Maoni: Thobias Mwilapwa apewe Ukatibu Mkuu wa CCM

Samia gang

New Member
Feb 18, 2023
2
1
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii ya kipekee kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema wa baraka ya uhai aliyotujalia hatimae kuwenza kuuona mwaka mwingine 2024.

Tukiwa tunaelekea kwenye vikao vya Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ambavyo kutokana na ratiba ya chama Moja ya ajenda itakuwa ni kujaza nafasi ya Katibu Mkuu wa chama CCM kwa kuchambua sifa za wanachama mbalimbali naona nafasi hii ya Katibu mkuu CCM apewe Thobias Mwilapwa kwa sababu zifuatanzo;

Mosi ni mwanachama muadilifu na muaminifu sana
Pili anakijua vizuri chama kwa maana ameshawahi kuwa msaidizi wa Makatibu wakuu wanne kwa nyakati tofauti akianza na Philipo Mangula, Kinana, Mukama na Yusuph Makamba

Kwa hiyo anauzoefu wa kutosha sana kuweza kuvaa viatu vya Ukatibu Mkuu

Tatu ni mtu ambae anaweza kujenga hoja nzuri na zenye mashiko na kama ikitokea midahalo ya vyama vya kisiasa anaweza kukivusha chama vizuri passipo kuwa na wasiwasi wowote

Nne ni mtu ambae anaweza kukiunganisha chama na wanachama wake

Tano ni mtu asie na makundi

Sita anamakandokando yoyote mwisho Mwenyekiti wa CCM taifa, Dkt. Samia kama ikikupendeza mteue Thobias Mwilapwa kwenye Katibu Mkuu CCM ni mtu makini sana anaweza kukivusha chama vizuri 2024-2025
 
Sawa Tobias Mwilapwa asante Kwa kujipigia debe. Ulikuwa DC Tanga roho yako ni mbaya utatuulia CCM yetu we tulia benchi tu Mama anamalizia mchakato Katibu Mkuu wako utamjua soon
 
Southerners wengi ukiacha Sugu ni fuata mkumbo!!! They have ruined our country, very few are smart.
 
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii ya kipekee kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema wa baraka ya uhai aliyotujalia hatimae kuwenza kuuona mwaka mwingine 2024.

Tukiwa tunaelekea kwenye vikao vya Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ambavyo kutokana na ratiba ya chama Moja ya ajenda itakuwa ni kujaza nafasi ya Katibu Mkuu wa chama CCM kwa kuchambua sifa za wanachama mbalimbali naona nafasi hii ya Katibu mkuu CCM apewe Thobias Mwilapwa kwa sababu zifuatanzo;

Mosi ni mwanachama muadilifu na muaminifu sana
Pili anakijua vizuri chama kwa maana ameshawahi kuwa msaidizi wa Makatibu wakuu wanne kwa nyakati tofauti akianza na Philipo Mangula, Kinana, Mukama na Yusuph Makamba

Kwa hiyo anauzoefu wa kutosha sana kuweza kuvaa viatu vya Ukatibu Mkuu

Tatu ni mtu ambae anaweza kujenga hoja nzuri na zenye mashiko na kama ikitokea midahalo ya vyama vya kisiasa anaweza kukivusha chama vizuri passipo kuwa na wasiwasi wowote

Nne ni mtu ambae anaweza kukiunganisha chama na wanachama wake

Tano ni mtu asie na makundi

Sita anamakandokando yoyote mwisho Mwenyekiti wa CCM taifa, Dkt. Samia kama ikikupendeza mteue Thobias Mwilapwa kwenye Katibu Mkuu CCM ni mtu makini sana anaweza kukivusha chama vizuri 2024-2025
Mtahangaika sana , hii kazi ni ya RC chalamila.
 
Naunga mkono hoja. Mwilapwa yuko vizuri kwenye mambo ya chama
 
Sawa chawa wa Mwilapa. Kila la kheri. Msisahau kutuletea katiba mpya mkipata ulaji huko CCM.
 
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii ya kipekee kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema wa baraka ya uhai aliyotujalia hatimae kuwenza kuuona mwaka mwingine 2024.

Tukiwa tunaelekea kwenye vikao vya Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ambavyo kutokana na ratiba ya chama Moja ya ajenda itakuwa ni kujaza nafasi ya Katibu Mkuu wa chama CCM kwa kuchambua sifa za wanachama mbalimbali naona nafasi hii ya Katibu mkuu CCM apewe Thobias Mwilapwa kwa sababu zifuatanzo;

Mosi ni mwanachama muadilifu na muaminifu sana
Pili anakijua vizuri chama kwa maana ameshawahi kuwa msaidizi wa Makatibu wakuu wanne kwa nyakati tofauti akianza na Philipo Mangula, Kinana, Mukama na Yusuph Makamba

Kwa hiyo anauzoefu wa kutosha sana kuweza kuvaa viatu vya Ukatibu Mkuu

Tatu ni mtu ambae anaweza kujenga hoja nzuri na zenye mashiko na kama ikitokea midahalo ya vyama vya kisiasa anaweza kukivusha chama vizuri passipo kuwa na wasiwasi wowote

Nne ni mtu ambae anaweza kukiunganisha chama na wanachama wake

Tano ni mtu asie na makundi

Sita anamakandokando yoyote mwisho Mwenyekiti wa CCM taifa, Dkt. Samia kama ikikupendeza mteue Thobias Mwilapwa kwenye Katibu Mkuu CCM ni mtu makini sana anaweza kukivusha chama vizuri 2024-2025
Aisee. Watu mnapata tabu sana na maisha.
 
Kumbe ana makando kando huyo hatufai.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom