Alichosahau kuongelea Rais Samia siku ya mwaka mpya 2024: Fedha za kuendesha Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote zitatoka wapi?

Mama Amon

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,021
2,478
1704140035173.png

I. Utangulizi

Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi (imeambatanishwa). Bado tunasubiri kkwa hamu kanuni na taratibu za kuongoza utekelezwaji wake.

Sheria hii ni mkakati wa kuipunguzia serikali mzigo wa kugharimia huduma za matibabu nchini Tanzania unaotoa majibu kwa mswali makuu saba yafuatayo:
  1. Ni asilimia ngapi ya wananchi watafaidika na mfuko wa bima ya afya kwa wote?
  2. Ni huduma gani za tiba zitabebwa na mfuko huu wa bima?
  3. Ni gharama kiasi gani zitaendelea kubebwa na mgonjwa, na hivyo kumlazimisha kugusa mfukoni mwake na kuzilipia?
  4. Ni watoa huduma wapi watatoa huduma za tiba kwa kutumia mfuko wa bima ya afya kwa wote?
  5. Ni vigezo gani vinapaswa kuzingatiwa ili mwananchi aweze kunufaika na mfuko wa bima ya afya kwa wote?
  6. Fedha za kuendesha mfuko wa bima ya afya kwa wote zitatoka wapi?
  7. Nini hatma ya mifuko ya bima ya afya iliyopo kwa sasa?
Mchoro wa "tofali la bima ya afya hapa chini unaonyesha vizuri uhusiano uliopo kati ya vibadilika vitatu katika maswali matatu ya kwanza hapo juu. Yaani: kiwango cha wanufaika, ukubwa wa kifurushi cha huduma, na kiasi cha fedha za matibabu zitakazoendelea kubebwa na mgonjwa.

1704139598384.png

Hatujasikia wahusika serikalini wakifafanua mambo haya. Hata Rais Samia alisahau kuongelea jambo hili kwenye hotuba yake ya mwaka mpya, wakati ni ajenda muhimu sana katika uhai wa Taifa, na rejea muhimu katika utekelezaji wa majukumu yake.

Hapa chini tunafupisha majibu kwa maswali hayo hapo juu.

II. Kiwango cha wanufaika

Sio kila Mtanzania atanufaika na "Mfuko Bima ya Afya kwa Wote," maana huu ni "Mfuko Bima ya Afya kwa Wote waliochangia" na sio vinginevyo.

Hivyo, kiwango cha wanufaika wanapaswa kuwa Watanzania wote watakaochangia kwenye mfuko wa bima. Wasio na uwezo wa kuchangia watabaguliwa.

III. Ukubwa wa kifurushi cha huduma

Bima ya Afya haitagharamia huduma zote za matibabu yake. Badala yake kutakuwa na vifurushi vyenye ukubwa tofauti kwa kuzingatia mambo makuu mawili:

(1) Kiasi cha fedha kinachoweza kuchangwa na kila mwanachama na kuruhusu mfuko kujiendesha kwa kasi na ufanisi. Kigezo hiki kitatumika kuamua kiwango cha chini cha idadi ya huduma za tiba zinazoweza kutolewa kwa wagonjwa wote (basic insurance package).

(2) ngazi ya matibabu katika mfumo wa afya wa Tanzania, yaani zaanati, kituo cha afya, polikliniki, hospitali ya wilaya, hospitali ya mkoa, na hospitali za rufaa.

Kwa mujibu wa sheria iliyopitisgwa, kifurushi cha huduma muhimu kitakuwa kinabeba huduma zifuatazo:
  • (a) uandikishaji na kumuona daktari;
  • (b) vipimo vya uchunguzi tiba vya maabara, radiolojia na mionzi kwa ngazi husika;
  • (c) huduma za kulazwa;
  • (d) matibabu ikiwemo: (i) huduma za dawa zilizo katika orodha ya dawa muhimu ya Taifa inayotolewa na Wizara;(ii) huduma za matibabu ya macho, kinywa na meno;(iii) huduma za kujifungua; na(iv) huduma za upasuaji;
  • (e) huduma za kibingwa na ubingwa bobezi; na
  • (f) huduma nyinginezo kwa kadri zitakavyoainishwa na Waziri katika kanuni chiniya Sheria hii.”
Pia, kutakuwepo na kifurushi cha nyongeza cha bima kitakachokuwa kinabeba huduma zifuatazo, zikiwa zimepunguzwa kidogo:

