Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania napendekeza Wazungu wagombee nafasi ya Urais ili watuletee maendeleo,tumeona katika shughuli za kimaendeleo tumewapa bandari ndugu zetu DP World,tumefanikiwa, Tanesco napo...
12 Reactions
52 Replies
2K Views
Happy New Year Watanzania wote na Mungu awabariki sana.
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Zipo dalili kwamba wanasiasa wenye misuli watatumia sana mbinu chafu kupunguza kasi wapinzania wao. Zipo dalili zote kwamba watu wenye fedha hasa wafanyabiashara watasumbuliwa na kulazimika...
3 Reactions
3 Replies
819 Views
Hawa niliowataja ni baadhi ya watanzania waliosoma kwa tabu, wakafanya kazi za umma kwa tabu kisha wakateuliwa kukaa mezani na mfalme Wakiwa wanahudumu kwa mfalme wakadhani mfalme ndo kila kitu...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia hivi punde. Toa Maoni yako ====== Mhariri wa Takwimu wa kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Halili Letea amesema ripoti ya Shirika la fedha...
13 Reactions
208 Replies
10K Views
Hiyo lugha itadhihirika zaidi nyakati za uchaguzi 2025 Rais anao mawaziri wengi, ila kati ya hao, wengi hawamtaki ila kwa sababu ya desturina mila zetu za kiafrika, mtu hutakiwi kumpinga...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama raia mwema na mzalendo na mpenda taifa hili la Tanzania, ipo haja ya dhati kabisa kuuimarisha muungano wetu ikiwepo kuondoa dosari zote zilizopo au zinazokinza muungano huu ili kila upande wa...
0 Reactions
1 Replies
469 Views
Kitila Mkumbo jimbo hakiendeshwi kwa utafiti linaendeshwa kwa kupeleka maendeleo. Wananchi wamekupa dhamana unatakiwa kuwaeleza umefanya nini siyo kufanya utafiti kama mtangulizi wako alikuwa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwaka huu uoga, haya, staha na kila aina ya ustaarabu katika kumsema Rais Samia Suluhu utaisha na mama atamaliza mwaka huu akiwa hoi kisiasa. Mwaka huu ndio mwaka wa kila mtaka Urais kujitokeza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hebu fanya tathmini yako uone kama atatoboa . Huyu anaishi kwenye Nchi ambayo DED tu anatumia V8 , huku Mawaziri magari yao yakiwa ya bei mbaya hadi kuzidi Tsh mil 600
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Kidogo nimeshangazwa na habari inayotembea mtandaoni, mtumishi wa wizara ya ardhi anadai kununua ardhi, ardhi ikawa na mgongano na mtu mwingine, je hii ni sababu ya kumsimamisha kazi? Kwamba...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
KAMA HUJUMA ZA KAMPUNI YA NAS DAR AIRCO ZINGELIKOMESHWA MAPEMA NA WATENDAJI KUEAJIBIKA YALIYO TOKEA YASINGEENDELEA KUTOKEA Salam wakuu, Naandika haya kama mzalendo ninayetamani kuona mabadiliko...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Kuna kipindi akiwa Mwanza uwanja wa furahisha. Alitamka wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM Leo hii ametamka hadharani kuwa anafanya kazi za rais Samia. Kwa hiyo ninyi Wanachadema mtambue kuwa...
4 Reactions
7 Replies
753 Views
Taarifa ya sensa ya watu na makazi, kwa kiasi kikubwa, inatoa taarifa za "saiti" kukoje. Kaya, mtaa, Kata, Tarafa, Wilaya, Mkoa. Mwanasiasa akifanikiwa kuzichimba na kuzishika takwimu za sensa...
2 Reactions
5 Replies
665 Views
Umoja uliopo miongoni mwa Lema, mke wake na watoto ni wakuigwa. Wamelelewa kiimani, wanaishi kwa haki na awajawahi kuacha kutafuta kesho iliyo bora kwao na kwa wengine. Ni familia bora kwa mwaka...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
CHAMA CHA WALIMU KIFUTWE! Ningependa kuona Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kinafutiliwa mbali kabisa kwani kimeshindwa kuondoa ama kupunguza matatizo yanayowakabili walimu. Chama hiki kimeshindwa...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Nakumbuka DPW baada ya vuta nikuvute walisaini mkataba wa kuanza kazi. Swali langu. Je wameishaanza kazi?. Kama wameanza kazi wametulipa dollar ngapi?. Na kama bado kuna tatizo gani?.
1 Reactions
2 Replies
551 Views
Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi. Kuna uwezekano mgeni akaingia nchini na kufanya...
11 Reactions
49 Replies
7K Views
Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri...
10 Reactions
97 Replies
10K Views
Bila shaka majibu yatapatikana hapa, Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta...
14 Reactions
136 Replies
9K Views
Back
Top Bottom