Kwanini ukiwa msifiaji unaitwa Mzalendo na ukikosoa unaitwa Mchochezi?

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
175
212
Swali langu lina a na b nalo ni hili kwa anayejua anifahamishe

A. Kwanini ukiwa msifiaji unaitwa mzalendo hata kama unachosifia hakina ukweli?

B. Kwanini ukiwa mkosoaji unaitwa mchochezi hata kama unachosema kina ukweli?
 
A. Kwanini ukiwa msifiaji unaitwa mzalendo hata kama una chosifia hakina ukweli?

B. Kwanini ukiwa mkosoaji unaitwa mchochezi hata kama unachosema kina ukweli?
Ujui maana ya mzalendo futa huu uzi
 
swali lako linafanana na hili;
kwann Lowasa alipokuwa CCM Kabla hajaenda Chadema aliitwa fisadi Ila Alipojiunga Chadema akawa mtetezi wa wanyonge?
 
Swali langu lina a na b nalo ni hili kwa anayejua anifahamishe

A. Kwanini ukiwa msifiaji unaitwa mzalendo hata kama unachosifia hakina ukweli?

B. Kwanini ukiwa mkosoaji unaitwa mchochezi hata kama unachosema kina ukweli?
Akili za jiwe hizi (R.I.P)
 
Swali langu lina a na b nalo ni hili kwa anayejua anifahamishe

A. Kwanini ukiwa msifiaji unaitwa mzalendo hata kama unachosifia hakina ukweli?

B. Kwanini ukiwa mkosoaji unaitwa mchochezi hata kama unachosema kina ukweli?
NCHI hii kwa sasa Wajinga ni wengi na Wanaongezeka kila kukicha baya zaidi Wajinga ni Wasomi wetu

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Ni hali ya kawaida kwa binadamu hasa mwafrika anapenda sana kusifiwa kuliko kukosolewa.
 
Swali langu lina a na b nalo ni hili kwa anayejua anifahamishe

A. Kwanini ukiwa msifiaji unaitwa mzalendo hata kama unachosifia hakina ukweli?

B. Kwanini ukiwa mkosoaji unaitwa mchochezi hata kama unachosema kina ukweli?
Hao wote sawa tu, kwa nini uwe msifiaji tu au kwa nini uwe mkosoaji tu? Ukishajiweka kuwa wewe ni msifiaji tu lazima utasifia hata pasipo stahili sifa sifa na ukijipa kazi ya kukosoa tu pia utalazimisha kutoa kasoro hata pasipo na makosa.

Ilitakiwa mtu uwe unakosoa ulipoona pana makosa na penye zuri si dhambi kupongeza, ila sisi haipo hivyo yani mtu atajilazimisha kusifia au kutia kasoro.
 
Back
Top Bottom