TRA yaweka rekodi ya karne, yakusanya Trilioni tatu kwa mwezi Desemba Pekee

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu Watanzania,

Habari ikufikie popote pale ulipo kuwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imetangaza kupitia menejimenti yake kuwa imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee kabisa tangia kuanzishwa kwa mamlaka hiyo kwa kuweza kukusanya mapato ya ndani kiasi cha shilingi Trilioni tatu na point.

Haijawahi kutokea katika Historia ya Taifa letu .imetokea wakati huu kutokana na mazingira mazuri ya kisera na kisheria yaliyowekwa na serikali ya Rais samia yaliyochochea ongezeko la biashara nyingi zilizo pelekea kuongezeka kwa wigo wa kodi.

Ndugu zangu ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa watu wapo huru na wanajisikia fahari kufanya na kufungua biashara nchini,watu wapo huru na wanajisikia fahari kulipa kodi.hii ni baada ya maafisa wa TRA kujenga mahusiano mazuri na wafanyabishara kama ilivyoagizwa na mheshimiwa Rais wetu mpendwa Mama Samia aliyekataa Kodi za dhuluma na machozi..

Kwa sasa wafanyabishara wanawaona maafisa wa TRA kama watumishi wao na siyo maadui zao na kuishi kwa kuviziana na kukimbiana na kukimbizana Mitaani.lakini pia TRA kupitia kitengo chake cha elimu kwa mlipa kodi imeongeza sana elimu kwa watu na hivyo kuwajengea uelewa juu ya masuala ya kodi na kikodi. Hivyo watu hasa wafanyabiashara kuelewa nini kinapaswa kulipwa na wafanye nini wanapoona hawajaridhika na ukadiliaji wa mapato.

Lakini pia kumekuwa na muamko kwa wananchi katika kudai risiti baada ya kufanya manunuzi ya bidhaa, kwa kutambua kuwa ni kupitia njia hiyo ndio fedha zao zitarejea tena kwao kwa njia ya kujengewa zahanati,vituo vya afya,shule,madarasa, barabara, usambazaji wa maji safi na salama,huduma za umeme,elimu bure,Ruzuku za mbolea,kununua vifaa tiba,madawa na kuajiri watumishi wa afya mahospitalini pamoja na walimu shuleni.n.k.

Hongera sana TRA kwa weledi wenu mkubwa na uaminifu wenu kwa kuhakikisha kila senti inaingia na kwenda hazina ili nchi iweze kufanya maendeleo kwa kujenga miradi ya maendeleo na kutoa huduma bora na stahiki kwa wananchi.

Hongera sana Rais Samia na Serikali yako kwa kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara mpaka sasa wanafanya biashara kwa uhuru na amani. Kikubwa serikali iendelee kudhibiti mianya yote itakayoonekana kuvujisha na kupoteza mapato halali ya serikali.Elimu kwa mlipa kodi na wananchi iendelee kutolewa na liwe ni zoezi endelevu ili ifike hatua somo hilo liwe kichwani na katika mioyo ya watanzania ili kila mmoja ajione fahari kulipa kodi.

Lakini pia kodi hizi zitumike vizuri pale zinapopangiwa matumizi na siyo watu wanatokwa jasho kulipa kodi na kukusanya kodi halafu linatokea jitu linafanya ufisadi wa mabilioni kwenye miradi ya serikali au kwa kufanya ujanja ujanja halafu linaendelea kutamba mitaani kama jogoo bila kuchukuliwa hatua zozote.hii ikifanyika na kuachwa itawakatisha tamaa walipa kodi wazalendo na wakusanya kodi wazalendo kwa kuona kuwa jasho lao linapotea bure tu.

Kazi iendelee mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ilani ya CCM 2020 - 2025 Ina kurasa 303 lakini kilichotekelezwa mpaka sasa hakizidi kurasa 10!
Acha upotoshaji wako wewe.nafahamu ya kuwa una chuki kubwa sana na serikali hii inayoongozwa na mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan.na unaumia sana unapoona Inaendelea kupata mafanikio na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania kila uchwao.
 
Hizo ni fedha ambazo serikali itazirudisha kwa wananchi kuwapatia huduma bora na stahiki.kama ambavyo umeona miradi mbalimbali ikiendelea hapa nchini.
Mhh subutu hizo ni pesa ambazo wajanja wachache watazipiga harafu watatukebehi na kututukana Tena Kwa kutuambia watanzinia ni wapumbavu vipesa venyewe vya mboga makerere kibao na atuna Cha kuwafanya
 
Ndugu zangu Watanzania,

Habari ikufikie popote pale ulipo kuwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imetangaza kupitia menejimenti yake kuwa imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee kabisa tangia kuanzishwa kwa mamlaka hiyo kwa kuweza kukusanya mapato ya ndani kiasi cha shilingi Trilioni tatu na point.

