Rais Dkt. Mwinyi akutana na Balozi wa Uholanzi nchini Wiebe de Boer

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe: 08 Januari, 2024.

Katika mazungumzo yao wamegusia kuendeleza uhusiano uliopo kati ya Zanzibar na Uholanzi na fursa mbalimbali ikiwemo uwekezaji pamoja na uchumi wa buluu.

IMG-20240108-WA0117.jpg
 
Back
Top Bottom