Uchapakazi wa Mohammed Mchengerwa TAMISEMI wawakosha Watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,333
9,754
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa waziri wa TAMISEMI ameendelea kuteka na kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kutokana na uchapa kazi wake ulioleta mapinduzi ya kiutendaji ndani ya wizara hiyo inayogusa maisha ya mamilioni ya watanzania kila siku.

Ikumbukwe ya kuwa wizara hii ndio yenye kushughulika na kero za wananchi maskini na wanyonge mbalimbali kila siku. huku ndiko kwenye zahanati, vituo vya afya, shule, barabara, umeme, maji n.k. vilivyo chini ya halmashauri. Ukifanya vyema kwenye wizara hii maana yake unakuwa umeleta nuru na tabasamu kwa watu wengi.kwa kuwa matunda ya utendaji kazi wa serikali nzima yanategemea ufanisi katika wizara hii upoje.

Kwa hakika Mh Mchengerwa anastahili pongezi sana kwa uchapa kazi wake.kwa kuwa tangia amekabidhiwa wizara hii tumeona mabadiliko makubwa sana ya kiutendaji, tumeona ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi mbalimbali ukiongezeka, tumeona na kushuhudia uwajibishwaji kwa watumishi wazembe na wabadhirifu ukifanyika bila kumwangalia mtu sura.

Tumeshuhudia Mheshimiwa waziri akihakikisha kila senti inayotoka serikalini inakwenda kufanya kazi iliyopangwa kufanywa, tumeshuhudia Mheshimiwa waziri akifika kila eneo kujionea utekelezaji na maendeleo ya miradi ya serikali na kuangalia thamani ya pesa iliyotolewa na serikali kama vinaendana badala ya kukaa ofisini kusubiri kuletewa taarifa mezani.

Tumeshuhudia sasa halmashauri zikiwa Bize kuwahudumia wananchi badala ya kuleta urasimu unaochelewesha na kukwamisha maendeleo,tumeshuhudia namna sasa watumishi wa halmashauri walivyo na hofu na kujiepusha na masuala ya ubadhirifu wa pesa za umma, ufisadi, rushwa, uzembe kazini, uvivu, kufanya kazi chini ya kiwango, ucheleweshaji wa ukamilishaji wa miradi mbalimbali n.k.

Tumeona sasa wakurugenzi na watumishi wa halmashauri wakiwa bize muda wote site kusimamia na kukagua utekelezaji wa miradi hasa wakati huu ambao wanafunzi wanaendelea kuripoti shuleni. Tunaona namna mheshimiwa waziri ambavyo amekuwa akitoa maelekezo mbalimbali na kufuatilia utekelezaji wake kwa kwenda moja kwa moja site, lakini pia kuwa mkali na kutotaka kuona mtumishi wa umma akiwa kikwazo katika kazi za kuwahudumia watanzania.

Kwa kasi ,uchapakazi ,ubunifu ,uhodari na umahili aliouonyesha Mheshimiwa waziri katika wizara hii ambayo ni kubwa na inayoshughulikia masuala mbalimbali yanayogusa maisha ya watu,kwa hakika anastahili kuja kupewa nafasi za juu za uongozi ili Taifa lifaidike na uchapa kazi wake na Karama ya uongozi aliyonayo. ikumbukwe wizara hii ikilala na kutowajibika inakuwa mateso kwa wananchi kuanzia kwenye zahanati, vituo vya afya, hospitali za wilaya, mikoa rufaa na hata kanda,shuleni na kila sehemu kuliko chini ya wizara hasa halmashauri huko kulikokuwa ni kama kuna Miungu watu wasiogusika.

Hongera sana Mheshimiwa waziri kwa uchapa kazi wako.endelea kuchapa kazi kumsaidia Mheshimiwa Rais aliyekuamini kumsaidia kazi katika wizara hiyo nyeti kabisa.mwendo uwe ni huo huo mpaka halmashauri zinyooke na fedha zote ziwe salama na utendaji kazi uwe wenye tija na wenye kuleta matokeo chanya kwa wananchi na wenye kugusa maisha ya watu na kutatua kero mzigo kwa wananchi.

Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa waziri wa TAMISEMI ameendelea kuteka na kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kutokana na uchapa kazi wake ulioleta mapinduzi ya kiutendaji ndani ya wizara hiyo inayogusa maisha ya mamilioni ya watanzania kila siku.

Ikumbukwe ya kuwa wizara hii ndio yenye kushughulika na kero za wananchi maskini na wanyonge mbalimbali kila siku. huku ndiko kwenye zahanati, vituo vya afya, shule, barabara, umeme, maji n.k. vilivyo chini ya halmashauri. Ukifanya vyema kwenye wizara hii maana yake unakuwa umeleta nuru na tabasamu kwa watu wengi.kwa kuwa matunda ya utendaji kazi wa serikali nzima yanategemea ufanisi katika wizara hii upoje.