  • (d) matibabu ikiwemo: (i) huduma za dawa zilizo katika orodha ya dawa muhimu ya Taifa inayotolewa na Wizara;(ii) huduma za matibabu ya macho, kinywa na meno;(iii) huduma za kujifungua; na(iv) huduma za upasuaji; na
  • (e) huduma nyinginezo kwa kadri zitakavyoainishwa na Waziri katika kanuni chiniya Sheria hii.”
Kilichopunguzwa hapa ni "huduma za kibingwa na ubingwa bobezi."

Kimahesabu, kiwango cha michango au makato kwa ajili ya kutunisha mfuko wa bima ya afya kwa wote (premium contribution) kinategemea vigezo kama vikiwemo vifuatavyo:
  • premium contributions (PC) per individual unit time;
  • total expenditure (TE) related to the health insurance scheme;
  • benefits expenditure (BE);
  • administrative expenditure (AE);
  • other expenditures (OE);
  • tax related income (TRI); and
  • the total financial base (TFB) for supporting the health insurance scheme.
Hatimaye, kimhesabu ukokotoaji utafanyika kwa kutumia fomula ifuatayo:

1704140692130.png

Kwa hiyo, Bima ya Afya kwa Wote haitawezesha kuwepo kwa huduma zote za matibabu kwenye kituo cha afya ambacho mgonjwa atafika kupatiwa huduma. Kuna baadhi ya huduma zitamtaka mgonjwa aguse mfukoni kuzilipia.

IV. Kiasi cha fedha za matibabu zitakazoendelea kubebwa na mgonjwa

Pasipo kanuni za Waziri ni vigumu kujibu swali hili. Lakini pia sehemu ya jawabu itatokana na aina ya huduma inayotafutwa na mgonjwa. Kama huduma iko nje ya kifurushi cha bima malipo taslimu yatatakiwa.

V. Vigezo vinavyopaswa kuzingatiwa ili mwananchi aweze kunufaika

Kwanza, lazima mnufaika awe ni Mtanzania, na pili awe ni mwanachama hai, kwa maana ya mtu aliyechangia mfuko. Kwa kifupi sana hakuna cha bure, kila mtanzania atapaswa kuchangia fedha kiasi fulani, ama moja kwa moja au kwa njia ya mzunguko.

VI. Watoa huduma watakao huduma za tiba kwa kutumia mfuko wa bima ya afya kwa wote

Bima ya afya itatumika kwenye hospitali zote za umma na za binafsi, na hivyo kumpa mgonjwa uhuru kufika hospitali yoyote kupatiwa huduma. Mchoro ufuatao unaonyesha picha kubwa ya uhusiano kati ya watoa huduma, wagonjwa, mfuko wa bima na mamlaka za usimamizi.

1704146112893.png

VII. Chimbuko la fedha za kuendesha mfuko wa bima ya afya kwa wote

Fedha za kuendesha mfuko wa bima ya afya kwa wote zitatoka kwa wanachama, kodi ya serikali na wahisani. Uchambuzi makini bado unahitajika ili kujua kila mfereji wa mapato ya kuendesha mfuko huu utachangia kiasi gani.

VIII. Hatma ya mifuko ya bima ya afya iliyopo kwa sasa

Kupitia sheria ya Bima ya Afya kwa Wote mifuko iliyopo sasa ya Bima ya afya (CHF, iCHF, NHIF) itapaswa ama kufa rasmi (kumezwa), kuunganishwa (kuwa chini ya mwamvuli mmoja) au kuongezewa majukukumu mapya. Waziri anacho kibarua kikubwa hapa.

IX. Hitimisho na wito

Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote ni dhana murua. Lakini inahitajika elimu kwa umma, umakini katika utekelezaji, na nidhamu ya kukusanya na kusimamia fedha zitakazochangwa.

