Hizi tuhuma za TB Joshua kama ni kweli basi 2015 Kwenye Uchaguzi Mkuu CHADEMA tulipigwa na Kitu kizito!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Nafuatilia Hapa BBC maelezo ya Waumini wa Kanisa la TB Joshua wakielezea manyanyaso na utapeli waliofanyiwa na mtume huyo wa Nigeria

Nakumbuka 2015 si wafuasi wa mzee Lowasa kuanzia CCM hadi Chadema tuliamini sasa Unabii wa TB Joshua kwamba Lowasa Ndiye mrithi wa JK

Lakini ni pigo pia kwa Wanasiasa wengi waliobahatika kwenda Nigeria kuwekewa Mikono na TB Joshua na kuambiwa watakuwa viongozi wakuu siku za usoni

Lakini bado hakuna uthibitisho kwamba Joshua ni nabii wa uwongo kwa Sababu Ndiye aliyemwekea Shujaa Magufuli Mikono ya Baraka na akawa Rais kadhalika Dr Mwigullu PhD ambaye kwa sasa ni Waziri mkubwa sana

Mungu ni mwema wakati wote
 
Haya makanisa yenu ya maajabu yana maajabu kweli kweli. Wala sishangai yanayosemwa. Ndio maana kanisa limekufa baada ya jamaa kufa
 
Nafuatilia Hapa BBC maelezo ya Waumini wa Kanisa la TB Joshua wakielezea manyanyaso na utapeli waliofanyiwa na mtume huyo wa Nigeria

Nakumbuka 2015 si wafuasi wa mzee Lowasa kuanzia CCM hadi Chadema tuliamini sasa Unabii wa TB Joshua kwamba Lowasa Ndiye mrithi wa JK

Lakini ni pigo pia kwa Wanasiasa wengi waliobahatika kwenda Nigeria kuwekewa Mikono na TB Joshua na kuambiwa watakuwa viongozi wakuu siku za usoni

Lakini bado hakuna uthibitisho kwamba Joshua ni nabii wa uwongo kwa Sababu Ndiye aliyemwekea Shujaa Magufuli Mikono ya Baraka na akawa Rais kadhalika Dr Mwigullu PhD ambaye kwa sasa ni Waziri mkubwa sana

Mungu ni mwema wakati wote
Habari ndio hiyo! 🤣
 
Kuhusu Lowasa kuwa Mrithi wa JK TB Joshua mwenyewe alisha kanusha hizo habari. Labda tuzungumzie hili la manyanyaso kwa waumini ingawa mimi ninavyowafahamu waumini wa SCOAN walikuwa si tu mapenzi na TB Joshua bali walikuwa na mahaba mazito. Inawezekana hao wanaosema hivyo ni wale waliotoka au wamepishana na Mchungaji wao wa sasa ambaye ni mke wa marehemu TB Joshua Pastor Evelyn Joshua. Kwani wanalalamika walikuwa wananyanyaswa kiaje yaani?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Nafuatilia Hapa BBC maelezo ya Waumini wa Kanisa la TB Joshua wakielezea manyanyaso na utapeli waliofanyiwa na mtume huyo wa Nigeria

Nakumbuka 2015 si wafuasi wa mzee Lowasa kuanzia CCM hadi Chadema tuliamini sasa Unabii wa TB Joshua kwamba Lowasa Ndiye mrithi wa JK

Lakini ni pigo pia kwa Wanasiasa wengi waliobahatika kwenda Nigeria kuwekewa Mikono na TB Joshua na kuambiwa watakuwa viongozi wakuu siku za usoni

Lakini bado hakuna uthibitisho kwamba Joshua ni nabii wa uwongo kwa Sababu Ndiye aliyemwekea Shujaa Magufuli Mikono ya Baraka na akawa Rais kadhalika Dr Mwigullu PhD ambaye kwa sasa ni Waziri mkubwa sana

Mungu ni mwema wakati wote
Tujihadhari sana kuwa wafuasi wa binadamu wenzetu badala ya kuwa wafuasi wa Yesu Kristo pekee. Mtu si malaika hata angekuwa na dini kubwa au cheo kikubwa cha kidini, asiwe wa kumuweka moyoni na kumwabudu.

Binadamu tuna upungufu mwingi mno, na pia miujiza si kigezo cha utakatifu au kuwa karibu na Mungu. Ibilisi naye ana miujiza, tena mikubwa!

Mchungaji Mwema ni Yesu pekee na peke yake ndiye anayetuokoa, si dini wala si mtu!
 
Si kweli hizo tuhuma. BBC wapo kwajili ya kutetea kanisa lao. Wametoka Roma sasa wapo kwa Joshua.
Kesho tutasikia lingine
 
BBC mbona hawaongelei madhaifu ya kanisa la Anglican? Huyo Tb Joshua alimbaka huyo mama na kutoa mimba 5 na huku anajua ukweli wote kuwa ni dhambi? Huyo alikuwa ni ajenti wa shetani, freemason walishindwa kuharibu huduma yake , baada ya Tb Joshua kufa ndo wanaibuka kwa mtu ambaye hawezi kujitetea mahakamani, vita hiyo hawatashinda.
 
Nafuatilia Hapa BBC maelezo ya Waumini wa Kanisa la TB Joshua wakielezea manyanyaso na utapeli waliofanyiwa na mtume huyo wa Nigeria

Nakumbuka 2015 si wafuasi wa mzee Lowasa kuanzia CCM hadi Chadema tuliamini sasa Unabii wa TB Joshua kwamba Lowasa Ndiye mrithi wa JK

Lakini ni pigo pia kwa Wanasiasa wengi waliobahatika kwenda Nigeria kuwekewa Mikono na TB Joshua na kuambiwa watakuwa viongozi wakuu siku za usoni

Lakini bado hakuna uthibitisho kwamba Joshua ni nabii wa uwongo kwa Sababu Ndiye aliyemwekea Shujaa Magufuli Mikono ya Baraka na akawa Rais kadhalika Dr Mwigullu PhD ambaye kwa sasa ni Waziri mkubwa sana

Mungu ni mwema wakati wote
BBC Wahuni tu,wanataka issue manyanyaso ya kingono ya Prince Andrew ambaye ni mdogo wa King Charles yasijadiliwe na media ndiyo maana wanazusha maneno yauongo kwa Marehemu TB Joshua wakijua kwamba story itatrend!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom