Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Dimwa amesema kwamba CHAMA hicho kimeanza mchakato wakipeleka mapendekezo hayo baada wananchi wengi wa Visiwa hivyo kumtaka Dr Mwinyi aongezewe muda badala...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Msaliti hana maisha marefu kwenye siasa. Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo waliandaa njama yakuivuruga CHADEMA , wakakamatwa na kufukuzwa. Akaenda kuanzisha chama chake kwa lengo lakuisambaratisha...
18 Reactions
83 Replies
5K Views
Mkutano huu ulihudhuriwa na watu wengi maarufu nchini. Leo nitaweka mrejesho wa kile kilichozungumzwa, watu waliohudhuria na impact ya mkutano huo katika demokrasia ya hapa nchini. Tutaanza...
3 Reactions
128 Replies
8K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ndgu. Eric Hamisi. Nafasi yake inachukuliwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Ndgu...
15 Reactions
304 Replies
35K Views
Dotto Biteko aliteuliwa 30 August, 2023 na kuapishwa 1 September, 2023. Siku ya kuapishwa mhe rais alitoa miezi 6 kero za umeme ziwe zimemalizika. Kimahesabu kutoka 1 September 20223 mpk leo 15...
8 Reactions
71 Replies
5K Views
Siku za hivi karibuni kumekuwa na matamko mengi sana kutoka Kwa viongozi wa Serikali wakiji bebisha Kwa Walimu. Tamko la hivi punde ni la Waziri Mchengerwa akidai kwamba Walimu ni watu muhimu...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Inapendeza kwa kweli viongozi wetu wanapoweka itikadi zao za vyama pembeni na kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii na maendeleo. Hongereni sana Dr Kigwangalla, Juliana Shonza na...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Wabunge wa upinzani Wakamatwa na Polisi jioni ya leo wakiwa Ndani ya viwanja vya Bunge Dodoma. Ni baada ya kurushiana maneno na Juliana Shonza. Wabunge waliokamatwa ni; Mhe Saed Kubenea. Mhe Fanc...
24 Reactions
260 Replies
41K Views
Hawa ni watu wawili waliotokea familia Moja na kupata kazi, mmoja kwao na mwingine alibahatika kupata kazi ugenini mbali na kwao, aliyepata mbali na kwao, akamwambia wa kwao nitahakikisha...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=rm8wI2pHQ4s Nimemsikiliza Boniphace Mwabukusi, nimegundua yafuatayo kutoka kwake na namna akivyo 1. Ni Clip ndefu kiasi. 2. Nimeisikiliza yote 3. Alianza kuongea...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Mama Samia hongera kwa kazi nzuri. Kwa hayo niliyotaja hapo juu yalifanywa na Magufuli bila kutushirikisha private sector. Nakuomba ubinafsishe Kwa private sector ili Selikari ikusanye mapato na...
-2 Reactions
21 Replies
2K Views
Bandugu, Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi...
11 Reactions
43 Replies
4K Views
Mawaziri wa Afya wa nchi 5 ikiwemo Tanzania, Rwanda, Sierra Leon, Ethiopia na Jamhuri ya Afrika ya Kati wamekutana na kuweka mkakati wa kutoa mafunzo rasmi angalau ya mwaka mmoja, hatimaye kuajiri...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu wa TEC Padri Kitima, leo 8/01/2024 Ametoa maoni ya Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki ndani ya Bunge la Tanzania, kama Mchango wa Kanisa hilo kwenye...
18 Reactions
78 Replies
5K Views
Baada ya kuapishwa Machi 19,2021 Rais Samia alitamani kuona Tanzania inasimama peke yake bila kutegemea mikopo, lakini ukitizama katika hali tulivyokuwa nayo ilikuwa ni sawa na kujichimbia...
3 Reactions
8 Replies
508 Views
JamiiForums, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, na Centre for Strategic Litigation (CSL), wametoa maoni...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakaribia kumaliza ujenzi wa madarasa 5,000 kuondoa zamu mbili kwa wanafunzi nchi nzima na...
1 Reactions
1 Replies
393 Views
Leo nimeonja radha ya mvua kwa kukaa hapa Mtanana karibu na Kibaigwa Kwa saa nne. Nimeshuhudia foleni kubwa sana ya malori na mabasi huku abiria wakiwa hawana cha kufanya. Hii barabara ya Dodoma...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Hata sasa hivi ukifanya Utafiti utagundua Chawa Wengi wanatoka maeneo ya " Waswahili" kama Mikoa yote ya Pwani, Tabora na Kigoma Na kiini cha Uwepo wa Chawa ni Uvivu uliotamalaki wa Jamii ya...
16 Reactions
44 Replies
3K Views
Serikali ya Tanzania ya awamu ya 5 & 6 zimetunia zaidi ya Shilingi Trilioni 3 Kununua Ndege 13 ambazo mara zikamatwe mara zigaribike hovyo mara zipaki bila matumizi nk Kwa Ajili ya Shirika la...
8 Reactions
83 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…