Makosa yaliyofanywa na NHIF ya kutumia fedha za wagonjwa kuwekeza katika majengo na kununua hisa katika mabenki zikomeshwe kabisa.

Tunasubiri mambo mawili kutoka kwa Waziri Ummy Mwalimu. Moja ni Kanuni za Kuongoza utekelezaji wa sheria hii.

Na pili ni ufafanuzi wa kitaalam wenye kuonyesha mfumo wa mapato na matumizi ya mfuko wa bima ya afya kwa mujibu wa fomula iliyoonyeshwa hapo juu. Maelezo yake ya juzi Bungeni (yameambataniswa) hayatoshi,

Taarifa hii imendaliwa na:
Dawati la Utafiri la Mama Amon (DUMA)
 
Attachments

  • Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote.pdf
    461.1 KB · Views: 4
  • MAELEZO YA MHESHIMIWA UMMY ALLY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA AKIWASILISHA MUSWADA WA KUTUNGA S...pdf
    242.8 KB · Views: 4
View attachment 2859649
I. Utangulizi

Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi. Bado kanuni na taratibu za kuongoza utekelezwaji wake.

Sheria hii ni Mikakati wa kugharimia huduma za matibabu nchini Tanzania unaotoa majibu kwa mswali makuu saba yafuatayo:
  1. Ni asilimia ngapi ya wananchi watafaidika na mfuko wa bima ya afya kwa wote?
  2. Ni huduma gani za tiba zitabebwa na mfuko huu wa bima?
  3. Ni gharama kiasi gani zitaendelea kubebwa na mgonjwa, na hivyo kumlazimisha kugusa mfukoni mwake na kuzilipia?
  4. Ni watoa huduma wapi watatoa huduma za tiba kwa kutumia mfuko wa bima ya afya kwa wote?
  5. Ni vigezo gani vinapaswa kuzingatiwa ili mwananchi aweze kunufaika na mfuko wa bima ya afya kwa wote?
  6. Fedha za kuendesha mfuko wa bima ya afya kwa wote zitatoka wapi?
  7. Nini hatma ya mifuko ya bima ya afya iliyopo kwa sasa?
Mchoro wa "tofali la bima ya afya hapa chini unaonyesha vizuri uhusiano uliopo kati ya vibadilika vitatu katika maswali matatu ya kwanza hapo juu. Yaani: kiwango cha wanufaika, ukubwa wa kifurushi cha huduma, na kiasi cha fedha za matibabu zitakazoendelea kubebwa na mgonjwa.

View attachment 2859645

Hatujasikia wahusika serialini wakifafanua mambo haya. Hata Rais Samia alisahau kuongelea jambo hili kwenye hotuba yake ya mwaka mpya, wakati ni ajenda muhimu sana katika uhai wa Taifa, na rejea muhimu katika utekelezaji wa majukumu yake. Hapa chini nafupisha majibu kwa maswali haya:

II. Kiwango cha wanufaika

Sio kila Mtanzania atanufaika na "Mfuko Bima ya Afya kwa Wote," maana huu ni "Mfuko Bima ya Afya kwa Wote waliochangia" na sio vinginevyo.

Hivyo, kiwango cha wanufaika wanapaswa kuwa Watanzania wote watakaochangia kwenye mfuko wa bima. Wasio na uwezo wa kuchangia watabaguliwa.

III. Ukubwa wa kifurushi cha huduma

Bima ya Afya haitagharamia huduma zote za matibabu yake. Badala yake kutakuwa na vifurushi vyenye ukubwa tofauti kwa kuzingatia mambo makuu mawili:

(1) Kiasi cha fedha kinachoweza kuchangwa na kila mwanachama na kuruhusu mfuko kujiendesha kwa kasi na ufanisi. Kigezo hiki kitatumika kuamua kiwango cha chini cha idadi ya huduma za tiba zinazoweza kutolewa kwa wagonjwa wote (basic insurance package).

