha Rais Dkt. Mwinyi amewatoa hofu wananchi wa Malindi kuwa dhamira ya ujenzi wa viwanja hivi ni kuwa mbadala maeneo yaliyofanyiwa uwekezaji.

Halikadhalika Rais Dkt. Mwinyi amewataka vijana watumie fursa za kuwepo kwa viwanja vipya vya kisasa kwa kuonyesha vipaji vyao ili waweze kutengeneza ajira ndani ya nchi na nje.

Pia amesema michezo ikitumika vizuri itakuwa ni fursa ya kuitangaza Zanzibar na kukuza utalii.

Eneo hilo lina viwanja vitatu vya mpira wa miguu, pamoja na kiwanja kimoja kwa michezo ikiwemo mpira wa wavu, mpira wa kikapu na netiboli.
IMG-20231230-WA0010.jpg
IMG-20231230-WA0005.jpg
IMG-20231230-WA0017.jpg
IMG-20231230-WA0015.jpg
IMG-20231230-WA0016.jpg
IMG-20231230-WA0014.jpg
IMG-20231230-WA0013.jpg
IMG-20231230-WA0012.jpg
IMG-20231230-WA0011.jpg
IMG-20231230-WA0009.jpg
IMG-20231230-WA0008.jpg
IMG-20231230-WA0007.jpg
IMG-20231230-WA0006.jpg
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Awamu ya nane inatilia mkazo ujenzi wa viwanja vya michezo mbalimbali ili kutanua wigo wa ajira kutokana na michezo pamoja na kuibua vipaji vya vijana.

Amesema azma ya Serikali ni kuendeleza michezo katika nyanja zote inatimia kwa kuweka miundombinu ya kisasa iliyobora na imara.

Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo alipoufungua Viwanja vya Michezo Matumbaku Sports Complex uliopo Shehia ya Miembeni, Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe: 30 Disemba, 2023.

Aidha Rais Dkt. Mwinyi amewatoa hofu wananchi wa Malindi kuwa dhamira ya ujenzi wa viwanja hivi ni kuwa mbadala maeneo yaliyofanyiwa uwekezaji.

Halikadhalika Rais Dkt. Mwinyi amewataka vijana watumie fursa za kuwepo kwa viwanja vipya vya kisasa kwa kuonyesha vipaji vyao ili waweze kutengeneza ajira ndani ya nchi na nje.

Pia amesema michezo ikitumika vizuri itakuwa ni fursa ya kuitangaza Zanzibar na kukuza utalii.

Eneo hilo lina viwanja vitatu vya mpira wa miguu, pamoja na kiwanja kimoja kwa michezo ikiwemo mpira wa wavu, mpira wa kikapu na netiboli.View attachment 2857404View attachment 2857405View attachment 2857406View attachment 2857407View attachment 2857409View attachment 2857410View attachment 2857411View attachment 2857412View attachment 2857413View attachment 2857414View attachment 2857416View attachment 2857417View attachment 2857418
Huyu nae aambiwe ukweli watu hawali maviwanja.

Hivi ni vitu ambavyo hata layman anaweza kufanya.

Tunataka program mahsusi za kuondoa watu kwenye umaskini ila kujenga ma structures Kila mahala Haina maana yeyote
 
Huo Umeme tunaokula uko wapi?
Hayo mafuta ya kula na ya magari tunayokula yametufikisha wapi vipi nauli na bei yake?
Hiyo Sukari tunayo kula bei sasa ni Tsh ngapi?

Punguza Wivu…Rais Mwinyi anafanya vizuri zaidi ya Rais wetu tukubali….
 
Vyote vipo na ndio mambo ya msingi ya ku focus nayo
 
Huyu nae aambiwe ukweli watu hawali maviwanja.

Hivi ni vitu ambavyo hata layman anaweza kufanya.

Tunataka program mahsusi za kuondoa watu kwenye umaskini ila kujenga ma structures Kila mahala Haina maana yeyote
Mwambie Samia ndiyo anatufanya tuishi maisha magumu kama tupo Somalia.
Mwinyi ana akili na yule lazima mpango ufanyike aje uku Bara uyu Bibi yenu akapumzike Kizimkazi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo akili za huyo Mwinyi anazowafanya muishi maisha mazuri ni kujenga viwanja au?

Wewe ni jinga huna akili,Wenye akili wako na Samia Hadi 2030 wewe endelea kufanya Mpango.
 
Jamaa anafanya vitu
Huku bara tunaendelea
Kukata mauno tu misomisondo

Ova
 
"Kama Samia asingekuwa mwanamke basi Makamo wangu angekuwa Hussein Mwinyi" - Late Magufuri

Tungekuwa mbali sana muda huu

Hakuna kitu …Zanzibar kwa sasa wanapelekewa pesa nyingi sana kuliko hata mahitaji Yao ……pia wanakopa sana ….hapo NBC penyewe wamekopa Bilioni 500
LAZIMA wajenge kila wanachokitaka……..
 
Alifaa awe rais wa jamhuri ya Muungano Wa Tanzania

Tofautisheni nchi yenye watu millioni 1.6 na watu milioni 62 ……pesa inayoenda zanzibar hata kama ni nyingi kwa viwango vyao lazima iwe Rahisi kuonekana …
Kwa bara hata ukiweka trillion 100 …..ni ngumu sana hata kuweza kuonekana
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Awamu ya nane inatilia mkazo ujenzi wa viwanja vya michezo mbalimbali ili kutanua wigo wa ajira kutokana na michezo pamoja na kuibua vipaji vya vijana.

Amesema azma ya Serikali ni kuendeleza michezo katika nyanja zote inatimia kwa kuweka miundombinu ya kisasa iliyobora na imara.

Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo alipoufungua Viwanja vya Michezo Matumbaku Sports Complex uliopo Shehia ya Miembeni, Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe: 30 Disemba, 2023.

Aidha Rais Dkt. Mwinyi amewatoa hofu wananchi wa Malindi kuwa dhamira ya ujenzi wa viwanja hivi ni kuwa mbadala maeneo yaliyofanyiwa uwekezaji.

Halikadhalika Rais Dkt. Mwinyi amewataka vijana watumie fursa za kuwepo kwa viwanja vipya vya kisasa kwa kuonyesha vipaji vyao ili waweze kutengeneza ajira ndani ya nchi na nje.

Pia amesema michezo ikitumika vizuri itakuwa ni fursa ya kuitangaza Zanzibar na kukuza utalii.

Eneo hilo lina viwanja vitatu vya mpira wa miguu, pamoja na kiwanja kimoja kwa michezo ikiwemo mpira wa wavu, mpira wa kikapu na netiboli.View attachment 2857404View attachment 2857405View attachment 2857406View attachment 2857407View attachment 2857409View attachment 2857410View attachment 2857411View attachment 2857412View attachment 2857413View attachment 2857414View attachment 2857416View attachment 2857417View attachment 2857418
Zanzibar itakuwa kama ulaya, huku Tanganyika tunakuwa kama Tanzania
 
Hivi viwanja mbona havina majukwaa?mashabiki tunakaa wao sasa?au mi ndo sijaona vizuri.
 
Nasubiri uchumi wa Buluu ujibu maana bado Sijaona hayo boat nyavu utaalam kisasa ......mazao bora ya bahari na export......nasubiri
 
Back
Top Bottom