Mapendekezo kuboresha Bunge kupitia mabadiliko ya Katiba

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,660
46,350
Iwekwe katika katiba kila wananchi laki 2 wawakilishwe na mbunge mmoja.
  • Viti maalum vifutwe
  • Ubunge wa kuteuliwa ufutwe
  • Wagombea binafsi waruhusiwe
Mbunge akihama chama, akijiuzulu, akifariki au akiondolewa kwa namna yoyote nafasi yake ijazwe na chama alichohama.

Wabunge waliofukuzwa chamani mwao wasiruhusiwe kuendelea kukaa bungeni kwa namna yoyote ile.
 
Mb

Mbunge akishachaguliwa chama chake kisiwe na uwezo wa kumuondolea ubunge Kwa sababu waliomchagua siyo lazima wawe wanachama wa chama chake. Wananchi pekee ndiyo wawe na uwezo wa kumtoa. Hii itampa uhuru mbunge kuongelea matatizo ya wananchi wake bila kujali msimamo wa chama chake.
 
Iwekwe katika katiba kila wananchi laki 2 wawakilishwe na mbunge mmoja.
  • Viti maalum vifutwe
  • Ubunge wa kuteuliwa ufutwe
  • Wagombea binafsi waruhusiwe
Mbunge akihama chama, akijiuzulu, akifariki au akiondolewa kwa namna yoyote nafasi yake ijazwe na chama alichohama.

Wabunge waliofukuzwa chamani mwao wasiruhusiwe kuendelea kukaa bungeni kwa namna yoyote ile.
Naunga mkono hoja Je, Wabunge Viti Maalum ni wa kubebwa? Mnaonaje iwe ni awamu moja tuu kisha waendeni jimboni, kupisha wengine, au waendelee kubebwa tu?
P
 
Back
Top Bottom