Kwa hakika Mh Mchengerwa anastahili pongezi sana kwa uchapa kazi wake.kwa kuwa tangia amekabidhiwa wizara hii tumeona mabadiliko makubwa sana ya kiutendaji, tumeona ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi mbalimbali ukiongezeka, tumeona na kushuhudia uwajibishwaji kwa watumishi wazembe na wabadhirifu ukifanyika bila kumwangalia mtu sura.

Tumeshuhudia Mheshimiwa waziri akihakikisha kila senti inayotoka serikalini inakwenda kufanya kazi iliyopangwa kufanywa, tumeshuhudia Mheshimiwa waziri akifika kila eneo kujionea utekelezaji na maendeleo ya miradi ya serikali na kuangalia thamani ya pesa iliyotolewa na serikali kama vinaendana badala ya kukaa ofisini kusubiri kuletewa taarifa mezani.

Tumeshuhudia sasa halmashauri zikiwa Bize kuwahudumia wananchi badala ya kuleta urasimu unaochelewesha na kukwamisha maendeleo,tumeshuhudia namna sasa watumishi wa halmashauri walivyo na hofu na kujiepusha na masuala ya ubadhirifu wa pesa za umma, ufisadi,rushwa,uzembe kazini, uvivu,kufanya kazi chini ya kiwango,ucheleweshaji wa ukamilishaji wa miradi mbalimbali n.k.

Tumeona sasa wakurugenzi na watumishi wa halmashauri wakiwa Bize muda wote site kusimamia na kukagua utekelezaji wa miradi hasa wakati huu ambao wanafunzi wanaendelea kuripoti shuleni.tunaona namna Mheshimiwa waziri ambavyo amekuwa akitoa maelekezo mbalimbali na kufuatilia utekelezaji wake kwa kwenda moja kwa moja site.lakini pia kuwa mkali na kutotaka kuona mtumishi wa umma akiwa kikwazo katika kazi za kuwahudumia watanzania.

Kwa kasi ,uchapakazi ,ubunifu ,uhodari na umahili aliouonyesha Mheshimiwa waziri katika wizara hii ambayo ni kubwa na inayoshughulikia masuala mbalimbali yanayogusa maisha ya watu,kwa hakika anastahili kuja kupewa nafasi za juu za uongozi ili Taifa lifaidike na uchapa kazi wake na Karama ya uongozi aliyonayo. ikumbukwe wizara hii ikilala na kutowajibika inakuwa mateso kwa wananchi kuanzia kwenye zahanati, vituo vya afya, hospitali za wilaya, mikoa rufaa na hata kanda,shuleni na kila sehemu kuliko chini ya wizara hasa halmashauri huko kulikokuwa ni kama kuna Miungu watu wasiogusika.

Hongera sana Mheshimiwa waziri kwa uchapa kazi wako.endelea kuchapa kazi kumsaidia Mheshimiwa Rais aliyekuamini kumsaidia kazi katika wizara hiyo nyeti kabisa.mwendo uwe ni huo huo mpaka halmashauri zinyooke na fedha zote ziwe salama na utendaji kazi uwe wenye tija na wenye kuleta matokeo chanya kwa wananchi na wenye kugusa maisha ya watu na kutatua kero mzigo kwa wananchi.

Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

Endelea kujifariji.
 
As far as tako ni la kijani we unalo kulisafisha. Piga kazi kijana.tatizo elimu otherwise ungeshafikiriwa ndg Mwashamba
 
Chawa mkubwa wewe. Anachapa kazi au anatimiza wajibu wake kwa mshahara anaolipwa?
Kwani wangapi wanalipwa mishahara na wanashindwa kutimiza wajibu wao? Kwanini huyu anayechapa kazi mpaka kazi zinapiga salute tusimpongeze na kumtia moyo?
 
Ajenge mifumo, wizara isiende kwa upepo wa waziri tu, akija mwingine inayumba.

Hao mafundi mchundo wanaojenga shule, kuna mfumo upi wa kuangalia ubora wa kazi zao? Maana injinia wa Halmashauri ni mmoja, hawezi fuatiloa kila hatua ya jengo.

Simsikii akijenga ajenda kuhusu ukusanyaji mapato, fedha ndio injini ya nchi, ni kwa namna gani anadhibiti mapato ya halmashauri? Tunataka halmashauri iwe imara kwenye kukusanya mapato, na akiwa ziarani, akague vyanzo vya mapato, na aelezewe vyanzo vipya vilivyobuniwa.

Pia upande wa shule za serikali kuna malalamiko waalimu hawadhibiti nidhamu ya wanafunzi.

Asipojenga mifumo, ataonekana kaja kufanya zimamoto kwa ajili ya uchaguzi.
 
Vijana wa CHADEMA acheni matusi ya kingese. Nyie si ndo mnataka katiba isheshimiwe? Sasa kwanini mnashindwa kuheshimu haki ya mwashambwa kutoa maoni yake bila kuvunja sheria? Tendeni mnachokisema.
Achana na hilo vuta bangi SAGAI GALGANO.maana tayari lilishawehuka na kuwa kama chizi.kama unavyofahamu vijana wengi wa CHADEMA ni mavuta bangi yaliyokubuhu😀😀😀 nayasamehe bure mimi
 
Back
Top Bottom