naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 669
Wana JF,
Huku joto la urais likipanda leo mzee wa mtama aka Membe akiwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya chuo cha bagamoyo yaliyofanyika hotel ya Kiromo - Bagamoyo ameahidi kuanzisha BENARD MEMBE SCHOLARSHIP FUND huku akimwagiza mkuu wa chuo, bwana Costa Mahalu aanzishe kamati maalumu ya kuratibu hilo, huku pia akiwaomba wahitimu wamuunge kwenye safari ambayo hajaitaja huku akihaidi ajira kwa wahitimu.
Ahadi hizi za Membe siyo kampeni ya kuungwa mkono kuelekea magogoni?
Tutaona mengi kabla ya 2015
Mungu ibariki Tanzania