Najuta kuisaidia CCM kuiba KURA kwenye uchaguzi mkuu! Wana Ismani mnisamehe... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najuta kuisaidia CCM kuiba KURA kwenye uchaguzi mkuu! Wana Ismani mnisamehe...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tiamaji, Feb 19, 2012.

 1. T

  Tiamaji Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman wanaJF wazima?

  Mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi, nilipewa laki 2 na kuipendelea CCM.

  Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo hali ni mbaya yan barabara mbovu sana (km 60 tu toka mjin but unatumia masaa4), hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya ubovu.

  Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa kuchakachua matokeo. Naombeni wanaismani na tanzania kwa ujumla mnisamehe, najuta nimegundua CCM ni janga na hatari kwa maisha ya watanzania.
   
 2. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ???????????????.........................????????????????????????????..................................
   
 3. u

  ureni JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hiyo laki mbili ulipewa na nani?katika kata hiyo ni nani alishinda?na wakala wa vyama vingine hawakuwepo au na wao walipewa fedha vilevile?
   
 4. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Watu wengine bana!
  Waathirika wakubwa ktk ulafi wako ni wale waliopo kijijini na hawajui maana ya jamiiforums.
  Nenda huko kawaeleze haya ndipo Mungu apokee sala zako! Wao ndo wanapata taabu huko asilimia 100!
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Natamani nijue ulipo nije niondoke na kichwa chako.Niambie ulipo
   
 6. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 573
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Kama unataka kweli msamaha wa Watanzania na Wanaismani kwa ujumla wao na lengo la majuto yako ni kutoa msaada kwa Watanzania,Eleza ni mbinu gani zilitumika katika kuchakachua kura hizo,na nikatika mazingira gani wewe ulipatiwa hizo laki mbili wakati kila chama kilikuwa na wakala wake na kura zote zilihesabiwa mawakala wote wakiwepo.Vinginevyo utakuwa mnafiki na msaliti mkubwa na post yako ni ya kutafutia Umaarufu na sifa za kijinga Jf.
   
 7. t

  tenende JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Majuto ni mjukuu!.. Wewe ni mtu mzima ulikuwa na mda wa kutafakari na kuepusha hujuma kwa wana Ismani na watanzania kwa ujumla. Angalia hali ilivyo sasa tunahitaji ukombozi kwa namna yoyote ile. Tutakusamehe ukishiriki mapambano ya kuhamasisha wanaismani na watz wengine kuwakataa magamba.
   
 8. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  hongera sana kwa kugundua kosa lako. kwa bahati mbaya sana hapa jf huwezi pata msamaha unaotka. ili upate msamaha wa kweli nenda kwa wana ismani ukawaambie ukweli na uwaombe msamaha, wao wanaweza kukusamehe au la kwa kadri watakavyokuelewa kama unawadhihaki au la. ili upat furaha ya nafsi nenda kwa watu wa ismani
   
 9. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kitobo uliyetoboka we !
  Huwa situkani ila leo imenibidi !
   
 10. T

  Tiamaji Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani,tulipewa hiyo pesa wote pamoja na mawakala wa vyama vingne nao wakaridhia kubatilisha matokeo...nitafute sifa gan hapa maana hakuna mtu anayenijua
   
 11. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Utasamehewa kwa kusema ukweli ili tujue jinsi ya kuhepuka na mbinu hizo next time kuanzia Arumeru. Hebu tuambie njia iliyotumika kumpitisha mgombea wa CCM.
   
 12. nyamemba

  nyamemba JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 689
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  tupe mbinu mlizotumia,eleza kila kitu na ikiwezekana rudizha vilaki vyao
   
 13. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  wako wengi kama mlioangamiza majimbo yenu wengine pilau na khanga ndo ziliwapoza,rudi kijijini kwenu ukawaombe msamaha kama hawatakutoa kamasi sijui,ila tupe na mbinu hao magamba wanazotumia kuwarubuni wakati wasimamizi wa kada za vyama huwepo
   
 14. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 686
  Trophy Points: 280
  nyie ndugu wale mawakala wana njaa tu yan pesa kidogo wanakuwa rojo kama mrenda na wanakubali kila kitu ninachowaambia,.hvyo kubwa ni kupata mawakala imara na wasio na njaa njaa kama mimi
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  japo imeyambua kosa lako lakini madhara uliyosababisha hayatoisha leo wakati wewe laki mbili ulimaliza wiki hiyo
  kwani unhezila na usichakachue unhefanywa nini
   
 16. only83

  only83 JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nadhani dhambi hii uliyofanya ni kama kumzika mtu mzima mzima...tutakusamehe iwapo utatangaza hadharani kuwa Lukuvi alikuwa hela uchakachue kura zetu...vinginevyo sioni kama kuna masamaha hapo.
   
 17. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani uliiba kura za mgombea ubunge/udiwani yupi na wa chama kipi? Je wanaismani walikuwa tayari wamefunguka hata kuwa tishio la CCM na hadi kuwaibia kura? Ebu weka wazi, ni kama kuna dalili za uongo tu kwenye thread hii. Mwaka 2005 kweli?
   
 18. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Ebu nenda zako huku,mnafiki mkubwa wewe!!kama kwli umetubu peleka ushaidi wako polisi then wakufungulie kasi,sasa unatuletea sisi tufanye nn??au umepigwa chini ndio unajifanya na wewe mtu....!!
   
 19. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  As time goes on more of the old tricks will find no favors amongst the people used to support them. Hela za kunyea pombe siku moja kwa gharama ya miaka mingine mia moja wapi na wapi????? Common sense is not common, I now agree.
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli hili janga limesababishwa na wengi
   
Loading...