comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,226
- 5,948
Kumekuwepo na kelele za mda mrefu za uhuru wa tume ya uchaguzi. mambo yanayoguswa ni :-
Lakini bado lipo suala la nani ataipa fedha za kujiendesha; na siyo fedha kidogo kwa huo muundo wake utakaopatikana ikitokea muswada ukapita.
Napendekeza kwamba tume ili iwe huru isipewe fedha za kujiendesha na serikali badala yake yeyote anayetaka kugombea achangie uendeshaji wa tume. Napendekeza:-
mratibu wa kitongoji au mtaa apokee hela kutoka kwa watu wanaotaka kugombea hiyo nafasi na wakae wapange bajeti na idadi ya watu wa kuajiri na namna na kuendasha uchaguzi wao.
Kama watu wazima tunaongelea tu uteuzi na watumishi lakini hatuangalii itapata wapi hela- inanipa tabu kidogo.
Nawakilisha
- inavyoundwa
- watumishi wake

- Mwenyekiti wa kitongoji/mtaa: 2,000,000.
- Mwenyekiti wa kijiji- 20,000,000
- Diwani- 100,000,000
- Mbunge- 1,000,000,000
- Rais- 5,000,000,000