Haijawahi kutokea katika Historia ya Taifa letu .imetokea wakati huu kutokana na mazingira mazuri ya kisera na kisheria yaliyowekwa na serikali ya Rais samia yaliyochochea ongezeko la biashara nyingi zilizo pelekea kuongezeka kwa wigo wa kodi.

Ndugu zangu ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa watu wapo huru na wanajisikia fahari kufanya na kufungua biashara nchini,watu wapo huru na wanajisikia fahari kulipa kodi.hii ni baada ya maafisa wa TRA kujenga mahusiano mazuri na wafanyabishara kama ilivyoagizwa na mheshimiwa Rais wetu mpendwa Mama Samia aliyekataa Kodi za dhuluma na machozi..

Kwa sasa wafanyabishara wanawaona maafisa wa TRA kama watumishi wao na siyo maadui zao na kuishi kwa kuviziana na kukimbiana na kukimbizana Mitaani.lakini pia TRA kupitia kitengo chake cha elimu kwa mlipa kodi imeongeza sana elimu kwa watu na hivyo kuwajengea uelewa juu ya masuala ya kodi na kikodi. Hivyo watu hasa wafanyabiashara kuelewa nini kinapaswa kulipwa na wafanye nini wanapoona hawajaridhika na ukadiliaji wa mapato.

Lakini pia kumekuwa na muamko kwa wananchi katika kudai risiti baada ya kufanya manunuzi ya bidhaa, kwa kutambua kuwa ni kupitia njia hiyo ndio fedha zao zitarejea tena kwao kwa njia ya kujengewa zahanati,vituo vya afya,shule,madarasa, barabara, usambazaji wa maji safi na salama,huduma za umeme,elimu bure,Ruzuku za mbolea,kununua vifaa tiba,madawa na kuajiri watumishi wa afya mahospitalini pamoja na walimu shuleni.n.k.

Hongera sana TRA kwa weledi wenu mkubwa na uaminifu wenu kwa kuhakikisha kila senti inaingia na kwenda hazina ili nchi iweze kufanya maendeleo kwa kujenga miradi ya maendeleo na kutoa huduma bora na stahiki kwa wananchi.

Hongera sana Rais Samia na Serikali yako kwa kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara mpaka sasa wanafanya biashara kwa uhuru na amani. Kikubwa serikali iendelee kudhibiti mianya yote itakayoonekana kuvujisha na kupoteza mapato halali ya serikali.Elimu kwa mlipa kodi na wananchi iendelee kutolewa na liwe ni zoezi endelevu ili ifike hatua somo hilo liwe kichwani na katika mioyo ya watanzania ili kila mmoja ajione fahari kulipa kodi.

Lakini pia kodi hizi zitumike vizuri pale zinapopangiwa matumizi na siyo watu wanatokwa jasho kulipa kodi na kukusanya kodi halafu linatokea jitu linafanya ufisadi wa mabilioni kwenye miradi ya serikali au kwa kufanya ujanja ujanja halafu linaendelea kutamba mitaani kama jogoo bila kuchukuliwa hatua zozote.hii ikifanyika na kuachwa itawakatisha tamaa walipa kodi wazalendo na wakusanya kodi wazalendo kwa kuona kuwa jasho lao linapotea bure tu.

Kazi iendelee mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Mkuu makusanyo yanasaidia ni kama mtaani Dollah hakuna? Umeme hakuna ,nauli juu! Sukari 4000
 
We mjinga unajua bei ya sukari Kwa sasa?unajua umeme ni wa mgao?unajua nauli zimepanda kiholela?
 
Utasemeje nauli zimepanda kiholela wakati ilifanyika tathmini ya kina kwa kupitia na kuangalia gharama za uendeshaji na bei za mafuta.hufahamu kuwa hapo kenya nauli zilikuwa zilishapanda muda mrefu sana.kwa hiyo ulitaka bei zibaki pale pale wakati mafuta yalikuwa yameongezeka tangia muda mrefu. Hali ya umeme nafikiri umesikia hotuba ya mh Rais japo jana. Ni suala la muda tu mgao wa umeme inakwenda kubaki katika vitabu vya historia tu.
 
Mkuu makusanyo yanasaidia ni kama mtaani Dollah hakuna? Umeme hakuna ,nauli juu! Sukari 4000
Nauli zilipanda kwa kuwa gharama za uendeshaji wa vyombo vya moto zilipanda.suala la dola nalo pia serikali inafanya jitihada nzuri kuhakikisha kuwa hali inakuwa nzuri ya upatikanaji wake.maana ili upate dollar Ni lazima uuze sana bidhaa au vitu nje ya nchi.kina suala la watalii ambalo nalo tunafanya vyema na hivyo kutupatia pesa za kigeni.
 
Mhh subutu hizo ni pesa ambazo wajanja wachache watazipiga harafu watatukebehi na kututukana Tena Kwa kutuambia watanzinia ni wapumbavu vipesa venyewe vya mboga makerere kibao na atuna Cha kuwafanya
Ukitaka ukione cha mtema kuna na kujuta kazaliwa basi wewe Gusa pesa alizotoa Rais Samia kwenda kufanya shughuli za maendeleo na kuwapatia huduma Wananchi.
 
We acha longo longo wakati huyo ndiye aliyetoa tamko la kula kwa urefu was kamba yako.
Kwani report ya CAG inaseme!???? Ni kiasi Kani Cha pesa kimepigwa na je kiongozi mkuu was nchi kachukua hatua Gani? Kwenye hili!!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Habari ikufikie popote pale ulipo kuwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imetangaza kupitia menejimenti yake kuwa imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee kabisa tangia kuanzishwa kwa mamlaka hiyo kwa kuweza kukusanya mapato ya ndani kiasi cha shilingi Trilioni tatu na point.

Haijawahi kutokea katika Historia ya Taifa letu .imetokea wakati huu kutokana na mazingira mazuri ya kisera na kisheria yaliyowekwa na serikali ya Rais samia yaliyochochea ongezeko la biashara nyingi zilizo pelekea kuongezeka kwa wigo wa kodi.

Ndugu zangu ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa watu wapo huru na wanajisikia fahari kufanya na kufungua biashara nchini,watu wapo huru na wanajisikia fahari kulipa kodi.hii ni baada ya maafisa wa TRA kujenga mahusiano mazuri na wafanyabishara kama ilivyoagizwa na mheshimiwa Rais wetu mpendwa Mama Samia aliyekataa Kodi za dhuluma na machozi..

Kwa sasa wafanyabishara wanawaona maafisa wa TRA kama watumishi wao na siyo maadui zao na kuishi kwa kuviziana na kukimbiana na kukimbizana Mitaani.lakini pia TRA kupitia kitengo chake cha elimu kwa mlipa kodi imeongeza sana elimu kwa watu na hivyo kuwajengea uelewa juu ya masuala ya kodi na kikodi. Hivyo watu hasa wafanyabiashara kuelewa nini kinapaswa kulipwa na wafanye nini wanapoona hawajaridhika na ukadiliaji wa mapato.

Lakini pia kumekuwa na muamko kwa wananchi katika kudai risiti baada ya kufanya manunuzi ya bidhaa, kwa kutambua kuwa ni kupitia njia hiyo ndio fedha zao zitarejea tena kwao kwa njia ya kujengewa zahanati,vituo vya afya,shule,madarasa, barabara, usambazaji wa maji safi na salama,huduma za umeme,elimu bure,Ruzuku za mbolea,kununua vifaa tiba,madawa na kuajiri watumishi wa afya mahospitalini pamoja na walimu shuleni.n.k.

Hongera sana TRA kwa weledi wenu mkubwa na uaminifu wenu kwa kuhakikisha kila senti inaingia na kwenda hazina ili nchi iweze kufanya maendeleo kwa kujenga miradi ya maendeleo na kutoa huduma bora na stahiki kwa wananchi.

Hongera sana Rais Samia na Serikali yako kwa kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara mpaka sasa wanafanya biashara kwa uhuru na amani. Kikubwa serikali iendelee kudhibiti mianya yote itakayoonekana kuvujisha na kupoteza mapato halali ya serikali.Elimu kwa mlipa kodi na wananchi iendelee kutolewa na liwe ni zoezi endelevu ili ifike hatua somo hilo liwe kichwani na katika mioyo ya watanzania ili kila mmoja ajione fahari kulipa kodi.

Lakini pia kodi hizi zitumike vizuri pale zinapopangiwa matumizi na siyo watu wanatokwa jasho kulipa kodi na kukusanya kodi halafu linatokea jitu linafanya ufisadi wa mabilioni kwenye miradi ya serikali au kwa kufanya ujanja ujanja halafu linaendelea kutamba mitaani kama jogoo bila kuchukuliwa hatua zozote.hii ikifanyika na kuachwa itawakatisha tamaa walipa kodi wazalendo na wakusanya kodi wazalendo kwa kuona kuwa jasho lao linapotea bure tu.

Kazi iendelee mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Wapika data hoyee.
 
Back
Top Bottom