Kama Palestine kuna Fursa za kupeleka Madaktari na Wauguzi ni vema Waziri Ummy akazichangamkia vijana wetu wapate Ajira!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Nimesikia kupitia Al jazeera kwamba Palestine kwa ujumla ina uhaba mkubwa sana wa Madaktari na Wauguzi kwa sasa

Nashauri Waziri wa afya aongee na balozi wa Palestine tupeleke vijana wetu wakatoe huduma

Kukaa Hapa bongo Bila Ajira ni hatari kuliko kuajiriwa vitani

Ni hilo tu!
 
Waulize waandishi wa habari walioko huko watakuambia hatari yake, waandishi wengi tu wamekumbwa na mauti. Hili eneo acheni tu utabiri wa Nabii Amos 1:6-7 utimie, Kuta za Gaza zitawaka moto.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimesikia kupitia Al jazeera kwamba Palestine kwa ujumla ina uhaba mkubwa sana wa Madaktari na Wauguzi kwa sasa

Nashauri Waziri wa afya aongee na balozi wa Palestine tupeleke vijana wetu wakatoe huduma

Kukaa Hapa bongo Bila Ajira ni hatari kuliko kuajiriwa vitani

Ni hilo tu!
Palestina
Daktari 1 Kila watu 500
Tanzania daktari 1 Kila watu 20,000

Wana uhaba ndio ila wapo vyema zaidi kuliko Tanzania.
 
Back
Top Bottom