Gambo: Februari 17, 2024, tutafanya mkutano mkuu wa Jimbo pale AICC kuelezea tuliyofanya, wajumbe na Mabalozi wote watahudhuria!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Mbunge wa Arusha mjini mh Mrisho Gambo amesema tarehe 17/02/2024 watafanya mkutano mkuu wa Jimbo katika ukumbi wa Kimataifa wa AICC

Gambo amesema Wajumbe, Mabalozi wote na Wawakilishi wa Wafanyabiashara, Wajasiliamali na Jamii watahudhuria na kwamba idadi yao itakuwa Zaidi ya Watu 2000

Source: Clouds TV
 


Teh teh teh

Na mahandaki ya barabara za Olasiti msiyasahau kwenye Checklist

huko uzunguni ni kikao cha familia
 


Teh teh teh

Na mahandaki ya barabara za Olasiti msiyasahau kwenye Checklist

huko uzunguni ni kikao cha familia
Na makorongo ya njia (maana ni aibu hata kuita barabara) ya Mwanama--Olerian- Viwandani wasisahau..yaani HIACE za huko zimechoka kama magari yaliyotumika wakati vita ya Escape from Sobibo
 
Back
Top Bottom