Hali ya ushiriki wa uchaguzi wa mitaa mwaka 2024 ikoje?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,620
46,264
Utashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu wa 2024?

Utashiriki kama mgombea au mpiga kura?

Kama hautashiriki sababu gani za msingi zitakufanya usishiriki?

Tukumbuke serikali ya mitaa ndio serikali iliyo karibu yetu zaidi na inayopaswa kuwa msikilizaji kero na mdau namba moja wa maendeleo. Sio tu kwenda kupewa barua ya utambulisho.
 
UCHAGUZI wa MITAA usogezwe 2025.

Tuchague mkt, Diwani, Mbunge, Rais Kwa pamoja kuepuka gharama na usimamizi mbovu.
 
Utashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu wa 2024?

Utashiriki kama mgombea au mpiga kura?

Kama hautashiriki sababu gani za msingi zitakufanya usishiriki?

Tukumbuke serikali ya mitaa ndio serikali iliyo karibu yetu zaidi na inayopaswa kuwa msikilizaji kero na mdau namba moja wa maendeleo. Sio tu kwenda kupewa barua ya utambulisho.
Nitashiriki kama mpiga kura na mgombea binafsi.Ikiwa sheria itanilazimisha kujiunga na chama nitasusia kupiga kura na kugombea.
 
Mtu mjinga tu, au anayefaidika na chaguzi hizi za kihayawani ndio atapoteza muda wake kushiriki huo upuuzi. Kwa mazingira ya chaguzi zetu, kushiriki kwenye mazingira haya ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Back
Top Bottom