Miaka ya Urais ipunguzwe toka 5 hadi 4

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,111
18,327
Kadri tunavyo badiri viongozi mara nyingi tunapata mawazo mapya na kadri kiongozi anavyo zidi kukaa madarakani ndivyo anavyo fanya mambo ya hovyo.

Ni wakati sasa Tanzania kubadiri utaratibu wa miaka 5 uwe wa miaka 4 kama ilivyo USA na vipindi viwili vibakie kama vilivyo sasa.

Na umri wa kuwa Rais uanzie miaka 35 badala ya 40 na mwisho kugombea Urais iwe miaka 60 kama anagombea kwa mara ya kwanza.

Mabadiriko yoyote ya katiba yasifanyike kama bunge linalo takiwa kufanya mabadiriko yoyote ya kuongeza muda wa kukaa madarakani halina 40% ya wabunge wa upinzani.

Pia Makama wa Rais asiruhusiwe kuongoza nchi zaidi ya mwaka 1 kama ikitokea Rais anafariki.. baada ya mwaka mmoja uchaguzi unatakiwa kuitishwa haraka.

Heri ya Mwaka Mpya.
 
Na umri wa kuwa Rais uanzie miaka 35 badala ya 40 na mwisho kugombea Urais iwe miaka 60 kama anagombea kwa mara ya kwanza .

Mabadiriko yoyote ya katiba yasifanyike kama bunge linalo takiwa kufanya mabadiriko yoyote ya kuongeza muda wa kukaa madarakani halina 40% ya wabunge wa upinzani..

Heri ya mwaka mpya
Asante ni mawazo mazuri
P
 
Siungi Mkono kupunguza muhula wa Rais bali nashauri uongezwe hadi miaka Saba.

Mwaka mmoja wa kuandaa serikali kufanya kazi, mwaka mwingine wa kuandaa kukabidhi serikali na maandalizi ya chaguzi. Miaka mitano kamili kwa ajili ya kutekeleza kwa uaminifu mkubwa ahadi alizoaihidi kwa wale waliomuamini na kumpa madaraka.
 
Napendekeza Rais awe anapigiwa kura ya maoni kila mwisho wa mwaka na nchi.

Kama hajatekeza ahadi (ilani) kwa wananchi apigiwe kura ya maoni hatuna imani na wewe na kujiuzulu au bado tuna imani na wewe na kuendelea kutawala.

HIi itawafanya viongozi kuwa makini na kila siku kufuatilia kwa dhati kutimiza ahadi, kuingia mikataba yenye tija kwa nchi, kufanya teuzi kwa vigezo vya uwezo, kulinda rasilimali za nchi na maslahi ya Taifa.

Napendekeza Rais awe anajibu maswali ya Wananchi kila mwisho wa wiki na kila mwisho wa mwezi. Rais awe anawajibika kwa wananchi. Na kumuwajibisha iwe ndani ya uwezo wa Wananchi wakiona anaenda kuivuruga nchi kama PMQ Uingereza.
 
Kadri tunavyo badiri viongozi mara nyingi tunapata mawazo mapya na kadri kiongozi anavyo zidi kukaa madarakani ndivyo anavyo fanya mambo ya hovyo.

Ni wakati sasa Tanzania kubadiri utaratibu wa miaka 5 uwe wa miaka 4 kama ilivyo USA na vipindi viwili vibakie kama vilivyo sasa.

Na umri wa kuwa Rais uanzie miaka 35 badala ya 40 na mwisho kugombea Urais iwe miaka 60 kama anagombea kwa mara ya kwanza .

Mabadiriko yoyote ya katiba yasifanyike kama bunge linalo takiwa kufanya mabadiriko yoyote ya kuongeza muda wa kukaa madarakani halina 40% ya wabunge wa upinzani..

Pia Makama wa Rais asiruhusiwe kuongoza nchi zaidi ya mwaka 1 kama ikitokea Rais anafariki.. baada ya mwaka mmoja uchaguzi unatakiwa kuitishwa haraka.

Heri ya mwaka mpya
Kadri alivyoboronga huyu ndiyo hoja inakuwa na uzito
 
Nenda USA kawape huo ushauri. After all, Katiba yao ya kwanza haikutambua watu weusi hata kama wapo yaani walikuwa sawa na pets na cattle. Wanawake walitambuliwa katika kupanga idadi ya Senators like kura hawakuruhusiwa kupiga. Wao watuige sisi.
 
Kadri tunavyo badiri viongozi mara nyingi tunapata mawazo mapya na kadri kiongozi anavyo zidi kukaa madarakani ndivyo anavyo fanya mambo ya hovyo.

Ni wakati sasa Tanzania kubadiri utaratibu wa miaka 5 uwe wa miaka 4 kama ilivyo USA na vipindi viwili vibakie kama vilivyo sasa.

Na umri wa kuwa Rais uanzie miaka 35 badala ya 40 na mwisho kugombea Urais iwe miaka 60 kama anagombea kwa mara ya kwanza .

Mabadiriko yoyote ya katiba yasifanyike kama bunge linalo takiwa kufanya mabadiriko yoyote ya kuongeza muda wa kukaa madarakani halina 40% ya wabunge wa upinzani..

Pia Makama wa Rais asiruhusiwe kuongoza nchi zaidi ya mwaka 1 kama ikitokea Rais anafariki.. baada ya mwaka mmoja uchaguzi unatakiwa kuitishwa haraka.

Heri ya mwaka mpya
Ni mawazo mazuri binafsi sana ndani yake, yasio na msingi, kwa maoni yangu
 
Napendekeza Rais awe anapigiwa kura ya maoni kila mwisho wa mwaka na nchi.

Kama hajatekeza ahadi (ilani) kwa wananchi apigiwe kura ya maoni hatuna imani na wewe na kujiuzulu au bado tuna imani na wewe na kuendelea kutawala.

HIi itawafanya viongozi kuwa makini na kila siku kufuatilia kwa dhati kutimiza ahadi, kuingia mikataba yenye tija kwa nchi, kufanya teuzi kwa vigezo vya uwezo, kulinda rasilimali za nchi na maslahi ya Taifa.

Napendekeza Rais awe anajibu maswali ya Wananchi kila mwisho wa wiki na kila mwisho wa mwezi. Rais awe anawajibika kwa wananchi. Na kumuwajibisha iwe ndani ya uwezo wa Wananchi wakiona anaacha kuivuruga nchi.
Kila mwaka uchaguz right?
 
Kadri tunavyo badiri viongozi mara nyingi tunapata mawazo mapya na kadri kiongozi anavyo zidi kukaa madarakani ndivyo anavyo fanya mambo ya hovyo.

Ni wakati sasa Tanzania kubadiri utaratibu wa miaka 5 uwe wa miaka 4 kama ilivyo USA na vipindi viwili vibakie kama vilivyo sasa.

Na umri wa kuwa Rais uanzie miaka 35 badala ya 40 na mwisho kugombea Urais iwe miaka 60 kama anagombea kwa mara ya kwanza.

Mabadiriko yoyote ya katiba yasifanyike kama bunge linalo takiwa kufanya mabadiriko yoyote ya kuongeza muda wa kukaa madarakani halina 40% ya wabunge wa upinzani.

Pia Makama wa Rais asiruhusiwe kuongoza nchi zaidi ya mwaka 1 kama ikitokea Rais anafariki.. baada ya mwaka mmoja uchaguzi unatakiwa kuitishwa haraka.

Heri ya Mwaka Mpya.
Hoja nzuri Sana kwa makamu hata Mwaka asipewe kabisa. Labda miezi mutatu inatosha.
 
Back
Top Bottom