(2) ngazi ya matibabu katika mfumo wa afya wa Tanzania, yaani zaanati, kituo cha afya, polikliniki, hospitali ya wilaya, hospitali ya mkoa, na hospitali za rufaa.

Kwa mujibu wa sheria iliyopitisgwa, kifurushi cha huduma muhimu kitakuwa kinabeba huduma zifuatazo:
  • (a) uandikishaji na kumuona daktari;
  • (b) vipimo vya uchunguzi tiba vya maabara, radiolojia na mionzi kwa ngazi husika;
  • (c) huduma za kulazwa;
  • (d) matibabu ikiwemo: (i) huduma za dawa zilizo katika orodha ya dawa muhimu ya Taifainayotolewa na Wizara;(ii) huduma za matibabu ya macho, kinywa na meno;(iii) huduma za kujifungua; na(iv) huduma za upasuaji;
  • (e) huduma za kibingwa na ubingwa bobezi; na
  • (f) huduma nyinginezo kwa kadri zitakavyoainishwa na Waziri katika kanuni chiniya Sheria hii.”
Pia, kutakuwepo na kifurushi cha nyongeza cha bima kitakachokuwa kinabeba huduma zifuatazo, zikiwa zimepunguzwa kidogo:
  • (a) uandikishaji na kumuona daktari;
  • (b) vipimo vya uchunguzi tiba vya maabara, radiolojia na mionzi kwa ngazi husika;
  • (c) huduma za kulazwa;
  • (d) matibabu ikiwemo: (i) huduma za dawa zilizo katika orodha ya dawa muhimu ya Taifainayotolewa na Wizara;(ii) huduma za matibabu ya macho, kinywa na meno;(iii) huduma za kujifungua; na(iv) huduma za upasuaji; na
  • (e) huduma nyinginezo kwa kadri zitakavyoainishwa na Waziri katika kanuni chiniya Sheria hii.”
Kwa hiyo, Bima ya Afya kwa Wote haitawezesha kuwepo kwa huduma zote za matibabu kwenye kituo cha afya ambacho mgonjwa atafika kupatiwa huduma. Kuna baadhi ya huduma zitamtaka mgonjwa aguse mfukoni kuzilipia.

IV. Kiasi cha fedha za matibabu zitakazoendelea kubebwa na mgonjwa

Pasipo kanuni za Waziri ni vigumu kujibu swali hili. Lakini pia sehemu ya jawabu itatokana na aina ya huduma inayotafutwa na mgonjwa. Kama huduma iko nje ya kifurushi cha bima malipo taslimu yatatakiwa.

V. Vigezo vinavyopaswa kuzingatiwa ili mwananchi aweze kunufaika

Kwanza, lazima mnufaika awe ni Mtanzania, na pili awe ni mwanachama hai, kwa maana ya mtu aliyechangia mfuko. Kwa kifupi sana hakuna cha bure, kila mtanzania atapaswa kuchangia fedha kiasi fulani.

VI. Watoa huduma watakao huduma za tiba kwa kutumia mfuko wa bima ya afya kwa wote

Bima ya afya itatumika kwenye hospitali zote za umma na za binafsi, na hivyo kumpa mgonjwa uhuru kufika hospitali yoyote kupatiwa huduma.

VII. Chimbuko la fedha za kuendesha mfuko wa bima ya afya kwa wote

Fedha za kuendesha mfuko wa bima ya afya kwa wote zitatoka kwa wanachama, kodi ya serikali na wahisani. Uchambuzi makini bado unahitajika ili kujua kila mfereji wa mapato ya kuendesha mfuko huu utachangia kiasi gani.

VIII. Hatma ya mifuko ya bima ya afya iliyopo kwa sasa

Kupitia sheria ya Bima ya Afya kwa Wote mifuko iliyopo sasa ya Bima ya afya (CHF, iCHF, NHIF) itapaswa ama kufa rasmi (kumezwa), kuunganishwa (kuwa chini ya mwamvuli mmoja) au kuongezewa majukukumu mapya. Waziri anacho kibarua kikubwa hapa.

