CCM kuna Unafiki uliopitiliza Waziri anatoa Salamu za Mbunge kwa Wapigakura, Ulega punguza Uswahili!

Kwa kawaida Kiongozi wa serikali akitembelea jimbo basi Mbunge na madiwani ndio huwa wenyeji wake

Mbunge asipokuwepo basi Katibu wa mbunge ndio atatoa salamu za Mbunge kwa mgeni na kwa Wananchi

Ulega ulichomfanyia Jerry Silaa ujue Mungu amekuona

Niishie hapo
Kwa hiyo unashangaa kuona mnafiki ccm? Huko ndiyo nyumbani kwao wamejaa kama mchanga wa pwani
 
Njaa mbaya bro, watu wanalinda njia zao kupata maokoto, kwa mfumo wa CCM, inabidi akili uiweke pembeni, kuwa chawa, mnafiki, jipendekeze, jifanye mjinga, duni mbele ya wakubwa zako, (kabudi alisema katolewa jalalani), juzi kinana, na majaliwa, wanapendekeza form za urais CCM, itolewe moja tu ya samia, kinyune cha utaratibu, yote ni kuzuia boss wao apenye kiuraiiiini!.
Ukienda kinyume, na CCM politburo(political establishment), wanaweza hata kukutoa roho!
Mi nimeishakubali, kwa mwendo huu wa CCM, nchi haiwezi kuendelea, at least not in my life time, 60yrs from now!
May be yafanyike mapinduzi,
 
Back
Top Bottom