IX. Hitimisho na wito

Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote ni dhana murua. Lakini inahitajika elimu kwa umma, umakini katika utekelezaji, na nidhamu ya kukusanya na kusimamia fedha zitakazochangwa. Makosa yaliyofanywa na NHIF ya kutumia fedha za wagonjwa kuwekeza katika majengo na kununua hisa katika mabenki zikomeshwe kabisa. Tunafuatilia kila hatua.

Taarifa hii imendaliwa na:
Dwati la Utafiri la Mama Amon (DUMA)
Mama Amoni nakuja kukujibu najua wewe na mm wote ni political analyst .

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
DUMA ni bunge la urusi nitakuja hapa

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Hata swala kandarasi tunazotolewa na rea kwa hao wataalamu wa umeme toka hawana utaamu wowote wa umeme kwa asilimia 95 zifanywa na watanzania wenyewe huku wakudhurumiwa wanajiita kampun toka nnje za umeme hazina na site wanafanya kazi hajui.ni Mambo. Ya ovyo ovyo
 
Usiweke matarajio ya kupata majawabu magumu,toka kwa wapiga domo na walio pata yai.Unapoteza muda bure kushauri wapumbavu.

Tunashindwa vitu vidogo kama mipango miji,uhakika wa maji Safi na salama kwa jamii zilizopo kando ya vyanzo vya maji vya uhakika,kupanga na kuratibu chaguzi zetu nk ndo tuje kufanikiwa katika jambo kubwa kama hilo kweli?

"Kuna vitu waafrika tumeshindwa,bora tuje tusaidiwe na mataifa ya nje"
 
Sikumsikiliza nilikuwa ana angalia mapinduzi CUP lakini sidhani kama kulikuwa na jipya, mswahili mwenzake Ummy kaiua hii Wizara ya Afya
 
Usiweke matarajio ya kupata majawabu magumu,toka kwa wapiga domo na walio pata yai.Unapoteza muda bure kushauri wapumbavu.

Tunashindwa vitu vidogo kama mipango miji,uhakika wa maji Safi na salama kwa jamii zilizopo kando ya vyanzo vya maji vya uhakika,kupanga na kuratibu chaguzi zetu nk ndo tuje kufanikiwa katika jambo kubwa kama hilo kweli?

"Kuna vitu waafrika tumeshindwa,bora tuje tusaidiwe na mataifa ya nje"
Mifumo ovu inatutesa sn
 
Hata swala kandarasi tunazotolewa na rea kwa hao wataalamu wa umeme toka hawana utaamu wowote wa umeme kwa asilimia 95 zifanywa na watanzania wenyewe huku wakudhurumiwa wanajiita kampun toka nnje za umeme hazina na site wanafanya kazi hajui.ni Mambo. Ya ovyo ovyo
Ni dili za akina Rostam, JK na Makamba
 
View attachment 2859649
I. Utangulizi

Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi (imeambatanishwa). Bado tunasubiri kkwa hamu kanuni na taratibu za kuongoza utekelezwaji wake.

Sheria hii ni mkakati wa kuipunguzia serikali mzigo wa kugharimia huduma za matibabu nchini Tanzania unaotoa majibu kwa mswali makuu saba yafuatayo:
  1. Ni asilimia ngapi ya wananchi watafaidika na mfuko wa bima ya afya kwa wote?
  2. Ni huduma gani za tiba zitabebwa na mfuko huu wa bima?
  3. Ni gharama kiasi gani zitaendelea kubebwa na mgonjwa, na hivyo kumlazimisha kugusa mfukoni mwake na kuzilipia?
  4. Ni watoa huduma wapi watatoa huduma za tiba kwa kutumia mfuko wa bima ya afya kwa wote?
  5. Ni vigezo gani vinapaswa kuzingatiwa ili mwananchi aweze kunufaika na mfuko wa bima ya afya kwa wote?
  6. Fedha za kuendesha mfuko wa bima ya afya kwa wote zitatoka wapi?
  7. Nini hatma ya mifuko ya bima ya afya iliyopo kwa sasa?
Mchoro wa "tofali la bima ya afya hapa chini unaonyesha vizuri uhusiano uliopo kati ya vibadilika vitatu katika maswali matatu ya kwanza hapo juu. Yaani: kiwango cha wanufaika, ukubwa wa kifurushi cha huduma, na kiasi cha fedha za matibabu zitakazoendelea kubebwa na mgonjwa.

View attachment 2859645

Hatujasikia wahusika serikalini wakifafanua mambo haya. Hata Rais Samia alisahau kuongelea jambo hili kwenye hotuba yake ya mwaka mpya, wakati ni ajenda muhimu sana katika uhai wa Taifa, na rejea muhimu katika utekelezaji wa majukumu yake.

Hapa chini tunafupisha majibu kwa maswali hayo hapo juu.

II. Kiwango cha wanufaika

Sio kila Mtanzania atanufaika na "Mfuko Bima ya Afya kwa Wote," maana huu ni "Mfuko Bima ya Afya kwa Wote waliochangia" na sio vinginevyo.

Hivyo, kiwango cha wanufaika wanapaswa kuwa Watanzania wote watakaochangia kwenye mfuko wa bima. Wasio na uwezo wa kuchangia watabaguliwa.

III. Ukubwa wa kifurushi cha huduma

Bima ya Afya haitagharamia huduma zote za matibabu yake. Badala yake kutakuwa na vifurushi vyenye ukubwa tofauti kwa kuzingatia mambo makuu mawili:

(1) Kiasi cha fedha kinachoweza kuchangwa na kila mwanachama na kuruhusu mfuko kujiendesha kwa kasi na ufanisi. Kigezo hiki kitatumika kuamua kiwango cha chini cha idadi ya huduma za tiba zinazoweza kutolewa kwa wagonjwa wote (basic insurance package).

(2) ngazi ya matibabu katika mfumo wa afya wa Tanzania, yaani zaanati, kituo cha afya, polikliniki, hospitali ya wilaya, hospitali ya mkoa, na hospitali za rufaa.

Kwa mujibu wa sheria iliyopitisgwa, kifurushi cha huduma muhimu kitakuwa kinabeba huduma zifuatazo:
  • (a) uandikishaji na kumuona daktari;
  • (b) vipimo vya uchunguzi tiba vya maabara, radiolojia na mionzi kwa ngazi husika;
  • (c) huduma za kulazwa;
  • (d) matibabu ikiwemo: (i) huduma za dawa zilizo katika orodha ya dawa muhimu ya Taifa inayotolewa na Wizara;(ii) huduma za matibabu ya macho, kinywa na meno;(iii) huduma za kujifungua; na(iv) huduma za upasuaji;
  • (e) huduma za kibingwa na ubingwa bobezi; na
  • (f) huduma nyinginezo kwa kadri zitakavyoainishwa na Waziri katika kanuni chiniya Sheria hii.”
Pia, kutakuwepo na kifurushi cha nyongeza cha bima kitakachokuwa kinabeba huduma zifuatazo, zikiwa zimepunguzwa kidogo:
  • (a) uandikishaji na kumuona daktari;
  • (b) vipimo vya uchunguzi tiba vya maabara, radiolojia na mionzi kwa ngazi husika;
  • (c) huduma za kulazwa;
  • (d) matibabu ikiwemo: (i) huduma za dawa zilizo katika orodha ya dawa muhimu ya Taifa inayotolewa na Wizara;(ii) huduma za matibabu ya macho, kinywa na meno;(iii) huduma za kujifungua; na(iv) huduma za upasuaji; na
  • (e) huduma nyinginezo kwa kadri zitakavyoainishwa na Waziri katika kanuni chiniya Sheria hii.”
Kilichopunguzwa hapa ni "huduma za kibingwa na ubingwa bobezi."

Kimahesabu, kiwango cha michango au makato kwa ajili ya kutunisha mfuko wa bima ya afya kwa wote (premium contribution) kinategemea vigezo kama vikiwemo vifuatavyo:
  • premium contributions (PC) per individual unit time;
  • total expenditure (TE) related to the health insurance scheme;
  • benefits expenditure (BE);
  • administrative expenditure (AE);
  • other expenditures (OE);
  • tax related income (TRI); and
  • the total financial base (TFB) for supporting the health insurance scheme.
Hatimaye, kimhesabu ukokotoaji utafanyika kwa kutumia fomula ifuatayo:

View attachment 2859653

Kwa hiyo, Bima ya Afya kwa Wote haitawezesha kuwepo kwa huduma zote za matibabu kwenye kituo cha afya ambacho mgonjwa atafika kupatiwa huduma. Kuna baadhi ya huduma zitamtaka mgonjwa aguse mfukoni kuzilipia.

IV. Kiasi cha fedha za matibabu zitakazoendelea kubebwa na mgonjwa

Pasipo kanuni za Waziri ni vigumu kujibu swali hili. Lakini pia sehemu ya jawabu itatokana na aina ya huduma inayotafutwa na mgonjwa. Kama huduma iko nje ya kifurushi cha bima malipo taslimu yatatakiwa.

V. Vigezo vinavyopaswa kuzingatiwa ili mwananchi aweze kunufaika

Kwanza, lazima mnufaika awe ni Mtanzania, na pili awe ni mwanachama hai, kwa maana ya mtu aliyechangia mfuko. Kwa kifupi sana hakuna cha bure, kila mtanzania atapaswa kuchangia fedha kiasi fulani, ama moja kwa moja au kwa njia ya mzunguko.

VI. Watoa huduma watakao huduma za tiba kwa kutumia mfuko wa bima ya afya kwa wote

Bima ya afya itatumika kwenye hospitali zote za umma na za binafsi, na hivyo kumpa mgonjwa uhuru kufika hospitali yoyote kupatiwa huduma. Mchoro ufuatao unaonyesha picha kubwa ya uhusiano kati ya watoa huduma, wagonjwa, mfuko wa bima na mamlaka za usimamizi.

View attachment 2859691

VII. Chimbuko la fedha za kuendesha mfuko wa bima ya afya kwa wote

Fedha za kuendesha mfuko wa bima ya afya kwa wote zitatoka kwa wanachama, kodi ya serikali na wahisani. Uchambuzi makini bado unahitajika ili kujua kila mfereji wa mapato ya kuendesha mfuko huu utachangia kiasi gani.

VIII. Hatma ya mifuko ya bima ya afya iliyopo kwa sasa

Kupitia sheria ya Bima ya Afya kwa Wote mifuko iliyopo sasa ya Bima ya afya (CHF, iCHF, NHIF) itapaswa ama kufa rasmi (kumezwa), kuunganishwa (kuwa chini ya mwamvuli mmoja) au kuongezewa majukukumu mapya. Waziri anacho kibarua kikubwa hapa.

IX. Hitimisho na wito

Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote ni dhana murua. Lakini inahitajika elimu kwa umma, umakini katika utekelezaji, na nidhamu ya kukusanya na kusimamia fedha zitakazochangwa.

Makosa yaliyofanywa na NHIF ya kutumia fedha za wagonjwa kuwekeza katika majengo na kununua hisa katika mabenki zikomeshwe kabisa.

Tunasubiri mambo mawili kutoka kwa Waziri Ummy Mwalimu. Moja ni Kanuni za Kuongoza utekelezaji wa sheria hii.

Na pili ni ufafanuzi wa kitaalam wenye kuonyesha mfumo wa mapato na matumizi ya mfuko wa bima ya afya kwa mujibu wa fomula iliyoonyeshwa hapo juu. Maelezo yake ya juzi Bungeni (yameambataniswa) hayatoshi,

Taarifa hii imendaliwa na:
Dawati la Utafiri la Mama Amon (DUMA)
Kwa mujibu wa Serikali pesa itatoka kwenye Kodi hasa Kwa wale watu mil.15 watakaopata msamaha, wengine wote tutachangia na pia bila za Sasa zitaendelea kuwepo Kwa sababu lengo ni kuwa na bima.
 
Hoja nzuri ila sasa haya maswali sina hakika ni nani atajibu.

Kwenye hotuba ya rais halikuzungumziwa labda ka sababu wakati wake wa kulizungumzia bado kufika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom